Mwigulu Nchemba afanya maandamano Singida

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
Katika hali isiyo ya kawaida, Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi,m Mwigulu Nchemba, Madelu Lameki, amefanya maandamano katika Kijiji cha Ndago.

Mwigulu alifika Jioni na Magari mawili, Moja ni fuso na jingine Shangingi, alipokelewa darajani nje kidogo ya Ndago, maandamano yalilindwa na kupitia mbele ya Kituo cha Polisi hadi9 Ofisi ya CCM katika eneo hilo.

Haijulikani kwanini polisi walilinda maandamano hayo wakati wameshatangaza kuwa maandamano ni marufuku kwa sababu ya Sensa. Au Pengine maandamano na Mikutano ya Ndani ya Chama ambacho mwigulu Nchemba ndiyo mshika fedha wao, wapo juu ya Sheria.

Naomba kuwasilisha......... Picha zipo tutaziweka
 
Mkuu huyo mwigulu si yuko zanzibar kwenye kampeni za BUBUBU? kama vipi weka picha tufatilie!
 
Kichaa huwa kina anza hivi so mwacheni tu huyu muda hizi ndio dalili zake!
 
In fact, the Mwigulu and BUBUBU scenarios are but a few of some of the most oustanding cases and instances of the moribund CCM government in action to dish out a cruel set of SELECTIVE ADMINISTRATION OF RULES, JUSTICE AND ORDERS in the country by first looking at people's faces, their political and religious affiliations as the most pivotal determinant facts to anchor their actions and assertions!!!!!!!!!!!

... so much of a pitty, so pathetic a take but most of all very much energising for a continued real fight for and expanded sustainable democratic space in our governance systems and structures.

katika hali isiyo ya kawaida, Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi,m Mwigulu Nchemba, Madelu Lameki, amefanya maandamano katika Kijiji cha Ndago. Mwigulu alifika Jioni na Magari mawili , Moja ni fuso na jingine Shangingi, alipokelewa darajani nje kidogo ya Ndago, maandamano yalilindwa na kupitia mbele ya Kituo cha Polisi hadi9 Ofisi ya CCM katika eneo hilo. Haijulikani kwanini polisi walilinda maandamano hayo wakati wameshatangaza kuwa maandamano ni marufuku kwa sababu ya Sensa. Au Pengine maandamano na Mikutano ya Ndani ya Chama ambacho mwigulu Nchemba ndiyo mshika fedha wao, wapo juu ya Sheria. Naomba kuwasilisha......... Picha zipo tutaziweka
 
CCM ni rungu mbele katiba na robo haki baadae mpaka mahakamani Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni.....

Weka ushahidi basi???
 
Mkuu translation pls! Wengine hatujui swaga za watu..

In fact, the Mwigulu and BUBUBU scenarios are but a few of some of the most oustanding cases and instances of the moribund CCM government in action to dish out a cruel set of SELECTIVE ADMINISTRATION OF RULES, JUSTICE AND ORDERS in the country by first looking at people's faces, their political and religious affiliations as the most pivotal determinant facts to anchor their actions and assertions!!!!!!!!!!!

... so much of a pitty, so pathetic a take but most of all very much energising for a continued real fight for and expanded sustainable democratic space in our governance systems and structures.
 
fusso lilikuwa na kazi gani katika hayo maandamano? au lilisomba walevi kutoka vilabuni kuja kuandamana naye?
 
Na leo amemaliza kikao cha siku mbili cha CCM hapa Kiomboi, makao makuu ya wilaya ya Iramba.
 
huyo anaelekea kuishiwa sera,jimbo laondoka hvhv,hatujapenda the way kuwatumia wachungaji na mashekhe katika kumsafisha maovu yake,tunamshukuru kuendelea kubomoa ccm yao,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom