Waziri Mkuu apitisha chekeche kwa wakurugenzi wa halmashauri

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Kwenye taarifa ya habari ya TV karibu zote ameonekana Mh Hawa Ghasia akiongea na Wanahabari kuhusu Waziri Mkuu kuwatimua kazi Wakurugenzi wa Halmashauri kadhaa na kuwateua wengine na wengine kuhamishwa. Lakini ajabu habari hii haijaonekana hapa JF, kulikoni?

Mwenye taarifa kamili atuwekee hapa basi!

Updates , nimeipata hii hapaFriday, September 7, 2012
Waziri Mkuu apitisha chekeche kwa wakurugenzi wa halmashauri
Waziri Mkuu apitisha chekeche kwa wakurugenzi wa halmashauri

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo P. Pinda amewavua madaraka Wakurugenzi Sita, ameteua Kaimu Wakurugenzi sita, Wakurugenzi Wapya kumi na nne, na kuwahamisha Wakurugenzi ishirini na saba kutoka katika vituo vyao kutokana na sababu mbalimbali.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na kuonyesha Udhaifu katika kutekeleza majukumu, kustaafu, kujaza nafasi zilizo wazi katika Halmashauri Mpya zilizoanzishwa hivi karibuni na wengine wamebadilishiwa majukumu na kurejezwa katika kazi zao za awali.

Orodha ya majina ya Wakurugenzi hao, maeneo wanayotoka na sababu za mabadiliko ni kama ifuatavyo:-

(a) Wakurugenzi waliovuliwa Madaraka
Na. Jina Halmashauri anayotoka Maelezo
1. Bw. Willy J. Njau Mwanga DC Aliomba kurejeshwa katika majukumu yake ya awali kutokana na sababu za kiafya.
2. Bw. Mpangalukela Tatala
Geita DC Kushindwa kusimamia Rasilimaliwatu na fedha.
3. Bw. Theonest Nyamhanga Kishapu DC Kushindwa kusimamia
Rasilimaliwatu na Rasilimali Fedha.
4. Bw. Eden Munisi Morogoro DC Kuisababishia Halmashauri kupata Hati chafu na kushindwa kusimamia Rasilimali pamoja na uzembe.
5. Bw. Mhando H. Senyagwa Kyela DC Ana kesi Mahakamani
6. Bw. Nicholaus Kileka Ngorongoro DC Alikuwa na kesi iliyoendeshwa na TAKUKURU



(b) Wakurugenzi wapya wanaoteuliwa kujaza nafasi wazi
Na. Halmashauri Jinsia Taaluma /Cheo Halmashauri
Atokayo Aendayo
1. Abdalah A. Kidwanka ME Afisa Ardhi Mufindi DC Geita DC Kaimu
2. Rutius D. Bilakwata ME DPLO Kishapu DC Kishapu DC Kaimu
3. Naomi N. Nko KE DEO - Kaimu DED Mpanda DC Magu DC
4. Abdalah I. Mfaume ME DPLO Ukerewe DC Kyela DC
5. Twalib A. Mbasha ME Kaimu DED Monduli DC Monduli DC Kaimu
6. Henry R. Ruyagu ME Mhandishi – DC Urambo DC
Urambo DC Kaimu
7. Adam I. Mgoyi ME CIA Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali Mbarali DC
8. Estomih F. Chang'a ME Kaimu DED Arusha MC Mpanda DC
9. Leti Shuma KE DPLO Kibaha DC Mwanga DC
10. Mohamed A. Maje ME DEO Kilosa DC Namtumbo DC
11. Fulgency Mponji ME DEO Songea MC Moshi DC
12. Robert Nehata ME DCO Njombe DC Tunduru DC
13. Isabela O. Chilumba KE DHRO Morogoro MC Kahama DC
14. Fikiri Malembeka ME DPLO Kilombero DC Sengerema DC
15. Isabela D. Chilumba KE DALDO Tandahimba DC Ulanga DC
16. Nasib Mbaga KE DPLO Mufindi DC Biharamulo DC
17. Iddi Nganya ME DHRO Nzega DC Makete DC Kaimu
18. Jovin Jungu ME TEO Masasi TC Chamwino DC Kaimu
19. Paul S. Malala ME DPLO Iringa MC Njombe DC
20. Felix P. Mabula ME Mhasibu Bukombe DC Hanang DC Kaimu


