Nchimbi akiwa Star TV sasa

Kauliza hivi tunaposema peoples power!!!! zile familia za wafiwa tunaziachaje?
 
Huyu Nchimbi Wizara imemshinda sijui anataka kuwaambia nini watanzania? Kwa nini anaenda Star Tv kwa watazamaji wachache? Aende ITV!!!! Si unajua Star TV haikamati kwa watanzania wengi!!!
 
Kama kweli Dr.Nchimbi aliandika research ya masomo yake mwenyewe na kupata PhD, basi He needs Jesus to serve him.
Vinginevyo ndio wale tulioambiwa wananunua Research kupass mitihani, lakini ktk real world ni weupe wa kutupa
 
Kwa sasa wanaonesha Uonevu wa CCM huko Madale.................yaaaani Tanzania imeshauzwa sasa si kila mtu apewe fedha yake? Ajue pa kwenda
 
Wananchi wa madale wameambiwa wao Mungiki...........polisi waliiiba mayai na miko wakati wa kubomoa nyumba madale!!! hadi masufuria na TV wamebeba
 
Charles Kenyera anabisha kuwa hakutumia risasi wakati wananchi wana maganda ya bunduki
 
Ni kwa vile dhaifu wengi hawafanyi imara moja. JK ni dhaifu, CCM ni dhaifu, Nchimbi ni dhaifu = DHAIFU tu!

Halafu eti kuna great thinkers humu walipongeza uteuzi wa JK wa baraza "jipya" la mawaziri. Nilisikitika sana na pia sikuacha kubainisha mawazo yangu wakati ule. The fact are things are getting worse continually comparing to each previous day
 
CCM wao walisubiri sensa iishe walipofanya mkutano wao wa hadhara siku ile ile kule Bububu Zanzibar???

Na kama Waziri Nchimbi tayari anatoa kauli kama hii kwa jamii kwenye vyombo vya habari kwa wakati huu, sasa Tume au Kamati ya uchunguzi aliodaiwa kuunda majuzi sasa ni wa kazi gaani tena????????

Bure kabisa na wala hamna kitu haapa maana hali inavyoonyesha ni kwamba waziri tayari anayo majibu kichwani hata kabla ya vyombo vya uchunguzi kuanza kufanya kazi zake!!!!!


Anauliza eti kwa nini CDM hawakusubiri hadi sensa iishe, Anasema harakati hawakuanzisha CDM duniani, Pia anasema harakati za Mwl. Nyerere hakufa mtu hata mmoja. Anatoa sababu nyingine nyingi za ajabu. Angalia mwenyewe laiv hapa.

Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE
 
ETI mwenye kadi ya mpiga kura, aliyeandikishwa kupewa kitambulisho cha uraia, leo anaambiwa sio raia.
 
Arusha kulikuwa na sensa? Igunga kulikuwa na sensa? Songea kulikuwa na sensa?

Na lini jeshi la polisi lilipewa mamlaka kisheria kuua raia kwa sababu yoyote? Au ndio ule wendawazimu wa ccm kuwa ndio sheria mpaka yeye Nchimbi akajipa hadhi ya kuunda tume wakati hana mamlaka hiyo kisheria?

Tunaona, tunajua na tunachukua hatua!
 
Huyu anafanya siasa na amesha julikana na mipango yake!
 
nyie mnahangaika na walevi wa madaraka magamba kimebaki ni chama cha kurithishana kama wafalme pale anatetea tumbo lake na walio muweka na ndio anaowatii huyu si ndio alikuwa anajiita Dr wakati hajaisoma hiyo phD leo hii umma utamwamini vipi pimbi huyu.
 
Napenda kumjibu tu NCHIMBI kuwa....askari wakati wa ukoloni hawakuwa makatili kama hawa askari wa sasa!
Wananchi hawana hata kalamu,polisi wanaenda full equipped kama kuna vita na afghanstan plus alishabaab!
Viongozi wa TANU hawakuua kama viongozi wa CHADEMA ambavyo hawakuua!
 
Huyu Nchimbi hajui hata sheria na kanuni za nchi. Alkiwahi ku-officiate bahati nasibu pale New habari bila ya kuwapo afisa kutoka Gaming Board na matokeo yake alizusha tafrani kubwa, kwani washindi zaidi ya mmoja walijitokeza kudai zawadi ya gari.

Hafai kabisa!!!!!!!!!!!
 
MIe nitaendelea kuzishangaa tu hizi media. Sasa star TV wanadai Mwangosi aliuawa kwenye "maandamano" ya CHADEMA. Hivi ni kweli kulikuwa na maandamano? Channel 10 nao walidai aliuawa kwenye "vurugu" za CHADEMA. How absurd!
 
Back
Top Bottom