Nakubaliana na Mnyika/Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakubaliana na Mnyika/Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 1800, Sep 4, 2012.

 1. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nimemsikia ndugu Mnyika J.J kwa niaba ya Chadema akitoa wito kwa rais Kikwete kuwasimamisha kazi D.c.i Chagonja na R.p.c Kamuhanda kupisha uchunguzi wa mauaji ya kikatili na ya kusikitisha ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi,pia ametoa rai polisi kuwakamata mara moja polisi saba ambao sura zao zinaonekana wazi kua walikua katika tukio la kumtesa hatimaye kumlipua na kumuua ndugu Mwangosi,hizi ndizo kauli na vitendo vinavyopaswa kutolewa na kuchukuliwa na viongozi makini,na si porojo kama za Nchimbi!polisi wahusika wa tukio ilo wako wazi kwenye picha,mpaka sasa hawajachukuliwa hatua yoyote na bado wapo kazini,unategemea kuna uchunguzi gani utakaofanyika bila kuvurugwa??hawa wahusika wana uwezo mkubwa sana wa kuvuruga ushaidi,na historia ya Kamuhanda inaeleweka tokea Songea,inashangaza mpaka sasa anadunda tu kazini bila kutiliwa shaka utendaji wake!kauli ya Nchimbi kumshangaa Mwema kutomkamata Dr Slaa na kumshangaa Dr Slaa kwa kutojisalimisha police ni ya kichekesho na inaonyesha ukosefu wa umakini wa viongozi wetu,sms ya Dr Slaa ina relate vp na mauaji ya polisi kwa Mwangosi?Dr Slaa ndio muuaji au polisi ndio walioua?kichekesho kingine hiki!
   
 2. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kaka kwani sms ya dr slaa ilisemaje? ilisema police waue au? au nchimbi yeye anasema ilisemaje?
   
 3. Codon

  Codon JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kunapicha zingine mwisho wake mbaya!!We acha tu!
   
 4. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ilimtaka I.G.P ampigie simu/apokee simu ya Dr Slaa,ikamtaka aandae risasi na mabomu ya kutosha na baada ya hapo waandae karamu ya kujipongeza kwa mauaji,kwa kua ni bora kufa kuliko kuendelea na manyanyaso ya polisi,pia alimtaka I.G.P wajiandae kwenda The Hague
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu ni wazi C.c.m sasa imechoka kifikra,mbaya zaidi imekosa hata watu wenye uwezo wa kutoa maamuzi na kauli madhubuti katika mambo yanayogusa Watanzani na yanayohitaji majibu yasiyo na porojo,wizara ya mambo ya ndani ni wizara nyeti sana,inahitaji watu wazalendo na watu makini sana!no wonder Watanzania sasa wamechoshwa kabisa na c.c.m
   
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,850
  Trophy Points: 280
  hivi kwann polisi watake kumuua huyu mwandish wa habari? je ni stail kama ya ulimboka ama kuna nini hapo? mbona kila nikiwaza sion kama napata jibu la what was behind the scene hadi wamlipue kwa bomu?
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wanamfurahisha mwenyekiti wa ccm
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mnyika hana jipya, anarukia hoja tu.

  Tunamwachia Zitto aje kumjibu.
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,850
  Trophy Points: 280
  MWENYEKITI WA ccm DR Jakaya Mrisho kikwete alitaka huyu mwandishi afe? kabla ya kuwa mwandish wa channel 10 aliwah kufanya kazi gani nyingine? na je ni polis walimfwata ama yeye ndo aliwafwata polis?
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyo kajiua mwenyewe, fikiri, Polisi wamesema tawanyika, wamebeba na kitambaa chekundu chenye maandishi ya kuwataka mtawanyike au watatumia nguvu, mnakataa, halafu wakianza kurusha mabomu ya machozi, wewe unatoka mbio unakwenda kumvaa na kumkumbatia mkubwa wao? si unajitafutia kifo tu.
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hata ulimboka alijipiga mwenyewe ha! Ha! Ha! Ha!
   
 12. Kankwale

  Kankwale Senior Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  huitaji kujiuliza sana kilichotokea ni kwamba mazingira yote ni kama ya ulimboka tume inayouodwa ni ya watekelezaji wa mpango wa kuuwa.Mungu tusaidie tufe ili tuwaachie kizazi chenye kujitambua.Amen
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ulimboka tu na Ali wa Morogoro umesahau.
   
 14. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  zomba unazombokoka tuliza kibuli! just look 4u're friendly usipende maslaha kwenye ukwel utakufa kifo kibaya mafriendly!
   
 15. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  pusipusipusidxsidxsinyauuuuuuuuuu weee!
   
 16. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hata mjitetee vipi,polisi mumeua,damu hii itazaa Daudi Mwangosi milioni2.
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Na Yule mwenyekiti wa CDM Arumeru
   
 18. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kuna watu akili zao wanaacha chumbani,ZOMBA
   
 19. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hata mjitetee vipi,polisi mumeua,damu hii itazaa Daudi Mwangosi milioni2.
   
 20. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sijajua kama uko serious na swali lako au la; lakini ngoja tu nijibu. In short mwandishi yeyote wa habari anayetoa habari za mikutano au chochote kinachohusiana na CDM positively basi lazima awindwe/ awe target. Hivyo hivyo kwa mwandishi yeyote atakaye toa habari -ves za CCM au serikali. Mwandishi ambaye atakuwa anatoa -ves za CDM na kuipamba CCM na serikali at any cost; basi yeye asiwe na shida wala woga. Sasa ni wakati wa wao tu kujitambua; na kuchagua kusuka au kunyoa. Heshima na utu vina cost tena cost kubwa sana lakini long lived; inahitaji muda na uvumilivu. Kuuza uhuru kuna raha ambazo ni short lived, na cost ambayo ni long lived. Daudi alichagua kusimamia heshima, na utu na cost yake ndio hiyo. Yeye kama kiongozi hakuona ni haki kwa mwandishi mwenzie kukamatwa; hivyo akahitaji maelezo. Alidhubutu ku-question mamlaka ambazo zimezoea kuabudiwa/kusujudiwa. Alidhubutu kuuliza/kuzungumza pale wengi walipoogopa kufanya hivyo.

   
Loading...