Wanaapa kuilinda nakuitetea katiba ya JMT lakini hawaisomi?! shame on you!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaapa kuilinda nakuitetea katiba ya JMT lakini hawaisomi?! shame on you!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwenyenguvu, Sep 6, 2012.

 1. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wana jf hebu mnisaidie,inakuwaje hawa viongozi wa serikali wanaapa kwa katiba ya JMT harafu wala hawaisomi ili waenende sawasawa nayo,mara ngapi Mhe.Lissu amekuwa akiwaweka sawa mawaziri na watendaji kadhaa wa serikali wanapo chemka katika utendaji wao? Mara ngapi Mhe.Lukuvi,werema,job walikuwa wakizimishwa pale bunge kwa wao kwenda kinyume na katiba,katiba ya tz toleo la 2005 ina kurasa chache tu 150 zenye maandishi ambazo ni kurasa chache kuliko hata NJAMA(willy gamba) cha marehemu Musiba.
  Nilimsikuliza kwa makini sana jana Mh.Lissu kwenye tv alipokuwa akiongelea kuhusu mambo ya kuunda tume,nilimwela sana na haya ya leo ya nchimbi ndio adhabu ya wale wanaoapa na kusahau japo kusoma yaliyomu ndani ya walichokiapo!!shame on you!! Mnachukiza,hivi wizara nzima haina watu wanaojua katiba walau kwa uchache tu?hii haijakaa sawa
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  LISSU NI KICHWA,ana akili kuliko watanzania 43mil.jk nae anapokwa madaraka na waziri bila kujijua
   
 3. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hakika huyu jamaa ni kichwa
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tz yetu mambo yanakwenda bora liende na mengine kuwaridhisha watu flan, na mara nyingi viongozi wetu wanafanya mambo yao kwa vile nikawaida kufanya pasipokujua maana yake mfano mzuri ni hiyo kuapa kwa kutumia kitabu cha Mungu (BUBLIA AU KURUHANI) na katiba pia, pasipo kujua maana halisi ya kutumia vyote hivyo ktk kuapa bali wanaangalia watimize vyote hivyo wapatekuwa viongozi hasa wa ccm wamezidi mpaka wanajionyesha hadharani kutoitetea hiyoo katiba yao
   
 5. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  shine umesema ukweli kabisa
   
Loading...