Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Tanzania dr. Jakaya Kikwete amemuapisha ruteni generali Samwel Albert Ndomba kuchukua nafasi ya aliyekuwa mnadhimu mkuu wa jeshi A.A.Shimbo aliye fikisha umri wa kusitafu wa miaka 60...
2 Reactions
44 Replies
16K Views
Katika kile ambacho kinaonekana ni mwendelezo wa yale ambayo yamekuwa yakifanywa na chama tawala kutumia rasilimali ya nchi kwenye shughuli za chama mapacha wao CUF nao wameingia kwenye huo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndiyo wakuu! Nitaanza na nukuu zifuatazo :- 1. Mwl Nyerere ktk kitabu chake cha Binadamu na Maendeleo alipata kusema "TANZANIA NI YA WATANZANIA WOTE, HAKUNA MTU MWENYE HAKI YA KUSEMA MIMI NDIYE...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi Zanzibar, kimesema ikiwa itatokea kuvunjika kwa Muungano wa Serikali mbili kutokana na shinikizo la baadhi ya wanasiasa ‘mapepe’ kutaibuka vuguvugu la kujitenga kwa visiwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ukistaajabu ya CCM utaona ya CUF. mwaka 2015 kuwa wa kihistoria jimbo la iramba mashariki laweza kufikisha zaidi ya wagombea 100 watakao omba ridhaa katika vyama mbalimbali imebainika. Wakuu wa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Uchaguzi wa CCM Zanzibar ilifanyika jana huku ukiacha majonzi kwa wanasiasa maarufu, akiwemo Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Khamis Suleiman Dadi, wakianguka. Mwanasiasa huyo maarufu katika...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wanabodi katika kuperuzi nimekutana na ili Tangazo kutoka Tanesco Wanataka maoni ya wadau kuhusu tanesco tunayoitaka: Kabla sijatoa Maoni yangu: Hivi waliotoa hili tangazo hawajui Tanesco watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kada mmoja wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekufa papo hapo na wengine zaidi ya 85 wamejeruhiwa vibaya baada ya lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T420 APM walilokuwa wakisafiria kwenda...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
UNDUGU NDANI YA SERIKALI Wananchi wengi wamekuwa wakilalamikia utawala mbovu ndani ya CCM na serikali yake. IGP Mwema alipewa u IGP kwa sababu ya uhusiano wake na Rais ameridhika, hana wasiwasi...
18 Reactions
131 Replies
13K Views
Wakuu tunakumbuka kwamba mirungi (miraa) ilipigwa marufuku hapa nchini kwa kuwa ni madawa ya kulevya. Mirungi hulimwa sana nchini Kenya na huwa inauzwa Somalia na Kenya kwenyewe na pia huwa...
1 Reactions
55 Replies
8K Views
Friday, September 28, 2012 *Asema Dk. Slaa ameikimbia Mwanza mapema baada ya kunusa Chadema kugaragazwa *Awapongeza madiwani wa CCM wa Nyamagana kwa kuwezesha ushindi wa Menya na Naibu Meya...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Ndiyo wakuu! Leo hii mji wa geita na viunga vyake umezizima kwa mkutano mkubwa ulio ongozwa na Mb Wenje wa jimbo la Nyamagana, kamanda Mawazo,diwani wa zamani wa kata ya Sombetini-Arusha alie...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapambanaji wa Ukweli Chama cha wananchi CUF kwa wiki kadhaa kimekuwepo Mkoani Arusha ktk operesheni maalum ya kuzindua Matawi na kupokea wanachama wapya ktk Mkoa huo maarufu kwa watalii...
0 Reactions
168 Replies
14K Views
Wana Jamvi Salaamuni kwa mpigo. Siku nyingi hatujajuliana hali. Katika mengi yaliyomwagwa kwenye dish langu mpaka napata shida kukaa nayo, ni hili na Mheshimiwa Nape Nnauye kupatana na Mheshimiwa...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
MIMI PAUL MAKONDA napenda kuwashukuru kwa dhati viongozi wote wa Vyuo Vikuu/Taasisi za elimu ya juu nchini kwa kuniamini na kunichagua kuwa Mwenyekiti wa “TAHLISO” mnamo 27 Septemba, 2011 mpaka...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Tayari katika vyombo mbalimbali vya habari, tumepata taarifa ya kufunguliwa kesi ya mauaji ya Iringa. Vilevile inaonyesha Waziri chimbi jana ametoa waraka unaelezea tuhuma za mlalamikiwa. Sasa...
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Viongozi nchini wametakiwa kumuiga Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ambaye aliongoza nchi kwa misingi ya Azimio la Arusha badala ya kukumbatia rushwa na ufisadi unaowanufaisha...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
"Hawa wanachama wa vyama vingine tusiwaone kama madui, bali tuwaone kama wenzetu ambao hatujafanya jukumu la msingi la kuwahamasisha na kuwaelimisha waweze kuunderstand umuhimu wa kujiunga na...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Wahenga walisema mkataa pema pabaya panamwita! Msemo huu una maana kubwa sana katika jamii na hasa Watanzania wa leo. Ni kipindi kirefu sana Watanzania wamekuwa wakilia maisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za J3 GT's Jumatatu ya leo tutajadili kuhusu Ongezeko na majaaliwa ya Vyama vidogo vya siasa kuelekea uchaguzi Mkuu 2015. Lengo ni kutathimini kukomaa kwa demokrasia lakini pia mfumo wa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…