Mpango wa kusitisha M4C | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpango wa kusitisha M4C

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Sep 30, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,168
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  Mpango wa kusitisha M4C, baada ya ccm kugundua kwamba mbinu zote za kusitisha M4C kwa kutumia polisi na dola zimegundulika baada ya kujaribu kutumia vifo vya Morogoro na Iringa kushindikana sasa wameamua kuwatumia CUF, mpango unaonyesha kwamba CUF watakwenda kwenye maeneo ambayo chadema ina nguvu kubwa sana kama Arusha, Mbeya, Mwanza, Manyara, Kiliman jaro,morogoro, Shinyanga,Mara na maeneo mengineyo.

  Mbali na hilo watafanya mikutano ambayo itakua na lugha za matusi na kejeli na kuikashfu Chadema na viongozi wake ili wapenzi na wanachama wa chadema wawafanyie fujo hao wanaotukana au watumie watu watakaovalishwa nguo za chadema kuanzisha fujo kwenye mikutano ya CUF ili ionekane kwamba CUF wanafanyiwa fujo baada ya kuoneka hivyo Cuf watawataka wanachama wao pia kuifanyia chadema fujo na hivyo serikali itaingilia kati kufuta operesheni M4C na kile kilichoanzishwa na CUF kwa jina la V4C na malengo ya ccm kutuzuia kwenda vijijini kuwaamshaWatanzania yatatimia kwa kutumia justification kwamba mikutano hiyo inafujo kwahiyo imefutwa au kusitishwa na hapo CUF watakubali kwa haraka maana ni mpango wa pamoja.

  Nachukua fursa hii kuwaomba vijana wa Chadema popote walipo wasifanye fujo au hata kutukana mtu hata wakifanyiwa fujo wasijibu maana tutawapa fursa wabaya wetu kutumaliza, tunaikaribisha sana CUF popote ili wajipime na kuona je ni washindani wetu kweli? sisi hatushindani na CUF wala chama kingine chochote cha upinzani bali adui yetu ni ccm, ninawaomba viongozi wa vyama vya upinzani hasa Cuf kuacha kutumiwa na dola kufifisha harakati za watanzania kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi hii kwa kutumia chama chao cha demokrasia na maendeleo chadema.
   
 2. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Uliyosema yanaukweli ........
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Hawatafanikiwa na hizo ni hisia zako tu. Cuf wanaiga
   
 4. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Time will tell,ndio maana cuf wanalazimisha kufanya mkutano arusha kwa kusafirisha wafuasi toka Dar
   
 5. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Mi nilishaanza kuhisi tu!!sasa kama pale kilombero sisi tunapambana kkutafuta eneo la kupatia riziki wao wanakuja kutupigia kelele zao,tukawaambia wasogee kidogo kwani hapa tunafanya kazi hatarishi hawakutuelewa ikabidi----ili wakaseme cdm wametupiga
   
 6. j

  jigoku JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mkuu nashukuru umekuja na alert nzuri sana hata kama si taarifa sahihi lakini wazo lako ni sahihi,kwamba ni kweli CUF kwa kushirikiana na CCM au kwa maamuzi yao pekee wanaweza wakatumia hiyo subbotage strategy yao ili waipiku CDM kama chama cha upinzani.hata hivyo nawashangaa CUF kwani wao si wapinzani tena in the real sense ya oppostion political party.
  Rai yangu kwa wanachama wa CDM,Viongozi wa ngazi zote na wapenda mabadiliko tuwe makini na hili bila kujali lipo kwa sasa kwa ushiriki wa CUF na CCM au liko kwa CUF tu lakini all in all ni kwamba tuwe makini hii inaweza ikawa moja ya mbinu za kusitisha au kuifuta kabisa M4C.
   
 7. r

  raymg JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CUF ngangari" CC, CDM, ADC, ZZK hawawez...oooh, ooooh chama, chama gan? Chama cha wananchi CUF! Cha jenga nchi.........
   
 8. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM bila fujo na matusi haiwezekani......
   
 9. K

  Katufu JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 433
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Haya yetu macho tuone kama CUF atathibitisha U-CCM-B wake kwa uwazi zaidi maana taarifa yao kuhusu vurugu zilizofanyika soko la Kilombero kule Arusha kidogo imeonesha na angalau kwa sehemu wamethibitisha hii mbinu kuwa ni kweli. Lakini ngoja tuwape muda zaidi maana kama mpango ndio huu muda si mrefu watajianika tu.
   
 10. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Ni taarifa muhimu sana mkuu
   
 11. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watashindwa tu
   
 12. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa tanzania hii na siasa zake hili linawezekana
   
 13. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  hii style ni kama ile alotumia kigwangala kwa bashe kule nzegs juzi.
   
 14. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Duuu!!! umenikumbusha mbali sana kwani nilikwishasahau kama kuna chama kinaitwa CUF. Nikakumbuka pia kuwa waliwahi kujigamba kuwa wana mtaji wa kura 12,000 katika jimbo la Igunga hivyo kuionya CHADEMA wasijisumbue kabisa kuweka mgombea Igunga. Pia unanishangaza kutaka tuamini kuwa CUF ni chama tofauti na kile cha Magamba/Mauaji. Kama unataka kunielewa vizuri chunguza fedha za kuzunguka mikoani wamezipata wapi kwani ruzuku wanayopata ni ndogo sana inayoweza kuwa inaishia tu ktk kulipana mishahara kutokana na kuwa na wabunge wachache. Au umesahau kuwa CUF ni mke mdogo wa Chama cha magamba? Ukiona cuf inapita ujue ni ccm hao (kama vile mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo).

  USHAURI: Nafikiri CUF wafanye jitihada za kurejesha kwanza ule mtaji wao wa kura 12,000 zilizotoweka kule Igunda ndio wajaribu kutafuta zingine katika mikoa iliyokomaa kimageuzi kama Arusha, Mwanza, Mbeya ni kwingineko la sivyo watageuka vituko kwani wameshindwa hata kuilinda mikoa kama Lindi na Mtwara ambayo awali ilionekana kama ngome yao.
   
Loading...