Kamanda Mawazo asitisha M4C Busanda baada ya kuombwa kuongeza nguvu lwezera-Geita

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu! Kamanda Mawazo diwani wa zamani wa kata Sombetini,Arusha aliye hamia Cdm, leo hii ame anza kufanya Reconnaisance survey katika kata ya Lwezera,wilaya ya Geita baada ya kuombwa na Uongozi wa Cdm Taifa kuongeza nguvu . Kwa mujibu wa maelezo yake leo, ni kuwa ame amua kukubaliana na uamzi huo baada ya kufanya kazi kubwa jimboni Busanda ambapo ameweza kufanya mikutano 48 na kuvuna jumla ya wanachama elfu 1 . Ki ukweli ni kuwa Mawazo ni very influencial and prominent figure kwa sababu ni mtu ambaye anatokea maeneo ya sengerema karibu na geita. Pia Kamanda mawazo anaweza sana kuongea lugha ya Kisukuma ambayo ndiyo lugha kuu kwenye kata hiyo ya Lwezera. Nitaendelea kuwajulisha kila kinacho jili katika kampeini za uchaguzi wa diwani u naotarajiwa kuanza next wiki ktk kata hii. Uchaguzi huu unavuta hisia za watu wengi kwasabu tayari maeneo mengi yanayo zunguka kata hii wananchi wamefanya mabadiliko ambapo cdm wanaongoza kata na vijiji vingi. Naomba kuwasilisha.
 
asante mkuu hivi ndio vitu vyakusikia kwasasa! hiyo kata ya Lwezera yule diwani wa ccm alikufa au ilikuwaje?
MKUU KABENI MPAKA MATE WAKITEMA MNAFUKIA!
 
Mwanazuoni mmoja alipata kusema "what comes out of ones mouth it is him or her." Mie binafsi napata shida sana kuelewa ni kwanini upo jamii forum kama ndo uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa.
 
Aishie hukohuko maporini kwa wajinga wenzake

Vijijini pamekuwa maporini sikuhizi!? Wenzio wanatamba kwamba mtaji wao upo huko wewe unawaita wa huko wajinga!? Duh sijui upo upande gani au ndio unaelea kama maiti majini!?
 
Naona wasukuma na kanda ya ziwa kwa ujumla wameamua kuwachapa magamba vilivyo. Magamba walidhani kwa giliba za ujenzi wa bomba la maji kutoka Ziwa Victoria na vijibarabara uchwara kungewaondelea wananchi hasira za muda mrefu walizokuwa nazo dhidi yao!

Wananchi wanakumbuka sana mateso ya muda mrefu kama usafiri hadi kupitia Kenya, usafiri wa treni unaodhalilisha utu wao, ardhi yao kupewa wageni na wao kuhamishwa kinguvu na hata kuuwawa, urithi wa ziwa lao kupewa wageni, n.k. n.k.

Hongereni ndugu zetu kwa kutoka ndani ya maboksi.
 
Asante mkuu OMUSILANGA kwa taarifa, na mimi nitatia timu huko in next two weeks tusaidiane kuwashikisha adabu hawa maga.mba,hapo Lwenzera is my home ward na nilisoma pale Lutelangoma Shule ya Msingi enzi za kina Mwalimu MWONONI,KAJIGIJA,KAZANA,MHAGAMA,KISENHA,REGINA,MISANGO,SIZYA,NGENDO,TENGA na MGANGA(RIP) na hata diwani Marehemu Anatory Mkufu(ccm) aliyeacha wazi kiti hicho was my best friend maana utendaji kazi wake nilikuwa naukubali sana, kusema kweli ccm kaondoka nayo hapo Lwenzera.

Ninacho kikosi kizuri sana hapo,kuanzia pale Lwenzera madukani,sokoni nakule mitaa ya Lutelangoma,Bweya,Kakola,Membe,Ng'wabasabi na Ng'wabalogi,mpaka ninapoongea hivi kiko kazini.

