Nape kapatanishwa na kusajiliwa na kambi ya Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape kapatanishwa na kusajiliwa na kambi ya Lowassa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baija Bolobi, Sep 30, 2012.

 1. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Wana Jamvi
  Salaamuni kwa mpigo. Siku nyingi hatujajuliana hali.
  Katika mengi yaliyomwagwa kwenye dish langu mpaka napata shida kukaa nayo, ni hili na Mheshimiwa Nape Nnauye kupatana na Mheshimiwa Edward Lowassa. HAIJATHIBITISHWA. Lakini tuyaone na kutafakari haya:

  -Kambi ya Lowassa imeguswa kwenye matawi wakati wa kupitisha majina. Shina na mizizi yake haikuguswa. Nape alikuwa katika sekretariati na aliingia sana katika Kamati ya Maadili. Hakufanya lolote juu ya Lowassa na wenzake.

  -Ule wimbo maarufu wa Nape kupambana na mafisadi ndani ya chama ameusitisha.

  -Kuna tetesi kuwa Nape ameishakutana na wapambe wa Lowassa na kumhakikishia kuwa Lowassa hana kinyongo na Nape na kuwa atahakikisha mambo yake yananyooka katika awamu atakayoiongoza.

  -Nape amesikika akisema kuwa katika siasa hakuna uadui wa kudumu na kuwa ni bora kupatana na Lowassa kuliko kupatana na CDM.

  Wenye zaidi tujuzeni, tuthibitishe uvumi huu.

  -
   
 2. m

  majebere JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli basi itakuwa ni jambo jema sana. Hawa wawili tunawahitaji washirikiane. Ni vichwa hivi viwili ndio vitakao izika CDM.
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Sijaamini km Mkuu wa Propaganda na Oganaizesheni atayagawa makundi na baadaye aombe apatanishwe na kundi moja
  Kazi yake ni moja tu kukilinda na kukiendeleza Chama,
  Simsemei kwani naye yupo JF na Cheo alichonacho si cha kudumu atagombea Novemba 12 atabwagwa au kurudi
  Kwa hiyo rekebisha Dish kidogo litoke ArabSat
   
 4. b

  blueray JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu usifurahi sana, sababu CDM ikizikwa usidhani wewe utabaki salama. Ufisadi ukitamalaki Kila kitu cha nchi hii kitauzwa. Labda kwenye familia yako ni wewe tu utafaidi kwenye mfumo wa kifisadi utakaoongozwa na Lowasa. Fikiria ndugu zako na watanzania walio wengi watakaobaki wanalia..., hata fikiria ni ufisadi huu huu unafanya madini yetu yasitusaidie chochote, na ufisadi huu huu ndio unatukosesha huduma muhimu Kama za afya, maji, elimu nk na kufanya hata bei ya umeme kuwa juu pamoja na kuwa na rasilimali lukuki!
   
 5. M

  MASHARL Senior Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Si mbaya wakipata makundi yaishe ccm,nape akiendelea kusikiliza mzee sitta atapotea kisiasa
   
 6. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Kibongobongo, hii wala si ajabu. Kaa mferejini upate vitu vya udambwidambwi.
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hakuna uadui wa kudumu, lakini dogo aangalie, jamaa kimiujiza akifanikiwa kuingia ikulu dogo Nape atafute kwa kwenda.
   
 8. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Ama kweli hizi ndio zile siku 90!
  Mweh!
   
 9. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama watakua wamepatana si kwa nia ya kukijenga chama CCM kifo chake HAKIEPUKIKI Bali watakua wameungana baada ya kugundua ya kua kifo cha CCM kipo mlangoni kutumia muda kurumbana kwa chama kisicho kua na future itawapelekea kukosa vyote chama na rasilimali zetu, hivyo lilobaka ni kupanana na kila mtu kugawana vilivyobaki.TUSIPOKUA MAKINI CCM ITAONDOKA MADARAKANI NA KUTUACHIA NCHI IKIWA ANA KITU MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Mbwa akimuona chatu hufyata mkia na kujiingiza mwenyewe kwenye kinywa cha chatu.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 11. kaka mkweli

  kaka mkweli Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Kwenye red hapo umekosea sio cdm ni ccm
   
 12. m

  majebere JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Brainwashed by Slaa
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  bora wakizike chama.
  Hapo vipi?
   
 14. m

  majebere JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Naona gwandaz wamepata tumbo la kuhara wakati hata habari si ya uhakika. Kama ni kweli basi Slaa anahama nchi bila kuaga.
   
 15. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Azipa 16:30 26th September 2012
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  tunawatakia kheri katika ndoa yao.
   
 17. C

  Concrete JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kuna thread imeanzishwa humu mtandaoni ghafla imepotezwa na MODS inayohusu Mkutano wa Zitto na waandishi wa habari kesho Kibo Palace Hotel, huko Arusha huku Nape na Mukama wakitegemewa kuhudhuria, Zitto Kabwe akitegemewa ''kutoa ya moyoni'' source ikiwa CCM facebook.

  Mwenye taarifa zaidi utujuze pia.
   
 18. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Brainwashed by ufisadi.
   
 19. Jodeny

  Jodeny JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunataka taarifa za uhakika si tetesi, no research no right 2 speak!
   
 20. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  ni siku 90 mara 90 ama siku 90 kipeo cha pili.
   
Loading...