kwa wana-serengeti mlioko MUGUMU: Nini kinaendelea muda huu uchaguzi wa NEC CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wana-serengeti mlioko MUGUMU: Nini kinaendelea muda huu uchaguzi wa NEC CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MUIKOMA, Sep 30, 2012.

 1. MUIKOMA

  MUIKOMA Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ndo siku ya mnyukano kwa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya wilaya yetu ya Serengeti kwa CCM.
  Yeyote mwenye kujua kinachoendelea hapo atujuze kupitia uzi huu. Zaidi tunaomba uchaguzi uwe wa amani na utulivu.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu hao MAFISADI WAKINA CHANDI hawatuhusu kabisa, myukano unawahusu wao huko
   
Loading...