CCM hapa ndipo mlipokosea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM hapa ndipo mlipokosea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Hunter, Sep 8, 2012.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Tukiangalia safari na mwenendo chanya wa siasa ya Tanzania, tutakubaliana kuna chama kimoja tuu ama viwili vyenye think tanks wenye kufanya kazi yao vizuri, hivi ni CDM na CUF
  ccm wao wamekuwa ni wavaa viatu vya wapinzani japo mara zote huwa haviwatoshi.
  mfano;
  Dhana ya Operation Sangara na ile ya Mchamkamchaka ni zao la wapinzani
  .Vua Gamba vaa Gwanda ni zao la wapinzani pia, japo sasa think Tank ya CCM yenye kuongozwa na Nnauye, ilibuni yao ya Vua Gamba, Gwanda vaa Uzalendo ambayo si tuu haina mantiki bali pia ni ya kivivuvivu isiyo na ubunifu wala ufikirifu
  Niwazi watani zetu hawa wasipokaa chini na kuunda timu yenye watu wenye kufikiri kila siku itazidi kuchokwa.
   
 2. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,082
  Trophy Points: 280
  Kwa hali iliyopo sasa, kosa kubwa zaidi ambalo mwananchi anaweza kulifanya ni kuwa mwana-CCM ikiwa ni pamoja na kuvaa yale matambara ya kijani.

  Kitu bora zaidi ambacho mwananchi anaweza kukifanya ni kuikimbia na kuigopa CCM kama ukoma; halafu mapambano mengine dhidi ya UFISADI na uchafu mwingine wa CCM yaanzie hapo.

  Huwezi kushirikiana na majambazi halafu usiwe jambazi japo kwa imani tu.
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  A very clean Citizen will never be a CCM supporter mimi siyo sasa wewe unawezaje kuwa mwana CCM ?
   
 4. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Umenena kweli mkuu! Mchawi wa mtanzania kwa sasa ni ccm. Wananchi wote kwa pamoja wantakiwa kuunganisha nguvu zao na maono yao kuhakikisha kuwa ccm inang'oka maana ndio adui wetu mkubwa wa maendeleo na sasa amekuwa anatuchonganisha tujengeane uhasama wa kidini, kimaeneo na jeshi la polisi lililotakiwa kutulinda usalama wetu na si kutuuwa au kusababisha mauti

  Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Alipokuwa Mangula katibu mkuu wao ccm ilikuwa na uhafadhali leo wangarisha sura ndo wafikiriaji wao, wao ndo watoa matamko, chama kimebaki kuwa mali ya jamaa wa Msoga
  Waziri mkuu hajui hata kama ndo waziri mkuu, kimsingi hajua wajibu na mamlaka yake, mawaziri na manaibu ndo as if vitoto vya
  chekechea, wasomi waliomo humo ndo vilaza hakuna mfano, hawajitambui, wala hawana mchango wowote, waone wakiwa bungeni michango yao ni ipi
   
 6. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,631
  Likes Received: 2,055
  Trophy Points: 280
  Katibu mwenezi ana nguvu utasema yeye ndio katibu mkuu wa chama, au sijui ni mimi ndio nimeona au labda majukumu ya katibu mkuu siyafahamu maana kila matamko Katibu mwenezi (Nape) ndio kila kitu
   
Loading...