Umoja wa wanawake CCM wamuunga mkono Tendwa kufuta vyama vya siasa

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,205
42,067
Akionge baada ya kumaliza vikao vyao mwenyekiti wa umoja huo amesema wana muunga mkono msajili wa vyama vya siasa kuvifuta vyama ambazo vina chonganisha serikali na wananchi!

Hili limekuja baada ya kifo cha mwandishi wa habari huko iringa. Aliendelea kusema kuwa nchi nyingi zinapopata machafuko wanao athirika ni wanawake.

Pia alisema atahamasisha wanawake nchi nzima kukataa vyama vya upinzani vinavyo ichonganisha serikali na wananchi.

Hii inaonesha wazi ambavyo ccm inavyo endelea kujitoa kwenye kifo cha mwandishi na vurugu zinazo tokea kwenye mikutano ya CDM kila polisi wanapo linda.

Ikumbukwe kwamba serikali ya ccm imeonekana kuwa chanzo cha vurugu kwa kutumia polisi, polisi wanapo kaa pembeni hali huwaa shwari.

Wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika ukombozi lakini si kutumiwa na watu wachache.

Source: Star tv
 
Kumbe ni Umoja wa wanawake wa CCM! Hawa siku zote wako kama bendera kufuata upepo. Maskini hawajitambui wala kujua kuwa mfumo wa CCM umewadumaza na kuwafanya watu wa kuunga mkono kila upuuzi hata unyanyasaji wa akina mama kama aliofanyiwa Makinda kupewa uspika kwa kufuata jinsia ambayo wengi huiita chupi. Wameridhika na kupewa ubunge wa chup..
 
chris_vomiting_colour_by_dman25666-d30q7d0.jpg
 
hawana update news??? au ndo ujinga wa viongozi wa CCM na jumiya zake. kama ni hivyo mbona wamempeleka mahakamani askari police aliyesababisha mauaji na si wanachama wa CDM ambao ni walengwa wa hiyo kauli ya kichovu.na nini?? nafasi ya chama katika hizo vurugu
 
Nawashangaa sana kushindwa kuona jinsi wanavyotumia polisi vibaya.

Kumbe ni Umoja wa wanawake wa CCM! Hawa siku zote wako kama bendera kufuata upepo. Maskini hawajitambui wala kujua kuwa mfumo wa CCM umewadumaza na kuwafanya watu wa kuunga mkono kila upuuzi hata unyanyasaji wa akina mama kama aliofanyiwa Makinda kupewa uspika kwa kufuata jinsia ambayo wengi huiita chupi. Wameridhika na kupewa ubunge wa chup..
 
"Wanyimeni unyumba waume zenu wakisapoti upinzani"- Sofia Simba, M/kiti UWT Taifa.
 
Mwanzo nilidhani mauaji haya yanaongozwa na makundi yanayohasimiana ndani ya CCM yakichafuana na kuwaharibia wasaka Urais,sasa kwa tamko la Sofia Simba nimejua ni kwanini wahusika hawachukuliwi hatua. Kumbe ni amri toka Ikulu.
 
Da sishangai ni lazima waseme hivyo maana ni chama chao!!! Hivi Anne Kilango Malecela siku hizi yupo?
 
Lao moja hao wanafikiri hio ndio njia ya kupambana na chadema!

Mwanzo nilidhani mauaji haya yanaongozwa na makundi yanayohasimiana ndani ya CCM yakichafuana na kuwaharibia wasaka Urais,sasa kwa tamko la Sofia Simba nimejua ni kwanini wahusika hawachukuliwi hatua. Kumbe ni amri toka Ikulu.
 
Afadhali kama wameacha kujiita UWT! nilikuwa nakereka sana umoja wa wanawake ccm kujiita Umoja wa wanawake Tanzania .
 
Vyama vyote vifutwe vibakie vyama vinavyoitetea CCM kwa wananchi.Hivi vitaitwa vyama vya upinzani ama navyo vitakuwa CCM.
 
