Nchimbi haiwezi wizara ya mambo ya ndani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchimbi haiwezi wizara ya mambo ya ndani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LENGIO, Aug 27, 2012.

 1. LENGIO

  LENGIO JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Tangu nchimbi amechaguliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kumekuwa na wimbi kubwa la wahamiaji haramu na kuwahalalishia wakenya ambao sio raia kupata uraia.mfano antony ngoo na mwanae davis ngoo mwenye paspoti mbili,ya kenya na tanzania,afisa uhamiaji mwanguku alieyendesha upelelezi juu ya wakenya hao na kupendekeza waondolewe nchini kwani sio raia matokeo yake yeye ndio kahamishwa kwa shinikizo la mtoto wa mzindakaya.ushaidi upo kila kitu alikibidhiwa anadai wakenya hawa wanapigwa vita kwa sababu za kibiashara,kuna tetesi zimezaga mirerani amehongwa na wakenya hao na kupewa ahadi za kupewa shea kwenye mgodi wa tanzanite.
   
 2. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Sasa Wizara gani anaiweza? Hafai kuwa Waziri wa wizara yoyole ile.
   
 3. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  ahaaa losers don't think straight, fanyeni kazi acheni majungu vijana
   
 4. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hata ye mwenyewe anajua kiatu alichopewa ni oversize lakini atafanyaje sasa wkt ndo sare ya kazi.
   
 5. m

  malaka JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sema jk ndio hawezi sio mawaziri wake.
   
 6. H

  Hon.MP Senior Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ile ya Vijana na Michezo angalau. Hii inahitaji mtu ambaye hata jicho lake tu linatosha kutoa onyo kali kwa wavunja sheria kama vile ile sura aliyokuwa nayo Marehemu Sokoine! .
   
 7. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  wewe unashangaa nini? nenda ma ofisini mwa ubalozi wa Tanzania nchi za nje haswaa Urrusi, Ufaransa, Italy na china. maana kuna watu hawana hata sifa za kuitwa mabalozi, lakini wamejipatia ulaji huko.
   
 8. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hata mtangulizi wake Nahodha naye alikuwa kilaza. Ha ha ha.
   
 9. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  we ndo mke wake mdogo nini,? Wenzako wanaleta hoja we unaleta kujipendekeza
   
 10. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Inabidi wamkodi Mrema kwa muda, vinginevyo sioni anayeiweza hiyo wizara kati ya magamba wote.
   
 11. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  kwahilo wala sibishi nakuunga mkono, ushahidi ni pale alipodiriki kumfukuza nape uvccm , nakupendekeza afukuzwe ccm na ujumbe wa nec.lakini mwenyekiti wake akampuuza na kusema si vyema kumfukuza nape ccm.ndo JK akampa udc kule masasi, hoja je kama kweli nape alikuwa na hatia kiasi hicho kwanini ampe udc?na pia kama angekuwa mbovu kiasi hicho kwann ampe kamati ya itikadi na uenezi?hizo zilikuwa jazba na kisasi kwa kuwa nape ni mropokaji alifichua siri ambayo hata mzee wa visent aliificha.mpak leo taarifa hiyo haijatoka na uvccm wako kimya kama mbwa koko.tatizo hapa ni JK mwenyewe kupanga safu za watu wahuni na wakorofi wasiokuwa na tijaa .Kimsingi hata haya mapambano yaliyotokea msanvu ni yeye kaingiza.Na sababu za mantiki kuzuia maandamano hayo ni uonevu tu.

   
 12. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,102
  Likes Received: 1,492
  Trophy Points: 280
  Alipokuwa wizara ya habari michezo na utamaduni alianzisha mchakato wa vazi la taifa ambao haujulikani umeishia wapi hilo ndio tatizo la udokta wa kujipachika
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  JK ndo kashindwa kazi sio mawaziri..hao mnawaonea tu jamani
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  God forbid katika watu ambao huwa nakosa imani nao kazini huyu ni mmoja wao!
  yaani amekaa kimasihara masihara sasa alimsukumia Nape azabu zote izo bosi wake akampa UDC huoni kuwa walitaka mpotezea Nape ili asivuluge lile dili la jengo la umoja wa Vijana!
   
 15. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ni wizara hiyo hiyo ya mambo ya ndani ikiongozwa na Nchimbi ambayo ndio polisi wake wanawaua raia wasiokuwa na hatia kwa kuwapiga risasi za moto!! Uwezo wa Nchimbi kuongooza wizara ni mdogo kwani hata elimu yake ni ya kuunga unga tu!!
   
 16. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa natafuta namna ya kumjibu,naona umemaliza
   
 17. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  wewe kama unatafuta basha sema inaonyesha unawashwa wewe?!
   
Loading...