Polisi waliojeruhiwa wakati wa mauaji ya Mwangosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waliojeruhiwa wakati wa mauaji ya Mwangosi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwetu Iringa, Sep 8, 2012.

 1. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kuna polisi mmoja alijeruhiwa mguu wakati Mwangosi anauawa. Ni yule aliyemkumbatia Mwangosi kabla hajauawa na bereti nyeusi. Mbona polisi wenzake hawamzungumzii? Na inaelekea aliumia sana, huenda mguu ulivunjika. Anaitwa nani na kalazwa wapi? Inawezekana kapelekwa MOI anonymously.

  Na huenda sababu ya kuwafikisha mahakamani (kama itakuwa kweli) wale wanaodaiwa kuuwa ni hasira ya polisi kumuumiza mwenzao kwa kufyatua bomb kizembe. Kusingekuwa na polisi aliyeumia sana sidhani kama wangefikishwa mahakamani.

  Tujadili
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ????????
   
 3. m

  mwanamfipa Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  God is good all the time
   
 4. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,018
  Likes Received: 37,752
  Trophy Points: 280
  Huu ndio ujinga wa waandishi wa habari.Wanashindwa hata kuhoji na kuandika jambo hili!Wamekaa kimya kabisa.Na wataendeleda kuuwawa kila siku.
   
 5. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nawasiwasi hata hao polisi walio fanya mauwaji watachukuliwa wafungwa na kuwabebesha huo mzigo
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwani polisi kuna mahali wanakabidhi akili zao kama dhamana ya kupata uaskari mpaka wanapostaafu ndipo wazitumie?
   
 7. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  ID yako inaitwaje vilee! Nafikiri umenipata!
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kuna mmoja alikatika vidole labda ndiyo huyo huyo! Francis Godwin asingekimbizwa kila kitu tungeipata hapa!
   
 9. K

  Kigano JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 349
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh ! SABABU NYINGINE YA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI NI GERESHA, ili tukiendelea kuhohoji waseme " ... KESI IKO MAHAKAMANI ... " mpaka tutakapoanza kusahau ! Hii ndiyo Tanzania ndugu yangu !
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mmmmh,,,,usishangae nae akashtakiwa kwa mauaji
   
 11. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Askari ambaye marehemu alimshika kiunoni huku mkononi kuna camera, yule askari alikuwa ameshika fimbo akiinyosha juu kabla ya kuvunjwa miguu na bomu lilimuua Mwangoni ni OCD wa Mafinga kadiri ya habari nilizo nazo. Alikuwa anafanya jitihada za kusimamisha au kumwokoa Mwangosi, lakini ujuavyo kikosi kili kilichomekewa wahuni wasio polisi ambao hawana ujuzi wa mafunzo hawakumsikia afande na hivyo kumsababishia kujeruhiwa.

  Labda hawa ni mbinu za CCM kuchomekea wao waliowapa mafunzo maalumu ili kukamilisha waliyokusudia. Sasa siri zinazidi kuanikwa, mambo nje nje tu.

  Mpishi Mkuu wa mauaji ya Mwangozi ni RPC na ndiye aliyeamrisha vurugu zile, kwani kabla RPC hajafika kikosi kilikuwa kinaongozwa na OCD kilikuwa kinalinda usalama tu.
   
 12. P

  Pagi Ong'wakabu Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa ni wahuni waliopatiwa mafunzo ya janjaweed huko ulemo iramba chini mh nape, nchemba na huko mvomero kwa mh makala hao bila kuona sare ya kijani katu hakuna utii awe policcm awe wa cheo gani awe rpc or ocd hapana jali hata hivyo siku zao zinahesabika MUNGU AWE UPANDE WA WAPEMDA HAKI WOTE
   
 13. A Town massive

  A Town massive Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 8, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 25
  Hili halita tukatisha tamaa, bado tuta pambana kufa nakupona, mabadiliko hayaiji kwa lelemama, watakufa watu ila hatutaisha.

  Changes is the great challenge to anyone, Normally peoples do afraid changes, weather in normal life or in the Government.
   
 14. m

  matawi JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naamini JF imeenea nchi nzima na hata polisi kuna wenye busara zao ambao wapo Jf we afande nani sijui nani vile tusaidie?
   
 15. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,487
  Likes Received: 2,146
  Trophy Points: 280
  Atakuwa kwenye hospitali za jeshi kwanza. MOI watampeleka tu mambo yakianza kupoa. Zaidi atapelekwa nje kuua so.
   
 16. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Polisi hawamaanishi wanachofanya kupelek mahakamani ni kutuliza hasira tu za waTZ huku wakisubiri news ya ku-replace. Polisi wangekuwa na dhamira ya kweli basi Kamuhanda asingekuwa anatamba mitaani tena wakati mwingine akiwa na IGP.
   
 17. M

  Mkandara Verified User

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Huyo Polisi aliyekumbatiwa na marehemu sii ndiye mkuu wa polisi sijui Upelelezi? kwani kaumizwa au hukumtazama vizuri?
   
 18. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Yule police aliyejeruhiwa miguu anaitwa Mwampamba, alipohojiwa na gazeti la Mwananchi alionekana kuwa ni Magamba baada ya kusema vurugu za CHADEMA zilifuatiwa na kitu kilicholipuka kutoka chini na kumjeruhi huku akikana kabisa kukumbatiwa na RIP Mwangosi wakati akipewa kipigo na policcm.
   
 19. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Ndyali Umesema kweli yule ni jamaa yake na Mwangosi (wanafahamiana kwa ukaribi au kikazi) na wanadai ni OCD wala sio RPC na wale vijana mbona wamesharudi Dom ila gari la washawasha bado liko Iringa naona baada ya kusikia M4C imeahirishwa maeneo hayo. Huyo anayesema watafikishwa Mahakamani au wailifikishwa ni nani amwage data hapa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tumsamehe bure mzee wa watu. Alitaka awafurahishe wakubwa na hakujua kama picha za tukio zima zilichukuliwa vizuri kabisa.
   
Loading...