Mahakama ya The Hague == Kura yako ni muhimu. Piga Kura yako sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama ya The Hague == Kura yako ni muhimu. Piga Kura yako sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by QUALITY, Sep 4, 2012.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Naomba IT watutengenezee "voting forum kama hii... https://secure.avaaz.org/en/save_the_maasai_a/?afASrdb" ili watanzania wote wapenda amani duniani tupige kura kuhimiza kesi hii kufunguliwa ili JK na makamanda wake wote waweze kukutana na mkono wa sheria.
  Mod usichanganye thread hii ni muhimu sana ikae peke yake

  Quality

  Kama itakubalika au la, leo nimefanya mambo mawili:-

  1. Nimemtafuta IT na kumpa assignment ya kutengeneza forum for voting. we need atleast 1,000,000 votes. Ikikamilikaa nitawaleteeni
  2. Nimemwandikia "Senior Associate & Coordinator, Criminal Justice Program" wa ICC ili atupatie utaratibu na ushauri.

  Inasikitisha kuona baadhi ya watanzania wakitaka tufikie hatua ya kenya walivyouana baada ya uchaguzi ndiyo au Rwanda tuchukue hatua. Hao hawafaai kwa lolote. Mungu amlaani anayefurahia kifo cha asiye na hatia
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Kura yangu unayo tayari
   
 3. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  The Hague hawana muda wa kusikiliza vikesi vyenu vidogovidogo wewe. Wale wanadeal na international criminal cases. Watu wengine bwana.
   
 4. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ndo mnavyodanganyana huko ccm!!
   
 5. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nashukuru umemjibu vizuri, kwa kifupi ni kwamba, the hague inashughulikia serious crimes of international concern. what are these so called "serious crimes of international concerns?

  1. genocide, mfano wa yale ya Rwanda
  2. crimes against humanity...mfano pale mauaji ya halaiki yanapotokea kwa raia (wide spread and systematic attack against civilian population)
  3. war crimes, hii inatokea kwenye maeneo ya vita, na tz hatuko vitani hapa
  4. crime of aggression,,,hili nikosa la nchi kuvamia nyingine na bado halijaanza kufanya kazi hadi mwaka 2017 pamoja na kwamba kwenye icc statute lipo.
  hayo hapo juu tu ndo yanashughulikiwa na icc. kati ya hayo hapo juu, kosa pekee ambalo lingewakamata wauaji hawa wa tz ni crimes agaist humanity ambalo nalo huwa linatakiwa yatokee mauaji widespread au systematic, ikijumuisha substantial number of people killed, mauaji ya mtu mmojammoja tu haya huwa yanaangukia kwenye murder za kawaida kwenye court za kwetu hapa. hivyo katu icc hawawezi kutua bongo.

  vile vile, only the followings can cause the case to comment at the icc.
  1. state party, yaani nchi iliyotia saini, mfano kama mauaji yametokea tz kenya au uganda ikapeleka suala hili icc to move the court to commence investigation etc.
  2. referral by the security council of the UN, kikao cha nchu maalumu fulani hivi zenye viti vya ulinzi pale umoja wa mataifa.
  3. the prosecutor's own move, yaani pale prosecutor( Fatou au zamani alikuwa ocampo) anapoamua yeye mwenyewe kuanzisha investigation.
  vitu hivyo vitatu tu ndo vinaweza kusogelea icc kufanya watu wachunguzwe na kushitakiwa. hakuna individual person, lets say Hellen kijo bisimba, wewe mtoa mada, kikundi chochote cha watu, NGO yeyote etc yenye nafasi ya kupeleka jambo icc.

  kwa kifupi ni kwamba, mauaji pekee ambayo yangeweza kuwatia viongozi wa tz icc ni yale ya zenji kipindi kile, ila hizi murder za arusha na hii ya daudi, haijafikia kiwango au hadhi ya kupokelewa na icc. hata hivyo, huwa wanasubiri muda mrefu kidogo hadi watie timu, si haraka hivi...
   
 6. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mkuu Mwana wa Mungu umetoa maelezo ya kutosha. Kuna vilaza humu ndani huwa wanakurupuka tu na kufungua thread ambazo hata haziendani na uhalisia. Watu wengine bwana.
   
 7. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Chukua na ya kwangu,i support
   
 8. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Possible true. But real let's do this wazee

   
 9. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Possible true. But real let's do this wazee

   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Wabongo kwa kurukia mambo!

  Hata Mchafukoge hamjamaliza mara tu The Hague.
   