Kwa hiyo maga.mba lazima waangukie puwa
 
Ndiyo wakuu! Kamanda Mawazo diwani wa zamani wa kata Sombetini,Arusha aliye hamia Cdm, leo hii ame anza kufanya Reconnaisance survey katika kata ya Lwezera,wilaya ya Geita baada ya kuombwa na Uongozi wa Cdm Taifa kuongeza nguvu . Kwa mujibu wa maelezo yake leo, ni kuwa ame amua kukubaliana na uamzi huo baada ya kufanya kazi kubwa jimboni Busanda ambapo ameweza kufanya mikutano 48 na kuvuna jumla ya wanachama elfu 1 . Ki ukweli ni kuwa Mawazo ni very influencial and prominent figure kwa sababu ni mtu ambaye anatokea maeneo ya sengerema karibu na geita. Pia Kamanda mawazo anaweza sana kuongea lugha ya Kisukuma ambayo ndiyo lugha kuu kwenye kata hiyo ya Lwezera. Nitaendelea kuwajulisha kila kinacho jili katika kampeini za uchaguzi wa diwani u naotarajiwa kuanza next wiki ktk kata hii. Uchaguzi huu unavuta hisia za watu wengi kwasabu tayari maeneo mengi yanayo zunguka kata hii wananchi wamefanya mabadiliko ambapo cdm wanaongoza kata na vijiji vingi. Naomba kuwasilisha.

Hata Tumaini Makene itapendeza sana kama atatia timu kwani pale Nyehunge anapotoka ni jirani sana na Lwenzera na pale Nyehunge tunaye diwani wa cdm tayari
 
Huyu Kamanda MAWAZO ni Moja YA HAZINA KUBWA SANA NDANI YA CHADEMA, Huyu jamaa naongea kama Mashine na akianza Kushuka Materio watu huwa wanabubujikwa na MACHOZI, kwa kifupi mimi namkubali sana huyu jamaa
 
Haya ndio mambo tunayoyataka, tupige kazi kwanza, habari za mimi nautaka urais, mara waliozaliwa kabla ya 1961, mara miaka kumi tu nimeshamaliza shida za watu wangu..... Longolongo za nini piga kazi field vya kutosha mpaka tone la mwisho kama mtu mzima heche, au mawazo sasa, na ole milya wanavyofanya.... Jeshi kubwa zaidi linatakiwa kamtu kamoja eti kwa kuwa kalikuwepo wakati chama hakina nguvu leo kanaleta zogo.... Nadhani hakajui kama cdm ni maisha ya watz, watu wakonayo moyoni, hajifunzi kwa shitambala.... Safi sana mawazo, makene, na hata bwana vicent nyerere akiweza akatie nguvu zaidi.. Sasa hivi point 3 ni muhimu sana kuzichukua kwa kila mechi ( na maanisha popote uchaguzi unapotokea wa kupiga kura kwa wananchi cdm tuwepo na tushinde) lengo ni ili kufika 2012, tuwe tumeenea kila sehemu kama airetel... Mungu awape nguvu sana
 
Ndiyo wakuu! Kamanda Mawazo diwani wa zamani wa kata Sombetini,Arusha aliye hamia Cdm, leo hii ame anza kufanya Reconnaisance survey katika kata ya Lwezera,wilaya ya Geita baada ya kuombwa na Uongozi wa Cdm Taifa kuongeza nguvu . Kwa mujibu wa maelezo yake leo, ni kuwa ame amua kukubaliana na uamzi huo baada ya kufanya kazi kubwa jimboni Busanda ambapo ameweza kufanya mikutano 48 na kuvuna jumla ya wanachama elfu 1 . Ki ukweli ni kuwa Mawazo ni very influencial and prominent figure kwa sababu ni mtu ambaye anatokea maeneo ya sengerema karibu na geita. Pia Kamanda mawazo anaweza sana kuongea lugha ya Kisukuma ambayo ndiyo lugha kuu kwenye kata hiyo ya Lwezera. Nitaendelea kuwajulisha kila kinacho jili katika kampeini za uchaguzi wa diwani u naotarajiwa kuanza next wiki ktk kata hii. Uchaguzi huu unavuta hisia za watu wengi kwasabu tayari maeneo mengi yanayo zunguka kata hii wananchi wamefanya mabadiliko ambapo cdm wanaongoza kata na vijiji vingi. Naomba kuwasilisha.

mkuu sijui ni viwango tofauti vya kufikiria kati yako na mimi, ninachojua unaposema kwenda kuongeza nguzu unamaanisha kuwa aliye huko anashindwa, sasa haya majigambo yanatoka wapi?
 
Mwanazuoni mmoja alipata kusema "what comes out of ones mouth it is him or her." Mie binafsi napata shida sana kuelewa ni kwanini upo jamii forum kama ndo uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa.

?????????
 
mkuu sijui ni viwango tofauti vya kufikiria kati yako na mimi, ninachojua unaposema kwenda kuongeza nguzu unamaanisha kuwa aliye huko anashindwa, sasa haya majigambo yanatoka wapi?

amemaanisha hakuna kubweteka na uungwaji mkono uliopo, jitihada lazima kuendelea kwa maana ya kushawishi ambao hawajaamua, na kuimarisha ambao tayari wapo kundini.
Nikushauri; uwe 'unajiongeza' sometimes
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom