Afande Azizi Vs Afande Kova | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afande Azizi Vs Afande Kova

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kumbesa, Sep 8, 2012.

 1. Kumbesa

  Kumbesa Senior Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Afande Azizi alijipatia shukrani nyingi kutoka kwa Rais wa zanzibar baada ya kufanya kazi yake kama alivyo hitajika bila kujali Dinii au mahali inapofanyiwa ,binafsi nampongeza kwa Ushujaa wake na kuonesha ukakamavu wa hali ya juu matokeo hayo yalikuwa ni upande wa zanzibar hapa Dar kilicho nishangaza afande kova ameshindwa kutumia mbinu kama ile aliyoibuni afade Azizi na kuwaruhusu watu kufika maeneo hayo na kufanya waliyo yafanya

  [​IMG]
  Kamanda Kova alifika kutaka kuzungumzanao lakini alishindwa na kwenda kuungana na viongozi wa wizara.

  [​IMG]
  Ilipofika laasiri pakageuzwa msikiti na kuswaliwa hapo hapo.

  [​IMG]
  Hapa wakisujudu.  [​IMG]
  Wakiomba dua maalum.

  [​IMG]
  Jopo la masheikh wakitoka wizarani kuja kutoa tamko la jeshi mbele ya waisilamu ambalo walikubaliana na madai ya waisilamu kuachiliwa huru kwa watu wote wanao kamatwa kwa kupinga kuandikishwa sensa.

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]WALIPORUHUSIWA KUINGIA NDANI KUONGEA NA WAKUU WA JESHI LA POLISI ZAIDI TEMBELEA[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..hebu acheni uchochezi.

  ..cha msingi wamesikilizwa madai yao na hakuna aliyeumizwa wala kuuwawa.

  ..kumbe askari wetu wanaweza ku-deal na maandamano kwa staha na ustaarabu.

  ..swali la kujiuliza ni je kule yanapotokea mauaji, je askari wetu huwa wamepewa maelekezo ya KUUWA??
   
 3. Kakende

  Kakende JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 2,734
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Asilimia kubwa hapo ukiangalia wamevaa nguo za mitumba, kuvaa mitumba mmesababishiwa na mafisadi. Siku nyingine basi muandamane kuwang'oa
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hili liwe somo zuri kwa watawala wetu, na imekuwa kielelezi kizuri kwetu kuwa vurugu na vifo kwenye mikutano/maandamano huwa yanasababishwa na polisi. Pia imedhiirisha kuwa polisi wakipewa amri/maelekezo mazuri toka ka wakubwa wao/ watawala, basi si rahisi kutokea machafuko. Imenisikitisha sana kuona machafuko na vifo hutokea kwenye mijumuiko yenye taarifa kwa polisi na yenye kibali, lakini macafuko hayajatokea kwenye maandamano haya yasiyo na kibali wala taarifa kwa polisi/serikali.
   
 5. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,477
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Kova.jpg
  [TABLE="width: 684"]
  [TR]
  [TD]Aliyemteka Dk Ulimboka akamatwa, atinga kortini
  [/TD]
  [TD]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]Saturday, 14 July 2012 07:28
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"]Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Suleiman Kova
  Ametangaza kukamatwa kukamatwa kwa mtu huyo.
  ADAIWA KUWA NI RAIA WA KENYA, ALIKODIWA
  RAIA wa Kenya, Joshua Mulundi (21) amekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam na kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk Steven Ulimboka. Mtuhumiwa huyo alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana alasiri na kusomewa mashtaka mawili na Wakili wa Serikali, Ladslaus Komanya.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   

  Attached Files:

Loading...