Maoni kuhusu katiba-waraka toka ktk kila familia ni muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni kuhusu katiba-waraka toka ktk kila familia ni muhimu

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mabadilikosasa, Jul 13, 2012.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kwamba mikutano ya katiba itakuwepo. lakini sio watu wote watapata mic kwa ajili ya kutoa maoni. Usashuri umetolewa kwamba kila familia (baba, mama, na watoto) ikae, ijadili, na kuandika maoni yao kwa maandishi na kuwasilisha kwa tume. Kwa sababu hili ni jambo muhimu sana, family discussion, and write ups zitasaidia zaidi
   
 2. Makucha

  Makucha JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni jambo zuri lakini mchakato wake uboreshwe. Maoni ya familia yapelekwe kwa Mjumbe wa Shina, wajumbe w shina wapeleke kwa Serikali ya mtaa, serikali za mitaa zipeleke kwa kata, kata zipeleke kwa Wilaya, Wilaya zipeleke kwa Mkoa na Mikoa ipeleke kwa Tume. Muhimu (1) Kuwe na muongozo wa namna ya kuwakilisha maoni kuepuka kurudiarudia na 'relevancy (2) Kila 'stage' ipewe muda wa kuanzia wiki mbili hadi miezi miwili kukamilisha na kuwasilisha (3) Kuwe na mtaalamu wa kuratibu (siyo kuchakachua) mapendekezo kuanzia ngazi ya Kata kukidhi (1) hapo juu, (4) Kuwe na 'checklist' ya ku-tick pendekezo hili linaingia wapi katika checklist (5) Pale pendekezo haliingii popote, list iongezwe na Kata kukidhi haja hii na (6) Kila row katika checklist kuwe na column ya remarks (to qualify the checked item for compliance with the actual contribution) kwa ajili ya kuboresha kilichomo katika checklist for easy compilation ya maoni yote kitaifa.
   
Loading...