(c) Wakurugenzi wanaohamishwa ili kujaza vituo wazi
NA. JINA KAMILI JINSI TAALUMA /CHEO HALMASHAURI
ATOKAYO AENDAYO
1. Bi. Bibie Mnyamagola KE Mkurugenzi Mtendaji Kilindi DC Kongwa DC
2. Daudi R. Mayeji ME Mkurugenzi Mtendaji Chamwino DC Kilindi DC
3. Bw. Protace T. Magayane ME Mkurugenzi Mtendaji Igunga DC Nkasi DC
4. Bi. Saada Mwaruka KE Mkurugenzi Mtendaji Nkasi DC Mkuranga DC
5. Sipora J. Liana KE Mkurugenzi Mtendaji Mkuranga DC Tabora MC
6. Hadija Makuwani KE Mkurugenzi wa Manispaa Tabora MC Tabora DC
7. Bi. Doroth Anatoli Rwiza KE Mkurugenzi Mtendaji Tabora DC Kasulu DC
8. Kelvin Makonda ME Mkurugenzi Mtendaji Kasulu DC Lindi MC
9. Pudenciana Kisaka KE Mkurugenzi Mtendaji Ulanga DC Iringa DC
10. Tina Sekambo KE Mkurugenzi Mtendaji Iringa DC Makambako TC
11. Beatrice R. Dominic KE Mkurugenzi Mtendaji Bukoba DC Masasi DC
12. Gladyness Ndyamvuye KE Mkurugenzi Mtendaji Masasi DC Bukoba DC
13. Nathan Mshana ME Mkurugenzi wa Manispaa Musoma MC Ngorongoro DC
14. Cornel Ngudungi ME Mkurugenzi Mtendaji Magu DC Ngara DC
15. Mohamed Mkupete ME Mkurugenzi Mtendaji Njombe DC Mtwara MC
16. Dr. Koroine Ole Kuney KE Mkurugenzi Mtendaji Ngorongoro DC Misungwi DC
17. Ephraem Ole Nguyaine Me Mkurugenzi Mtendaji Tunduru DC Rorya DC
18. Goody Pamba KE Mkurugenzi Mtendaji Hanang DC Igunga DC
19. Fidelis Lumato ME Mkurugenzi Tarime DC Ludewa DC
20. Athuman O. ME Mkurugenzi Kongwa DC Tarime DC
21. Ahmad S. Sawa ME Mkurugenzi wa Mji Lindi TC Musoma MC



WakurW

(d) Wakurugenzi wanaohamishwa kwenda kwenye Halmashauri mpya.
Na. Jina Kamili Jinsia Taaluma /Cheo Halmashauri
Atokayo Aendayo
1. Magreth Nakainga
KE DED Mtwara MC Geita TC
2. Eliza Bwana KE DED Kahama DC Bariadi TC

3. Zuberi Mbyana ME DED Biharamulo DC Ilemela MC

4. Mohamed Nanyanje ME DEO (SEC) Sumbawanga MC Masasi TC
5. Erica Musika KE DED Sengerema DC Kahama TC

6. Imelda Ishuza KE DED Makete DC Busokelo DC


Serikali haitasita kuchukua hatua mbalimbali pale inapobidi ili kuboresha utendaji kazi na kuwafanya watumishi wawajibike katika majukumu yao ipasavyo.


IMETOLEWA NA:



MHE. HAWA A. GHASIA (MB)
WAZIRI WA NCHI - OFISI WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
 
Kwenye taarifa ya habari ya TV karibu zote ameonekana Mh Hawa Ghasia akiongea na Wanahabari kuhusu Waziri Mkuu kuwatimua kazi Wakurugenzi wa Halmashauri kadhaa na kuwateua wengine na wengine kuhamishwa. Lakini ajabu habari hii haijaonekana hapa JF, kulikoni?

Mwenye taarifa kamili atuwekee hapa basi!

You are the one to break that news - make it happen here!
 
Mimi binafsi nimesikia habarii hii kupitia ITV saa 5 usiku huu.Na kama sikosei ni wakurugenzi 18 au 8 ndio wamepigwa chini.Si kumbuki vizuri ila nadhani ni 18 ndio wamepigwa chini na wengine wengi wamebadilishwa vituo vya kazi.
 
Kwenye taarifa ya habari ya TV karibu zote ameonekana Mh Hawa Ghasia akiongea na Wanahabari kuhusu Waziri Mkuu kuwatimua kazi Wakurugenzi wa Halmashauri kadhaa na kuwateua wengine na wengine kuhamishwa. Lakini ajabu habari hii haijaonekana hapa JF, kulikoni?

