Tangazo kwa wananchi wa arumeru mashariki. M4c is here. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo kwa wananchi wa arumeru mashariki. M4c is here.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by melimeli maganga pau, Sep 10, 2012.

 1. m

  melimeli maganga pau Senior Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  [​IMG]CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)KATA YA USA RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA MAENEO YA JIRANI KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15-09-2012 KATIKA KIWANJA CHA SOKONI MJIMWEMA KUANZIA SAA SABA MCHANA,MGENI RASMI NI MH. MBUNGE JOSHUA SAMWELI NASSARI, WILAYA ,KATA, TAWI,WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA KUENDELEZA VUGUVUGU LA MABADILIKO TANZANIA(M4C) “ VUA GAMBA VAA GWANDA“PEOPLE’S.POWER
   
 2. m

  melimeli maganga pau Senior Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)KATA YA USA RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA MAENEO YA JIRANI KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15-09-2012 KATIKA KIWANJA CHA SOKONI MJIMWEMA KUANZIA SAA SABA MCHANA,MGENI RASMI NI MH. MBUNGE JOSHUA SAMWELI NASSARI, WILAYA ,KATA, TAWI,WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA KUENDELEZA VUGUVUGU LA MABADILIKO TANZANIA(M4C) “ VUA GAMBA VAA GWANDA“PEOPLE’S.POWER

  KARIBUNI WOTE WAPENDA MABADILIKO
   
 3. m

  melimeli maganga pau Senior Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)KATA YA USA RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA MAENEO YA JIRANI KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15-09-2012 KATIKA KIWANJA CHA SOKONI MJIMWEMA KUANZIA SAA SABA MCHANA,MGENI RASMI NI MH. MBUNGE JOSHUA SAMWELI NASSARI, WILAYA ,KATA, TAWI,WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA KUENDELEZA VUGUVUGU LA MABADILIKO TANZANIA(M4C) “ VUA GAMBA VAA GWANDA“PEOPLE’S.POWER
   
 4. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee chadema ngoma inogile hakuna kulala mpaka kieleweke
   
 5. commited

  commited JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  thanx mkuu, jitahidini kumsaidia dogo janja katika ahadi zake japo afikie over 50% ya perfomamnce, ili magamba wasipate pa kuhemea hapo,,, saaa ya ukombozi wa kifikra ni sasa, thanx kamanda
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  chonde chonde polisi kaeni pembeni!
   
 7. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  M4C mpaka kieleweke
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Pamoja sana!
   
 9. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila la kheri MAKAMANDA.
   
 10. t

  tenende JF-Expert Member

  #10
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Big up!.
   
 11. KV LONDON

  KV LONDON JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 904
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Lazima niwepo axee' M4C ndo kila kitu.
   
 12. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,476
  Likes Received: 2,144
  Trophy Points: 280
  Tx. We will be attending.
   
 13. M

  Mapochopocho Member

  #13
  Sep 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawapa Hi! wanaArumeru wooote. Big up dogo janja! Jamani hudhurieni kwa kishindo. Mie niko Moshi lakini nawezatia maguu
   
 14. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nassari Leganga April 2012.png
  MH.JOSHUA NASSARI KATIKA USHINDI

  "CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)KATA YA USA RIVER KINAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA USA RIVER NA MAENEO YA JIRANI KUWA, KUTAKUWA NA MKUTANO WA HADHARA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15-09-2012 KATIKA KIWANJA CHA SOKONI MJIMWEMA KUANZIA SAA SABA MCHANA,MGENI RASMI NI MH. MBUNGE JOSHUA SAMWELI NASSARI, WILAYA ,KATA, TAWI,WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA KUENDELEZA VUGUVUGU LA MABADILIKO TANZANIA(M4C)

  “ VUA GAMBA VAA GWANDA“

  "PEOPLE’S POWER"
  Tupo Pamoja Makamanda.
   
 15. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nani aende kutolewa kafara? Hamuoni mtu
   
 16. G

  GlorytoGod Senior Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hapa hafi mtu wala haturudi nyuma sababu ya haya magamba mpaka kieleweke. M4c twanga kotekote.
  Mungu akiwa upande wetu ni nani alie juu yetu?
   
 17. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280

  Mlimuua Mbwambo R.I.P kinyama mkatuzuga kwa kumuweka Chinga ndani.

  Mkamtisha Lema, Nassari na Isimbaa Kinotu mkashindwa.

  Leo unakuja na mboyoyo mbofumbofu hapa, hatuanyi mzee hatuwiri wa hatuogopi, Tukutane Jumamosi
   
 18. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mji mwema iko wapi ninasafari ya ar, ila sifahamu hapo najua tengeru usa na maji ya chai please
   
 19. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Ni moja ya mitaa mikubwa ya usariver stand yake ya basi ni LEGANGA.
   
Loading...