Katika watu wanaikashifu Chadema na kuwa na maneno ya maudhi ni Waziri Wassira. Sasa kwa kuonyesha kuwa M4C haina msamaha hata kwa familia yake mtoto wake aishie USA aitwae Makongoro Wassira...
Naona kweli sasa tunatafuta mwafaka wa kitaifa. Kila mtu anashusha dukuduku lake. Kila mmoja atoe malalamiko yake, kero zake, manung'uniko yake, kila kitu kiwekwe wazi, watalaam wa sheria wakae...
Baada ya Mwenyekiti kutangaza nia ya kujivua GAMBA, tuliambiwa Wenye tuhuma za UFISADI wajipime wenyewe. Walipogoma kujivua GAMBA, tukaambiwa wamepewa barua za kubwaga manyanga.
Baada ya hizo...
Ndiyo wakuu! Kamanda Mawazo diwani wa zamani wa kata Sombetini,Arusha aliye hamia Cdm, leo hii ame anza kufanya Reconnaisance survey katika kata ya Lwezera,wilaya ya Geita baada ya kuombwa na...
*CCM yataka Katiba iweke kikomo cha miaka 40 hadi 60
*Walioshika nafasi ya uwaziri mkuu kubanwa
*Mkakati waandaliwa kutua rasmi Tume ya Katiba
SIKU chache tangu Mbunge wa Kigoma Kaskazini...
Mpango wa kusitisha M4C, baada ya ccm kugundua kwamba mbinu zote za kusitisha M4C kwa kutumia polisi na dola zimegundulika baada ya kujaribu kutumia vifo vya Morogoro na Iringa kushindikana...
TRENI YA SHIRIKA LA RELI LA TANZANIA NA ZAMBIA(TAZARA) ITAKAYOTUMIKA KWA USAFIRI WA DAR ES SALAAM MWAKANGA-KURASINI YAFANYIWA MAJARIBIO.
Treni ya Shirika la Reli la Tanzania na...
Wana-JF
Wiki chache zilizopita nilipata udhuru sikuweza kuendesha kipindi na kukusanya maswali toka hapa JF, na sasa nimerejea.
Katika Makutano Jumamosi hii natarajia kuwa na Naibu Waziri wa...
Kashfa nyingine yaibuka Tanesco source: MwananchiSunday, 30 September 2012 00:47Fidelis ButaheKASHFA mpya imeibuka ndani ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), baada ya kubainika kuwa vikombe...
Saturday, 29 September 2012
VIGOGO WAWAHENYESHA VIJANA, WENGI WARUDI, MASHA, MWAKALEBELA WAINGIZWA KUNDINI
Waandishi Wetu Dar na mikoani
KINYANG'ANYIRO cha kuwania nafasi mbalimbali ndani ya...
MTAZAMO WANGU KUHUSU KAULI YA ZITO KABWE KUHUSU URAISI 2015.
Zito yupo sahihi kuweka wazi ndoto yake katika maswala ya kisiasa. Kiuhalisia kila mtu siku zote huwa anatamani kuwa katika nafasi ya...
JUMAPILI, SEPTEMBA 30, 2012 09:51 NA ARODIA PETER
*Yadai inahitaji mabadiliko ya kweli
*Yasisitiza udugu utabaki pale pale
WATOTO wa kaka yake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Uhusiano na Uratibu...
Thursday, 27 September 2012 20:25
Frank Sanga na Anthony Kayanda, Kigoma
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amesema hana mpango wa kugombea ubunge mwaka 2015 badala yake...
Leo ndo siku ya mnyukano kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya wilaya yetu ya Serengeti kwa CCM.
Yeyote mwenye kujua kinachoendelea hapo atujuze kupitia uzi huu. Zaidi tunaomba...
JUMAPILI, SEPTEMBA 16, 2012 08:05 NA YUSUF HALIMOJA, DAR ES SALAAM
HAPANA shaka wasomaji wa gazeti la Mtanzania Jumapili watakumbuka kwamba Jumapili iliyopita niliandika makala iliyosomeka...
Kama kawaida, nilikuwa napata masimulizi ya hapa na pale katika saluni na nilisimuliwa jinsi mama daktari wa kujitolea mgiriki alivyofariki dunia, jijini Dar, chanzo na mtiririko wa matukio.Hii...
Njia ya mwongo siku zote ni fupi. Pia wa kukosa atakosa tu. Toka kelele za Nape zianze dhidi ya Mh. Edward Lowassa inaonesha kelele hizo zinampaisha EL toka utukufu hadi utukufu. Akiwa kiongozi...
Ualimu ni fani ya watu waliofeli, hivyo hawana haki ya kudai nyongeza ya mishahara, hii ni kauli ya mkuu wa wilaya Mbeya Dr. Norman Sigalla huu ni uzalilishaji wa fani ya ualimu, na kudhalilisha...
Wakuu,
Nimeamua kuleta kwenu hoja hii ili tuijadiri kwa kina kutokana na hali ya kisiasa nchini kuelekea 2015. Kama tunavyokumbuka; mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2005, Rais Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.