Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa CHADEMA kikaoni na IGP kwa R.P.C Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tumaini Makene, Sep 3, 2012.

 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  CHADEMA wanaongozwa na Dkt. Slaa upande wa Jeshi la Polisi wanaongozwa na IGP Said Mwema, almost 4 agendas on table, polisi wameomba kufanyike roundtable meeting for now...tume yao haijaanza kufanya kazi yet.


   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Hapo chacha.....
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Asante Makene, huo upashanaji habari wako ni ki level za viongozi.
   
 4. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Makene asante kwa taarifa, TUPE HIZO AGENDA SASA!
   
 5. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mukama nae yupo?
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Diplomasia inatumika baada ya kuharibu mambo...ingekuwa inatumika kuweka mambo sawa hii Tanzania tungeweza kutofautisha wapumbavu na wenye akili. Kwasababu ya kukosa hekima ni ngumu sana kutofautisha...namkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda kuhimiza "Don't urge with a fool because people might not notice the difference".
   
 7. THE BIG SHOW

  THE BIG SHOW JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 13,928
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  so what..!somebody has dead,their meeting will help to bring him back??
  how much are they goin to be paid for just this meeting which they have created,i mean seating allowance per head??
  tuanze na slaa n igp,mana hapo lazma wadai posho ya kikao hao
  hovyo kbs,,,
   
 8. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hakuna haja ya tume picha zina muonyesha polisi akimupiga risasi mwandishi........na hiyo tume hatuitaki iundwe policcm walioua tunataka tume huru......Dr.slaa namwamini hatalegeza...mwema ni kada wa ccm anakifanya sio maslai ya wananchi ni ccm
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu Makene ahsante kwa taarifa hii.
  Tafadhali tungependa kufahamu na hizo agenda 4 za mazungumzo hayo.
   
 10. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  1.Nani host wa kikao????
  2. Agenda ni co???? Au kila upande una zake????
  3. Marehemu anawakilishwa na nani???
  4. IGP na Dr Slaa wana interest na bodies they are representing.........any free agent????

  We said wakati wa tukio la Moro.......ikaishia kutolewa laki saba.....na this time "round table".................

  The clock is ticking.....................
   
 11. M

  Makupa JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mkuu lugha haijakaa sawa
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  .

  Behind the scenes....texting Said of course
   
 13. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,810
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Agenda nzuri ni
  1)Kulipiza visasi kwa Makamanda wa policcm, hasa wanapokuwa Bar au nyumba ndogo
  2)Kulipiza visasi kwa Mama/Baba zao, Wake/Waume zao, Kaka/Dada zao ikishindikana basi na watoto zao
  3)kuwatafuta kila kona kuanzia madukani, nyumba za ibada, mashuleni na kuwakata visu na kuacha alama ya ccm
   
 14. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Tumaine makene, kama upo kwenye meeting mwambie waziwazi IGP kuwa anasitahili kuitwa kwenye mahakama za UHALIFU !
   
 15. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Please makene naomba Dr amueleze kinaga ubaga huyo MWEMA jinsi anavyokikandamiza CHADEMA kwa kisingizio cha SENSA wakati FIESTA inakusanya watu wengi inaruhusiwa na inapewa ulinzi na POLISI.
   
 16. terabojo

  terabojo JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hao ma-rpc wa mikoa husika lazima washitakiwe kwa mauaji la napendekeza ICC ijulishwe na ngo ya haki za binadamu iliyomsaidia Dr ulimboka. La roho za watu zitazidi kupotea bure
  .
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  So for you if somebody dies from Malaria you won't be using bed nets just because that will not bring back the dead person? Whatever you are keeping between your ears must be like an egg yolk
   
 18. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Said mwema na jeshi la polisi siku zote wana majibu mepesi ktk maswali magumu, subiri tuone..
   
 19. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hivi fiesta imekusanya watu jana usiku hadi saa 3 na wakalindwa na polisi
  walikokuwa wanafungua tawi mchana kweupe wao wanaathiri zoezi la sensa lakini fiesta haiathiri
  kweli watanzania tunafanywa kama majuha.
  makene ubairikiwe baba tujuze zaidi kinachojiri huku katika duru za kikao hicho.
   
 20. enhe

  enhe JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  "Kingreza" hicho kaka na sio "Kiingereza" au "English" uliyoizoea mkuu,hahahahaha...
   
Loading...