"Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Huenda Mwandishi Daud Mwangosi alitumwa awalipue Polisi kwa bomu (Kujitoa mhanga)"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndibalema, Sep 4, 2012.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hii nimeiona imepostiwa na mwana CCM Mjumbe wa NEC mwenye dream za kuja kuwa kiongozi wa Nchi hii.  MWANDISHI ALIPEWA BOMU AKALIPUE??

  (1)-MWANDISHI MWENZIE ASEMA marehemu alikuwa anasoma kitabu cha maadili ya waandishi kabla ya tukio jambo ambalo si kawaida,

  (2)-Alionekana kuwa na wasiwasi na mgogoro wa nafsi kabla ya kwenda katika tukio.

  (3)-Bila kujali vurugu wala bila hofu alikuwa anaelekea mahali polisi walipokusanyika.

  (4)-Alipovamia kundi la polisi kabla hajafanya chochote polisi wakamuwahi wakawa wanamzuai.

  (5)-Akawa analazimisha kwenda alipo mkuu wa kituo wa polisi OCS.
  ... (6)-Wakati polisi wanakabiliana nae akaangukia tumbo.

  (7)-Mlipuko mkubwa ukasikika na kufumua utumbo na kujeruhi polisi kadhaa akiwemo mkuu wao.

  (8)-Huenda alikuwa na bomu aliloficha ndani ya shati.

  (9)-Hakudhamiria kujiua, huenda alitumwa kulidondosha katikati ya polisi.Lakini kwa bahati mbaya akadondoka,bomu likamlipukia kabla hajalitoa.

  HUENDA ALITUMIWA, AKAWALIPUE POLIS

  [​IMG]


  Ally Salum Hapi

  MKT WA CCM (UDSM),MJUMBE WA BARAZA KUU LA SHIRIKISHO LA CCM MKOA WA DSM


  University of Dar es Salaam
  Class of 2007 · L.L.B. · Bachelor of Laws · Staying Focused
  A graduate of LL.B(horns),University of Dar es salaam.

  My Take:
  Huyu na yeye anajiita ni Msomi.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,189
  Trophy Points: 280
  ...Uongo wao huu uliokithiri waambiane wenyewe waliomo ndani ya magamba na Serikali dhalimu ya wauaji. Watanzania wengine uongo wao tumeshaustukia siku nyingi sana.
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Mods, kwa maswala yanayotia uchungu kama hili la kuuliwa kwa mwandishi, na maneno yanayosemwa na viongozi wa CCM, inabidi mturuhusu tuwe tunaporomosha mijitusi ya haja ili tupunguze stress
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  Ndibalema
  this is unbelievable.... If one ever contemplated killing, this is a good subject for the test, dogo huyu wa CCM anahitaji ulinzi kwani anacheza na sensitive matter in a a very light way!! asidhani kila kitu ni political debate
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  mkuu hii si ya kuichukulia ki-mkorogo, ogo anahitaji discipline ya kudumu
   
 6. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  Statement kama hii ni ya muuaji .... lakini kumbuka malipo ni hapa hapa duniani .... huyu pia atauawa kwa vilaza ya majonzi, manunguniko na uchungu wa sale wote wanaokandamizwa na kunyimwa haki na stahiki katika ardhi ya nchi yao
   
 7. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Msomi gani asiye uwezo wa kujenga hoja? Labda awe msomi wa chupi.
   
 8. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Huyu atakuwa shoga, haiwezekani mwanaume timilifu akaongea upumbavu kama huu.

  CCM kweli ni wachawi, wauwaji, wezi na wanyang'anyi - kuanzia wakubwa wao mpaka watoto wao wanaowazaa!!!
   
 9. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Hivi bomu la machozi linaweza kumsambaratisha binadamu?
   
 10. a

  afwe JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Pamoja na freedom of expression, nadhani sio wakati sahihi kuleta utani katika mambo yenye majonzi kama hili
   
 11. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ukiwa kijana ndani ya CCM akili zako zinaenda likizo.
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  kuna sehemu nilipost jana nikasema tusije kuambiwa kwamba jamaa amejiua... na dnipo tunapoelekea

  manina walahi
   
 13. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mtoto uyu vipi......mtoto ashikiki..hashughuliki mtoto sio rizikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,mi naimba tu.
   
 14. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  ..Sababu zake zinafanana na za zomba humu jf
   
 15. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Lolote linawezekana tatizo wengi ni bendera fata upepo hawaelewi na ukiwauliza hawaelewi
   
 16. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mkuu,hlo nalo la kuuliza? we cheki tu huo mkorogo unaonyesha dogo ana fanya kazi kama sio ya kupara samaki, basi ANAPARA miwa
   
 17. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,856
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  Naye anaongea ili na yeye Wamfikirie Kunako UDC!! Kama Gumbo
   
 18. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  CCM kwa ujumla wao na taasisi zilizo chini yake zikumbuke kitu kimoja kutoka kwa Robert Nesta Marley:

  You can fool some people some time,
  You can fool some people, all the time,
  You can fool all the, some time
  BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME
   
 19. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Tunaweza kujaribia kwenye mwili wako?
   
 20. M

  Mtz.mzalendo JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 22, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana ni cdm wanamkono wao hapo
   
Loading...