Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vyama vya siasa nchini Tanzania tangu vianze vimeleta demokrasia hasa ktk uhuru wa kutoa mawazo, raia kujua haki zao nk lakini lengo kubwa nafikiri ilikuwa pamoja na hayo kumletea mawananchi...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Chama cha wananchi CUF kinaanza kuzunguka nchi nzima,tarehe 30.9.2012 watakuwa hapa Arusha kufanya mkutano mkubwa,swali je wataweza kufuta nyayo za CHADEMA?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna makosa mengi ya jinai ambayo yanatokea katika mazingira ya makusudi na watu wanafanya hivyo kwa kujua kwamba watafikishwa mahakamani na baada ya hapo kutakuwa na mwenendo wa kesi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Nilipata fursa ya kuwasiliana na mtonyaji wetu ambaye ameniambia kwamba Chadema tuwashukuru sana waandishi wa habari za Iringa na Tundu Lissu kwa sababu wameifanya serikali ishindwe kitu...
37 Reactions
69 Replies
10K Views
Friday, 02 September 2011 NI KAMPUNI YENYE UHUSIANO NA JWTZ, ZITTO AHOFU USIRI KUTAWALA UCHUNGUZI wa Bunge kuhusu ufisadi wa zaidi ya Sh205.9 bilioni unaodaiwa kufanywa kupitia Kampuni...
2 Reactions
104 Replies
12K Views
Prof Shivji aliwahi kusema nguzo za KATIBA TANZANIA, na hivyo nguzo za utawala wa CCM ni: (1) chama kimoja CCM; (2) MUUNGANO TZ na ZANZ; na (3) urais wa kifalme (imperial presidency). HAYA...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Lowassa adaiwa kumhujumu Sumaye, kumbeba Nagu .Mwenyewe ang�aka, asema wote ni marafiki zake Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na Nagu. Chaguzi zinazoendelea ndani ya Chama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mgeja: Wana CCM acheni malumbano Na Suleiman Abeid, Shinyanga WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Shinyanga, wametakiwa kuacha malumbano yasiyo na tija katika kipindi hiki ambacho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeudhuria mkutano wa M4C wa Chadema walikuwa na watu wengi. Wamepata wanachama wapya. Kama haujajiunga jiunge sasa ili tuweze kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi. Asanteh
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hon. Bernard K. Membe (MP) (left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation waiting to receive former President of Mozambique, Mr. Joaquim Alberto Chissano at Mwalimu Julius...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
KILA uchaguzi unapofanyika, malalamiko hayaishi hata kama anayelalamika kushindwa ameachwa kwa kura nyingi sana.je, ni uchanga wa demokrasia? najaribu kuuangalia uchaguzi wa bububu zanzibar...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salam wadau, Kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam hasa pande za Kigamboni na maeneo ya jirani, kesho kutakuwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika Vijibweni na kuhutubiwa na makamanda kadhaa kutoka...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Mh. Rais Nikusalimu kwa salamu. Mh. Rais nitumie njia hii ya maandishi baada ya kutumia njia ya majukwaa na matamko mbalimbali kuikosoa serikali yako na chama chako cha ccm.. Mh. Rais nimeamua...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
ni dhahiri chadema ya sasa imekua na kujizolea washabiki pande zote za Tanzania na kwa kiasi kikubwa ccm inaendelea kupoteza ushawishi kwa vijana,wakulima na wafanyakazi. Kwa maoni yangu mwaka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mgombea wa ccm katika uchguzi mdogo jimbo la bububu zanzibar ametangazwa mshindi leo hii kwa kupata asilimia 57 ya kura zote zilizopigwa. Source ni itv habari sa 2 usiku huu
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Tanzania to review 26 contracts on oil, gas Send to a friend Sunday, 16 September 2012 09:25 Under production-sharing agreements, exploring...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hapa najiuliza nashindwa kupaja majibu yenye tija na umuhimu wa shughuri husika. Mh. Kayanza Peter Pinda yupo katika ziara ya nchi bila shaka nchi nzima katika kukagua, kuhimiza na kufungua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia kupitia magazeti kwamba Nimrod Mkono (Mbunge wa Musoma Vijijini - CCM), akisema kwamba ameshtushwa na taarifa kupitia vyombo vya habari kwamba jina lake limeenguliwa toka katika watu...
16 Reactions
97 Replies
11K Views
JUMAPILI, SEPTEMBA 16, 2012 08:08 NA BAKARI KIMWANGA, PANGANI BUNGE ni moja ya mhimili wa nchi ambao umekuwa na wabunge ambao huwa ni wajumbe wa chombo hicho kwa ajili ya kutunga sheria za nchi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari hizi nimezipata kutoka dawati la mbele la chama
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…