Mwenye taarifa kamili atuwekee hapa basi!

humu si wanaongelea mabaya ya serikali tu,,hilo si jambo jema na zuri hawawezi liweka....mana siasa za chadema ni kupinga tuuu
 
humu si wanaongelea mabaya ya serikali tu,,hilo si jambo jema na zuri hawawezi liweka....mana siasa za chadema ni kupinga tuuu
Wewe usiye Chadema si utuwekee basi hiyo habari? Au Hata wenye serikali hamjui wapi inapatikana hiyo habari?
 
FRIDAY, SEPTEMBER 7, 2012
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo P. Pinda amewavua madaraka Wakurugenzi Sita, ameteua Kaimu Wakurugenzi sita, Wakurugenzi Wapya kumi na nne, na kuwahamisha Wakurugenzi ishirini na saba kutoka katika vituo vyao kutokana na sababu mbalimbali.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na kuonyesha Udhaifu katika kutekeleza majukumu, kustaafu, kujaza nafasi zilizo wazi katika Halmashauri Mpya zilizoanzishwa hivi karibuni na wengine wamebadilishiwa majukumu na kurejezwa katika kazi zao za awali.

Orodha ya majina ya Wakurugenzi hao, maeneo wanayotoka na sababu za mabadiliko ni kama ifuatavyo:-

(a) Wakurugenzi waliovuliwa Madaraka

Na.
Jina
Halmashauri anayotoka
Maelezo
1.
Bw. Willy J. NjauMwanga DCAliomba kurejeshwa katika majukumu yake ya awali kutokana na sababu za kiafya.
2.
Bw. Mpangalukela Tatala

Geita DCKushindwa kusimamia Rasilimaliwatu na fedha.
3.
Bw. Theonest NyamhangaKishapu DCKushindwa kusimamia
Rasilimaliwatu na Rasilimali Fedha.
4.
Bw. Eden MunisiMorogoro DCKuisababishia Halmashauri kupata Hati chafu na kushindwa kusimamia Rasilimali pamoja na uzembe.
5.
Bw. Mhando H. SenyagwaKyela DCAna kesi Mahakamani
6.
Bw. Nicholaus KilekaNgorongoro DCAlikuwa na kesi iliyoendeshwa na TAKUKURU

(b) Wakurugenzi wapya wanaoteuliwa kujaza nafasi wazi

Na.
Halmashauri
Jinsia
Taaluma /Cheo
Halmashauri
Atokayo
Aendayo
1.
Abdalah A. Kidwanka
ME
Afisa ArdhiMufindi DCGeita DC Kaimu
2.
Rutius D. Bilakwata
ME
DPLOKishapu DCKishapu DCKaimu
3.
Naomi N. Nko
KE
DEO - Kaimu DEDMpanda DCMagu DC
4.
Abdalah I. Mfaume
ME
DPLOUkerewe DCKyela DC
5.
Twalib A. Mbasha
ME
Kaimu DEDMonduli DCMonduli DCKaimu
6.
Henry R. Ruyagu
ME
Mhandishi – DCUrambo DC

Urambo DCKaimu
7.
Adam I. Mgoyi
ME
CIAOfisi ya Mwanasheria wa SerikaliMbarali DC
8.
Estomih F. Chang'a
ME
Kaimu DEDArusha MCMpanda DC
9.
Leti Shuma
KE
DPLOKibaha DCMwanga DC
10.
Mohamed A. Maje
ME
DEOKilosa DCNamtumbo DC
11.
Fulgency Mponji
ME
DEOSongea MCMoshi DC
12.
Robert Nehata
ME
DCONjombe DCTunduru DC
13.
Isabela O. Chilumba
KE
DHROMorogoro MCKahama DC
14.
Fikiri Malembeka
ME
DPLOKilombero DCSengerema DC
15.
Isabela D. Chilumba
KE
DALDOTandahimba DCUlanga DC
16.
Nasib Mbaga
KE
DPLOMufindi DCBiharamulo DC
17.
Iddi Nganya
ME
DHRONzega DCMakete DCKaimu
18.
Jovin Jungu
ME
TEOMasasi TCChamwino DC Kaimu
19.
Paul S. Malala
ME
DPLOIringa MCNjombe DC
20.
Felix P. Mabula
ME
MhasibuBukombe DCHanang DCKaimu