Akionge baada ya kumaliza vikao vyao mwenyekiti wa umoja huo amesema wana muunga mkono msajili wa vyama vya siasa kuvifuta vyama ambazo vina chonganisha serikali na wananchi!

Hili limekuja baada ya kifo cha mwandishi wa habari huko iringa. Aliendelea kusema kuwa nchi nyingi zinapopata machafuko wanao athirika ni wanawake.

Pia alisema atahamasisha wanawake nchi nzima kukataa vyama vya upinzani vinavyo ichonganisha serikali na wananchi.

Hii inaonesha wazi ambavyo ccm inavyo endelea kujitoa kwenye kifo cha mwandishi na vurugu zinazo tokea kwenye mikutano ya CDM kila polisi wanapo linda.

Ikumbukwe kwamba serikali ya ccm imeonekana kuwa chanzo cha vurugu kwa kutumia polisi, polisi wanapo kaa pembeni hali huwaa shwari.

Wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika ukombozi lakini si kutumiwa na watu wachache.

Source: Star tv

Change is un avoidable,kipindi ch kikundi cha watu wachache kuinyonya na kuibia nchi,kuua viwanda na reli ya kati ili wao na familia zao wafaidike kilikua toka 1990 to 2015,kifupi ndio kinafikia ukingoni,watohojiwa mali walizonazo na kipato chao kilivyokua,watapelekwa mahakamani na wakiwa na hatia watakwenda jela,Tanzania ni ya Watanzania wote,na si ya kikundi cha wahuni wachache wanaotumia udhaifu wa Watanzania wasiokua na uelewa kuwadanganya kwa propaganda za k.i.j.i.n.g.a kama hizo huku wao wakijineemesha tu!wakati wenu uko ukingoni,Watanzania ni waelewa sasa
 
Halafu yule mama nilimwona kama kavuta ganja, alivyokuwa anaunga unga maneno, roho yake ilikuwa inamsuta!
 
Kwa siasa za nchi hii, huyo nungayembe aliyesema hivyo next term utamuona ni mbunge viti maalum. Hawa wakinamama wajiheshimu angalau kidogo.

Kwa nini isifungiwe CCM yenye kuleta fujo za wazi na viashiria vya vurugu vinaonekana?

1. Sio hawa CCM walimuua katibu wao wa Mbeya kwa vinyongo vya kura za maoni?
2. Sio yule msomali wao alipanda jukwaani IGUNGA na bastola?
3. Sio Bashe na mwenzake sijui nani juzi tu hapa wameshikiana bastola wakigombea ulaji?

Lini na wapi alionekana kiongozi wa CDM na silaha hadharani? Huku ndio kufikiria kwa kutumia sehemu ya kukalia
 
Akionge baada ya kumaliza vikao vyao mwenyekiti wa umoja huo amesema wana muunga mkono msajili wa vyama vya siasa kuvifuta vyama ambazo vina chonganisha serikali na wananchi!

Hili limekuja baada ya kifo cha mwandishi wa habari huko iringa. Aliendelea kusema kuwa nchi nyingi zinapopata machafuko wanao athirika ni wanawake.

Pia alisema atahamasisha wanawake nchi nzima kukataa vyama vya upinzani vinavyo ichonganisha serikali na wananchi.

Hii inaonesha wazi ambavyo ccm inavyo endelea kujitoa kwenye kifo cha mwandishi na vurugu zinazo tokea kwenye mikutano ya CDM kila polisi wanapo linda.

Ikumbukwe kwamba serikali ya ccm imeonekana kuwa chanzo cha vurugu kwa kutumia polisi, polisi wanapo kaa pembeni hali huwaa shwari.

Wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele katika ukombozi lakini si kutumiwa na watu wachache.

Source: Star tv

Mkuu usiseme Mwnyekiti wa UWT sema Sophia. Kwani nani hamjui huyu mama kwa sifa na tabia yake. Asipoangalia ubunge wake wa vitu maalum ndiyo mwisho
 
Back
Top Bottom