 11. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Watu wasifanye wanajua kuchambua sheria,tunataka mahakama ya icc ipate notes of infomation kwani mbegu moja huzaa mazao,kama jaji wetu wa mahakama kuu hapa bongo ni mteule wa mkuu wa kaya anaona uonevu na hasemi kitu,ni heri icc japo itoe warning kwa wavunjaji wa haki za binadamu wa TZ.POLISI WAMEUA RAIA WASIO NA HATIA ZAIDI YA 70 HAPA NCHINI KWA UJUMLA WAO,JE TUNATAKA WAFE WANGAPI ILI TUITE NI CRIME?TANZANIA POLICE ARE 'PEOPLE OF MABWE PANDE INVESTIGATING CHADEMA IN TANZANIA[POMICT]NOT PEOPLE OF LANCUSHIRE INVESTIGATING CRIMINALS IN ENGLAND[POLICE]'.KWA HIYO WANABODI TUENEZE JINA LA HAWA JAMAA WAITWE 'POMICT' NA SI 'POLICE'.MPAKA 2015 TUTAKAPO UNDA UPYA CHOMBO CHA USALAMA WA RAIA,JE MNAONAJE?
   
 12. peri

  peri JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tatizo chuki zetu zinatufanya tukurupuke na kukosa umakini.
  Matokeo yake tuna anzisha mada zisizo na mashiko halafu tunazikimbia kwakuwa tunaongea tusichokifahamu.
   
 13. peri

  peri JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tatizo chuki zetu zinatufanya tukurupuke na kukosa umakini.
  Matokeo yake tuna anzisha mada zisizo na mashiko halafu tunazikimbia kwakuwa tunaongea tusichokifahamu na tunaongoza na chuki kuliko uhalisia.
   
 14. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ''....substantial number of people''. How substantial is this substantial u talk about? Kwa watu weupe just an indvl inakuwa shida sasa sisi tusubiri mauaji ya kimbari?. I remember Israel went to war with Palestine just to rescue a single soldier. More than 30 people but it doesnt click in our heads? I believe ingekuwa kwa wenzetu wanaojua thamani ya maisha ya binadamu,this could be an issue! One of our former presidents being interviewed on Hard Talk BBC programme alisema mauaji ''...the number of the dead is not that high, just 9 people'' na watu wote duniani walishangaa. ''..just 9 people of lives lost haikumshtua huyu bwana mkubwa. Sasa ndio haya mambo ya kusema ''..a substantial number..''. Asee, au ndio kama signature ya mkuu mmoja hapa inasema 'miafrika ndivyo tulivyo' hatujali maisha yetu.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 16. G

  GHANI JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hizi ni siasa uchwara
   
 17. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Wewe hujaambiwa kuwa kifo cha mtu mmoja hakina uzito. Ulichoambiwa ni kuwa mahakama ya ICC haideal na kesi za mauaji ya watu wawili au watatu au wanne. Most of the time inatatua kesi za mauaji ya idadi kubwa ya watu ambayo yamekuwa triggered na issue za kisiasa au chuki za kikabila au kidini. Sasa unatoa mfano wa ooh mzungu kashtuka kusikia watu tisa oooh Israel walienda kuokoa mtu mmoja, halafu umeshindwa kutoa mfano wa kesi ya mauaji ya watu 9 iliyotatuliwa na ICC. Watu wengine bwana.
   
 18. luhala

  luhala JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 412
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona una tatizo au la elimu ndogo au upstairs kuna matatizo. Kwani wanahitajika kuuwawa wangapi ili wahalifu washtakiwe? Tangu Kikwete waingie madarakani kumekuwa na mauaji, utekaji nyara, wananchi kuhujumiwa kwa kujeruhiwa, kumwagiwa Tindikali, kuuwawa katika mazingira tata, kubambikiwa kesi na mauaji ya waziwazi kwa risasi za polisi. Hakika wewe ni mmoja wa au polisi au Usalama wa Taifa ambao kwa sasa si salama tena bali ni kiama kwa jinsi wanavyohusishwa na hujuma mbalimbali dhidi ya wananchi kwa kushirikiana na Polisi katika harakati za kuwazima wanaotofautiana na CCM! Polisi imehusika na mauaji na kujeruhi Arusha ambako walipindisha ukweli na kujiundia tume ya kujichunguza! walifanya hivyo pia Mbeya, waliuwa kule Songea, wameua wananchi wasio na hatia mara kadhaa kule mkoani Mara, wameua Morogoro na kutoa maelezo mepesi mepesi, Igunga, Mto wa mbu, na sasa Iringa. Angeuwawa mumeo, baba yako, mama au mtoto wako ungeendelea kuziita hizo kesi ndogondogo? Nilizozitaja ni kesi za waziwazi bado za watu 'kupotea' kuwekewa sumu za kuwadhuru n.k. Bado hakuna haja kweli ya wahalifu hawa kufikishwa The Hague?
   
 19. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  the return of Faiza Fox. Bienvenue.
   
 20. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Radhia whether ni ICC au popote pale issue hapa ni kwamba maisha ya watu yamepotea and something should be done kuondokana na kile Mwanakijiji anaita ''trigger happy policemen''. Period!
   
Loading...