(c) Wakurugenzi wanaohamishwa ili kujaza vituo wazi


NA.
JINA KAMILI
JINSI
TAALUMA /CHEO
HALMASHAURI
ATOKAYO
AENDAYO
1.
Bi. Bibie MnyamagolaKEMkurugenzi MtendajiKilindi DCKongwa DC
2.
Daudi R. MayejiMEMkurugenzi MtendajiChamwino DCKilindi DC
3.
Bw. Protace T. MagayaneMEMkurugenzi MtendajiIgunga DCNkasi DC
4.
Bi. Saada MwarukaKEMkurugenzi MtendajiNkasi DCMkuranga DC
5.
Sipora J. LianaKEMkurugenzi MtendajiMkuranga DCTabora MC
6.
Hadija MakuwaniKEMkurugenzi wa ManispaaTabora MCTabora DC
7.
Bi. Doroth Anatoli RwizaKEMkurugenzi MtendajiTabora DCKasulu DC
8.
Kelvin MakondaMEMkurugenzi MtendajiKasulu DCLindi MC
9.
Pudenciana KisakaKEMkurugenzi MtendajiUlanga DCIringa DC
10.
Tina SekamboKEMkurugenzi MtendajiIringa DCMakambako TC
11.
Beatrice R. DominicKEMkurugenzi MtendajiBukoba DCMasasi DC
12.
Gladyness NdyamvuyeKEMkurugenzi MtendajiMasasi DCBukoba DC
13.
Nathan MshanaMEMkurugenzi wa ManispaaMusoma MCNgorongoro DC
14.
Cornel NgudungiMEMkurugenzi MtendajiMagu DCNgara DC
15.
Mohamed MkupeteMEMkurugenzi MtendajiNjombe DCMtwara MC
16.
Dr. Koroine Ole KuneyKEMkurugenzi MtendajiNgorongoro DCMisungwi DC
17.
Ephraem Ole NguyaineMeMkurugenzi MtendajiTunduru DCRorya DC
18.
Goody PambaKEMkurugenzi MtendajiHanang DCIgunga DC
19.
Fidelis LumatoMEMkurugenziTarime DCLudewa DC
20.
Athuman O.MEMkurugenziKongwa DCTarime DC
21.
Ahmad S. SawaMEMkurugenzi wa MjiLindi TCMusoma MC









(d) Wakurugenzi wanaohamishwa kwenda kwenye Halmashauri mpya.Serikali haitasita kuchukua hatua mbalimbali pale inapobidi ili kuboresha utendaji kazi na kuwafanya watumishi wawajibike katika majukumu yao ipasavyo.




IMETOLEWA NA:


MHE. HAWA A. GHASIA (MB)

WAZIRI WA NCHI - OFISI WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
 
Watapangua timu mpaka watachoka lakini performance itabaki palepale. Tatizo lipo kwenye mfumo ambao chanzo chake ni chama cha magamba. Bila kukiondoa chama cha magamba na kukiweka pembeni, hakutakuwa na mabadiliko kamwe hata ukiweka malaika kwenye vyeo vya uDED.
 
Hivi ni kazi kusema "wamewafukuza kazi" au "wamefuja mali ya umma"? Kusema "kushindwa kusimamia raslimali watu na raslimali fedha" manake nini kama siyo ufisadi na wizi? euphemism at its worst!
 
Nimeipenda hii ya Iringa DC kwenda Makambako TC, aina ya demotions au horizontal transfer?
 
Mimi bado najiuliza uteuzi wa Wakurugenzi na Wakuu wa idara katika Halmashauri zetu unazingatia vigezo gani? Kufahamiana, utendaji, elimu, utumishi wa mda mrefu au ni nini?

Katika kuangalia sijapata vigezo vinavyotumika labda wadau wasaidie kutoa somo hapa.

Natanguliza shukrani
 
Next time ni vema wakaweks na vigezo vya uteuzi ilikujua sisi wengine tunanafasi gan hapo
 
Vyeo vya DC, DED au RC vina ngazi za wapi upo, hata maslahi nasikia ni tofauti. Mikoa na wilaya zote zimegawanywa katika hadhi mbalimbali. Hivyo, kutoka wilaya moja kwenda nyingine inaweza kuwa demotion au promotion.

Mfano kutoka Ilala kwenda Namtumbo DC inaweza kuwa demotion kwa maana huna uwezo wa kuhimili mikiki ya Ilala.
 
Nimeipenda hii ya Iringa DC kwenda Makambako TC, aina ya demotions au horizontal transfer?
........AMEPELEKWA NYUMBANI, ......inapendeza sasa kama mfumo ni kumpeleka kila mmoja mahali alikozaliwa ...
 
Back
Top Bottom