Chadema nao kufanya mkutano arusha sambamba na cuf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema nao kufanya mkutano arusha sambamba na cuf

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpinga shetani, Sep 30, 2012.

 1. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Naona leo hapa Arusha hapatatosha.
  Gari la matangazo ya Chadema linasikika likiwaita watu kwenye mkutano huku lile la CUf likifanya vivyo hivyo. Mh!
   
 2. kipenga

  kipenga Senior Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Unaripoti habari kiumbea sana mkuu! Na wewe ni great thnker kweli.?
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  sijui kwa nini Chadema wanawahofia Cuf, ni vema wangewaacha ili wananchi wajue upi mchele na zipi pumba.!
   
 4. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,097
  Likes Received: 11,234
  Trophy Points: 280
  hivi M4C imeishia wapi?
   
 5. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mr Great Drinker unajua maana ya umbea kweli?
   
 6. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lema anajua watu wamechoka na siasa za maandamano na mabomu watu wakifa wanatoa ubani laki 5
   
 7. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hili jukwaa lina Mazuzu wengi sana, watu mnaibuka kuchangia bila kutafakari, Nipo Arusha hakuna Kitu Kama hicho CHADEMA hawana mkutano wowote Arusha Mjini, ila Cha ajabu naona watu wamekazana Kupondea tu kwa habari wasio kuwa na uhakika nayo,
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Una Uhakika kuna mkutano wa CDM? Au unafikilia tu kwa kutumia Masaburi yako
   
 9. J

  Jalem JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mpendwa lugha njema ndiyo utu wako, tutakupima kwa maneno yako, inawezekana amekosea lkn matusi si maugwana, hili ni jamvi la kuelezana kiungwana ili watu waelimike, tutumie vema midomo yetu na fikra zetu kwani Mungu atauhukumu kwa hizo.
  Na pia uongo katika kuchangia hauna maana km huna uhakika acha lipite siyo lazma kila topic uchange, jamani kuna watu wenye hikma zao wanaliangalia jamvi hili kama dira ya elimu kwa wote.
  Regards.
   
 10. A

  Apex JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Cuf bwana! Niko barabara kuu arusha to moshi naona turbo toyata limejaza wanachama wa cuf kutoka nje ya arusha hili kupamba mkutano wao,jaman mkutano wa cuf arusha ni kwaajili ya wananchi wa arusha au ni mkutano wa kitaifa kupitia wananchi wa arusha?
   
 11. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,311
  Trophy Points: 280
  Hebu ongeeni kitu cha kueleweka!!kuna mkutano wa chadema?au hakuna?sio mnaanza kushambuliana kama wanawake wambea.
   
 12. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na kama chadema wanamkutano utafanyka wap na ni saa ngapi?.Watu mlioko arusha embu tupeni ukweli halisi!
   
 13. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mmhh!! kama ni kweli basi kazi ipo!!! Tuombe iwe kheri, lakini pamoja na kuwa sipo huko, bado napata wasiwasi.
   
 14. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hakuna mkutano wa cdm Arusha.nipo hapa town
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  CUF ni bendera tu hawana sera
   
 16. k

  kamau ngilisho Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkutano wa Chadema ulifanyika jana maeneo ya Mwanama kata ya Olorien. Mida ya saa 11:43 msafara wa Lema Godbless ndo uliingia.
   
 17. mathewa

  mathewa JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 420
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  mkutano wa chadema arusha upo unafanyika sombetini. atakuwepo lema, lissu na nassari
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mtu kama hujui kinachoendelea yanini kujionyesha unajua tena mpaka unatukana jiangalieni vijana
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  Ulikua na wajibu wa kueleza ukweli kama mkazi wa arusha, sio kuwaita wanabodi mazuzu. Umeonyesha jinsi ulivyo zuzu kwa kushindwa kutambua wajibu wako kama mwanajf.!
   
 20. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Hakuna mkutano wa CHADEMA ARUSHA, na MOD inatakiwa kuwapa watu Bun
   
Loading...