King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,457
- 99,405
Wadau wa CUF mbona hamuupi promo mkutano wenu? Leo kuna mkutano wa CUF mbagala zakhem opposite na DarLive.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Wadau wa CUF mbona hamuupi promo mkutano wenu? Leo kuna mkutano wa CUF mbagala zakhem opposite na DarLive.
Nawasilisha.
CUF jana waliandamana kwenda Wizara ya Mambo ya Ndani, leo mkutano wa nini tena?