KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Wanabodi katika kuperuzi nimekutana na ili Tangazo kutoka Tanesco Wanataka maoni ya wadau kuhusu tanesco tunayoitaka:
Kabla sijatoa Maoni yangu:
Wadau Wapeni Maoni yenu kwa wale wenye maoni kama yanatija na yatafanyiwa kazi:
Naomba kuwasilisha
Kabla sijatoa Maoni yangu:
- Hivi waliotoa hili tangazo hawajui Tanesco watu wanayoitaka au wanajustify kutumia pesa?
- Maoni ambayo yamekuwa yakitolewa na wadau katika kada mbali mbali kuboresha utendaji na Muundo wa Tanesco mlishayafanyia kazi? au mnataka kuwapotezea muda watu
Wadau Wapeni Maoni yenu kwa wale wenye maoni kama yanatija na yatafanyiwa kazi:
Naomba kuwasilisha