Watunga sera

oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
310
65
Napendekeza katiba mpya iwe na baraza la kitaifa lenye wajumbe wazalendo, wasio wanacahama wa chama chochote cha siasa ili baraza hilo lihusike na kutunga sera na vipaumbele vya taifa. kazi ya vyama vya siasa iwe ni kutuambia how to reach our goals kama taifa na siyo what to do.
Nawasilisha
 
No la muhimu hapa ni nchi kuwa na dira (vision) itakayoongoza sera zote zinaposajiriwa. Vyama vingi maana yake ni sera nyingi.
 
Back
Top Bottom