Wagombea 30 wanalifanyia mazoezi jimbo la Iramba mashariki.

Ayoub Idd

Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
36
Reaction score
2
Ukistaajabu ya CCM utaona ya CUF. mwaka 2015 kuwa wa kihistoria jimbo la iramba mashariki laweza kufikisha zaidi ya wagombea 100 watakao omba ridhaa katika vyama mbalimbali imebainika. Wakuu wa wilaya kutoana jasho katika kinyang'anyiro hiko kuwakilisha Chama tawala. Hali ya sasa CHADEMA wanakazi kubwa ya kulinda kura kuliko kampeni, hata wakiacha kupiga kampeni watashinda kwa mtikisiko mkubwa. AIDHA VIGOGO KUANGUKA VIBAYA katika uchaguzi ujao. Inaonesha vijana ni wengi kuliko wazee, vijana wana kadi zaidi ya moja za vyama vya siasa. MOJA YA KULA NYINGINE YA HAKI. Wenye pesa wajiangalia sana wasije vuna majuto.
 
Mkuu Idd vipi? Mada hasa ni ipi?

Je, ni Iramba Mashariki kufikisha wagombea 100 hapo 2015? Au ni wakuu wengi wa wilaya kugombea kupitia chama tawala? Au ni Chadema kuwa na kazi kubwa kulinda kura? Au Chadema hata wasipopiga kampeni kushinda kwa mtikisiko? Au ni vijana kuwa wengi kuliko wazee kwenye kinyang'anyiro? Au ni vijana wengi kuwa na kadi zaidi ya moja za vyama vya siasa? Au ni wenye pesa kutakiwa kujiangalia wasije kuvuna majuto? Au?

I am confused nichangie kipi? Ingekuwa kwenye mtihani tungeuliza swali hasa ni lipi?
 
hata mimi simwelewi kabisa.
 
Bdo anaugulia jana amepigwa chini katika uchaguz
 
Ukistaajabu ya CCM utaona ya CUF. mwaka 2015 kuwa wa kihistoria jimbo la iramba mashariki laweza kufikisha zaidi ya wagombea 100 watakao omba ridhaa katika vyama mbalimbali imebainika. Wakuu wa wilaya kutoana jasho katika kinyang'anyiro hiko kuwakilisha Chama tawala. Hali ya sasa CHADEMA wanakazi kubwa ya kulinda kura kuliko kampeni, hata wakiacha kupiga kampeni watashinda kwa mtikisiko mkubwa. AIDHA VIGOGO KUANGUKA VIBAYA katika uchaguzi ujao. Inaonesha vijana ni wengi kuliko wazee, vijana wana kadi zaidi ya moja za vyama vya siasa. MOJA YA KULA NYINGINE YA HAKI. Wenye pesa wajiangalia sana wasije vuna majuto.
Ninavyojua ni kwamba mbunge wa Iramba mashariki 2015 atakuwa ni MNYISANZU kupitia CHADEMA. Ni kamanda anayekubalika sana jimboni humo na pia ni very strategic katika ku-address masuala mbali mbali ya kijamii na kisiasa.
 
Msindai, Holella, Dr Msengi et al hawana lao 2015.
 
Kwani kwa sasa mbunge ni nani tena wa chama gani?
Kwa nini watu walikimbilie kugombea?
 
Mkuu Idd vipi? Mada hasa ni ipi?

Je, ni Iramba Mashariki kufikisha wagombea 100 hapo 2015? Au ni wakuu wengi wa wilaya kugombea kupitia chama tawala? Au ni Chadema kuwa na kazi kubwa kulinda kura? Au Chadema hata wasipopiga kampeni kushinda kwa mtikisiko? Au ni vijana kuwa wengi kuliko wazee kwenye kinyang'anyiro? Au ni vijana wengi kuwa na kadi zaidi ya moja za vyama vya siasa? Au ni wenye pesa kutakiwa kujiangalia wasije kuvuna majuto? Au?

I am confused nichangie kipi? Ingekuwa kwenye mtihani tungeuliza swali hasa ni lipi?

mkuu nimekukubali, communication skills imetulia hapo
 
Mkuu Idd vipi? Mada hasa ni ipi?

Je, ni Iramba Mashariki kufikisha wagombea 100 hapo 2015? Au ni wakuu wengi wa wilaya kugombea kupitia chama tawala? Au ni Chadema kuwa na kazi kubwa kulinda kura? Au Chadema hata wasipopiga kampeni kushinda kwa mtikisiko? Au ni vijana kuwa wengi kuliko wazee kwenye kinyang'anyiro? Au ni vijana wengi kuwa na kadi zaidi ya moja za vyama vya siasa? Au ni wenye pesa kutakiwa kujiangalia wasije kuvuna majuto? Au?

I am confused nichangie kipi? Ingekuwa kwenye mtihani tungeuliza swali hasa ni lipi?

ni kweli umechanganyikiwa. Mada ni KUBWA SANA inahitaji uelewa MKUBWA SANA.
Basi jadili "USHINDANI WA WAGOMBEA 2015 WA UBUNGE WA IRAMBA MASHARIKI HASA UWINGI WAO" Kwanini imeleta hamasa ya wagombea wengi?
 
Ninavyojua ni kwamba mbunge wa Iramba mashariki 2015 atakuwa ni MNYISANZU kupitia CHADEMA. Ni kamanda anayekubalika sana jimboni humo na pia ni very strategic katika ku-address masuala mbali mbali ya kijamii na kisiasa.

TUJIULIZE MBUNGE WA SASA TOKA ASHINDE AMEFANYA MKUTANO WAPI JIMBONI? Hilo eneo aliongelea nini? KATA ZIPO KUMI NA NNE, VITONGOJI 54.
 
Mbunge wa sasa ameitisha mkutano wapi? Na aliongelea nini? Hii ni hoja pana sana.
 
kumbe ubunge siku hizi ni kama kuuza nyanya gengeni! du nilikuwa sijui. Bila shaka na wewe bwana Ayub utakuwepo.
 
If u cant convince, confuse them........is that what u mean?:A S 39:
 
ni kweli umechanganyikiwa. Mada ni KUBWA SANA inahitaji uelewa MKUBWA SANA.
Basi jadili "USHINDANI WA WAGOMBEA 2015 WA UBUNGE WA IRAMBA MASHARIKI HASA UWINGI WAO" Kwanini imeleta hamasa ya wagombea wengi?

wa kwapi hao wagombea wengi unaosema !!??
 
Msindai, Holella, Dr Msengi et al hawana lao 2015.

HAO WOTE BADO HAWAJAKATA TAMAA, KUNA ISACK FRANCIS ni mkuu wa wilaya, NA KUNA MAINJINIA, ILa ma-under 30 wapo wanavuta pumzi. KURA ZIPO NYINGI IGUGUNO, ukiwa chama tawala jua una kazi ngumu. Mbunge wa sasa amewaachia mzigo mgumu sana. Anayeweza kumudu mchezo ni MSINDAI tu ingawa hata shinda. Wengine ushindi utatangazwa kabla ya muda.
 
Back
Top Bottom