Nikiwa kama mkazi wa kudumu wa Mwanza na ninayeitakia mema CDM katika harakati zake nimefurahishwa sana na CDM kupoteza kiti cha umeya wa jiji. Hii itawapa furs nzuri sana CDM kuepukana na lawama...
Wadau, ni wachache watakaopinga kuwa heshima na maendeleo yetu kama Taifa imeshuka na kwa hivi sasa tunadharaulika sana katika medani za Kimataifa na hasa na wageni ambao wako ndani na nje ya...
NAKUOMBA UFUATILIE KWA MAKINI KAULI ZA ZITO HAPA CHINI UTAELEWA VIZURI. TUWE MAKINI NA VYOMBO VYA HABARI AMBAVYO VINACHUKUA MANENO NUSU NUSU KWA INTEREST ZAO. NIMEPENDA GAZETI LA MWANANCHI...
With the Country's resources being grabbed from left centre and right by unscruprous public offials while in office,this commission should be empowered by having powers to arrest and align the...
Kwa taharifa nilizo zipata jioni hiii toka kwa ffu tunaofanya nao mazoezi walinipasha kuwa kesho au keshokutwa watavamia eneo hilo kuwafukuza wamachinga, wameshapewa taarifa wajiandae kwa kazi...
Nimekuwa nikifuatilia muda mrefu kuhusu hili jambo ambalo serikali imekuwa ikisisitiza kuhusu watumishi wa serikali kutojishughulisha na siasa hasa wanajeshi wetu na viongozi wakuu wa mawizara...
Tayari dalili mbaya zimejitokeza kwa chama ambacho kinapoteza sifa na upendo kwa wananchi kwa kasi kila kukicha. Kamati kuu ya CDM inatarajiwa kukutana Jumapili wiki hii kwa dharura ili kuwafukuza...
Video hii chini nimeangalia na kubaini kuwa inatugusa wote. Bahati mbaya simu hii hii ninayoitumia kuandika ndiyo nilikuwa naitumia kufuatilia mjadala huu.
Kwa walio kwenye PC wanaweza kuandaa...
SATURDAY, SEPTEMBER 29, 2012
WALIO KATIKA MAANDISHI YA BOLD NDIO WALIOCHAGULIWA
MWENYEKITI CCM WILAYA IRINGA MJINI
Kura zilizopigwa 586 zilizoharibika 2 kura halali 584
Omary Iddy Mchomba 62...
Najua ni ndefu lakini kama unaweza Print au soma hii link ya Study Case hii kama kujifunza kuhusu wenzetu.
http://www.bain.com/bainweb/images/LocalOffices/BNDES_Consolidated_Report_BNDES_eng.pdf
Wanajf:
Hususani wale Wa Mwanga kwenye mtandao huu,Naombeni ni zungumze machache juu ya Mwanga yetu, Tushauriane na Tushirikiane kuleta ukombozi Mwanga na Tz nzima Chini ya Chadema.
Bado...
Miaka michache iliyopita Kampuni kubwa ya kutengeneza Magari Duniani Toyota ilipata matatizo kwa kutengeneza Magari ambayo yalikuwa na matatizo ya clutch na kusababisha wateja wao kupata ajali na...
Matokeo ya uchaguzi mkuu ndani ya chama yanazidi kuzua balaa.kwa mfano,uchaguzi uliofanyika leo kule masasi umezua mambo kiasi cha kuöngeza vyufa.wale walichaguliwa kwa nafasi za mwenyekiti wa...
mikutano ya chadeema yandelea iringa mjini moto wa msigwa haushikiki.
akina mama wamtwivila wakijipanga kununua kadi za chadema leo feb 28-2012.
Mhe. Msigwa akicheza na wanachama wa...
Wakuu naomba tuzitazame teuzi za Kikwete tangu alipoingi madarakani. Teuzi hizi ziwe za viongozi wote wa idara, wizara, sekta na taasisi muhimu serikalini walioteuliwa na Rais - kasoro mawaziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.