Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

mwigo

Member
May 8, 2012
45
15
[h=6]Wapambanaji wa Ukweli Chama cha wananchi CUF kwa wiki kadhaa kimekuwepo Mkoani Arusha ktk operesheni maalum ya kuzindua Matawi na kupokea wanachama wapya ktk Mkoa huo maarufu kwa watalii.

Ktk operesheni hiyo cuf ilifungua
ZAIDI YA MATAWI 40 na kupokea wanachama Zaidi ya 500, (300 ktk ufunguz wa matawi), (200 ktk mikutano ya hadhara).

Hali hiyo imepelekea Chadema kukatisha Ghafla ziara yake ktk mikoa ya Kusini baada ya kuona nyumba yake inaungua.

Wananchi wengi wa Mkoani Arusha wamepata Muamko Mkubwa baada ya kuckiliza Sera za CuF na wengi kuamua kukiunga mkono huku Wakitulaumu kwann hatufanyi ziara mara kwa mara ktk Mkoa wao.

Tumewaahidi watu wa Arusha kuwa Daima cha Cha wanamchi CUF kitakuwa pamoja nao ktk Kuwapigania ktk kuleta Haki Sawa Kwa Wote na Maendeleo watakayoyaona.

KATIKA HATUA NYINGINE CHADEMA KIMEKATALIWA NA WANANCHI WA NANYUMBU MKOANI MTWARA NA KILWA MASOKO KUFANYA MKUTANO WA HADHARA BAADA YA WANANCHI HAO KUKILAUMU CHAMA HICHO KUKUMBATIA UDINI NA UKABIL
[/h]
 
CUF? Kwani bado kipo hai? Kama Zanzibar(Tumbatu) pako hivi sembuse Arusha?....halafu kwa nini mnatumia rangi zetu?

akihu.jpg
 
Mkuu unahangaika!? Anyway, labda utafanikiwa. Ila unawadanyanya magamba wenzio wanadhani wapo imara kumbe wamebaki kama ubua!
 
Utoto huu!...Mlikusanyikia msikiti upi huu, mbona siupatipati vizuri?..ni mitaa ya Bondeni nini? Malizieni hata ujenzi basi!
Mwigo huoni hata aibu kuongelea mambo ya KAFU, aka MKE WA CCM?
Arusha hakuna anayeweza kupokea chama mfu kama KAFU!...Arusha ni KIUMENI bana hawawezi KUOLEWA kama nyie!
 
Utoto huu!...Mlikusanyikia msikiti upi huu, mbona siupatipati vizuri?..ni mitaa ya Bondeni nini?
Mwigo huoni hata aibu kuongelea mambo ya KAFU, aka MKE WA CCM?
Arusha hakuna anayeweza kupokea chama mfu kama KAFU!...Arusha ni KIUMENI bana hawawezi KUOLEWA kama nyie!

kwa maneno haya....kama mimi kafu nafunga chama.....aibu gani hii....
 
Mkuu unahangaika!? Anyway, labda utafanikiwa. Ila unawadanyanya magamba wenzio wanadhani wapo imara kumbe wamebaki kama ubua!

kama unabisha safari yao ni leo wamefunga mikutano yote huko tandahimba, nanuymbu na kusini kwa ujumla,waulize leo wapo wapi?? watakueleza tu.kuhusu arusha habari ndio hio mkuuuu VISION FOR CHANNGE.VUA GAMBA USIVAE GWANDA VAA DHAMIRA YA HAKI SAWA KWA WOTEEE.
 
Wakati nyie (CUF) nad CHADEMA mkirushiana shutuma za kijinga ie Udini, ukabila..) hapa CCM ndio wanatumia mwanya huo kuhakikisha inaendelea kukaa madarakani milele..
 
Na hiyo kwenye red ndio nini?
Kitu cha kuiga always muigaji atakosea kwa kutojua, na kukurupuka!
 
Wakati nyie (CUF) nad CHADEMA mkirushiana shutuma za kijinga ie Udini, ukabila..) hapa CCM ndio wanatumia mwanya huo kuhakikisha inaendelea kukaa madarakani milele..

kaka ni kweli kabisa ila kaa ukihua kuwa CDM wao ndio waanzilishi wa kila shutuma na kuhakikisha CUF inapotea kabisa, kwanza tuliwaacha kwa muda mrefu sana sasa tumerudi kupambana inaonekana hawajui kazi ya chama chao tunataka kuoneshana misuli kwa hoja na si propaganda. sisi tumewalea nadhani wanakumbuka sana waulize akina bob makani leo wanaleta za kuleta hasa mapropaganda zao, TUNAUWEZO WA KUPAMBANA NA CDM pia CCM kwa wakati mmoja subiri tuone.watalooz maana wao na CCM ndio wanaendana kila kitu.SUBIRI TUWAONESHE.
 
huyo mke mdogo wa ccm ndo anapiga mayowe unafikiri ataweza kupambana na peoples power? Yeye akapike jikoni asubiri bwana'ke arudi huko anakosulubiwa na Chadema bila huruma
 
kaka ni kweli kabisa ila kaa ukihua kuwa CDM wao ndio waanzilishi wa kila shutuma na kuhakikisha CUF inapotea kabisa, kwanza tuliwaacha kwa muda mrefu sana sasa tumerudi kupambana inaonekana hawajui kazi ya chama chao tunataka kuoneshana misuli kwa hoja na si propaganda. sisi tumewalea nadhani wanakumbuka sana waulize akina bob makani leo wanaleta za kuleta hasa mapropaganda zao, TUNAUWEZO WA KUPAMBANA NA CDM pia CCM kwa wakati mmoja subiri tuone.watalooz maana wao na CCM ndio wanaendana kila kitu.SUBIRI TUWAONESHE.
KAANZE NA SHULE KWANZA(hapo kwenye red ni lugha zenu huko Pemba?..Hatutaki UAMSHO WENU SISI).
Kaza mwili unapoongelea mambo ya kiumeni, mdebwedo wa nini/...hatutaki wala hatununui!...ayaa!
 
wai mleta mada mwenyewe hayuko arusha. Arusha ni ngome ya chadema hata ibrahm chipaka anajua
 
mtake msitake subiri tuwaoneshe kazi za siasa sasa,hata ukijifanya unashaa ni wazi unatuelewa vizuri zaidi na pia kuhusu tulikaa wapi subiri utaona tulikaa wapi, kanisani au msikitini ndio utajua sasa.
 
Back
Top Bottom