SWALI: Je CCM inakula matapishi yake?

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
Baada ya Mwenyekiti kutangaza nia ya kujivua GAMBA, tuliambiwa Wenye tuhuma za UFISADI wajipime wenyewe. Walipogoma kujivua GAMBA, tukaambiwa wamepewa barua za kubwaga manyanga.
Baada ya hizo barua kuliwa na panya, Jengo moja likadondoka, Mapacha wawili wakaweka ukuta, tukaelezwa tutawaengua katika nafasi za juu za chama (NEC)
Vipi mbona majina yao yamepitishwa? au Nape na Mkuu mnakula matapishi yenu?
 
bila shaka wameshakula matapishi ya magamba na ndio maana baada ya kuvuliwa yanaelekea kuwa vazi rasmi na hii imeonyesha kuwa ccm ni chama cha upinzani baada ya uchaguzi unaokuja
 
Hao ni wanafiki sijapata ona.... Ccm ya kuwajali watz na ccm ile inayotimiza kwa vitendo iyasemayo alikufa nayo mwalimu. Baasi hii iliyobaki ni ya wazinzi na wezi tu.. Anzia jk mpaka wabunge wake ni umalaya kwenda mbele, jk anawauliza watu eti mnagombania nec mpka kutaka kuuana kunanini???////...... Huyu kama si kuchanganyikiwa ni nini mkewake, mwanaye na mjomba wake wa bagamoyo nao wapo katika kugombea nafasi hizohizo..... Anajifanya hataki makundi wakati yeye ndiye muasisi... Haka kajamaa ni ka visasi sana hasa kwa wanaume wenzie,.... Lakini ni kahovyo zaidi kwa kujali sana chu..pi, huyu ni dhaifu haswaa anzia hata alivyomaliza hapo ud enzi hizo msekwa akiwa dvc....degree yake shidaa, thing capacity ya kawaida pia shida.... Yeye umwambie kutoa vyeo kwa mahawala zake tu hajambo... Namuhate sana huyu jamaaa kwasababu anachoongea siyo anachokuja kutenda ni kigeugeu kuliko hata kinyonga.
 
Mh Nape Moses Mnauye! Moja ya kazi yako ni kujibu hoja zinazuhusu chama? Please naomba ufafanuzi hapa? na mwelekeo wa CCM pamoja na hitima yako baada ya Mliowashindwa, kutwaa madaraka?
 
JK alihisi EL ni mzembe mno,alivyomshawishi ajitoe muhanga kwenye issue ya Richmond ili kunusuru chama akadhani atakuwa tena ***** kwenye kujivua gamba, lkn toka EL amuambie ukweli mbele ya wajumbe wa NEC kuwa JK ndiye muasisi na mratibu wa mpango wote wa Richmond sasa hivi anamuogopa na hawezi tena kumgusa maana anajua fika kuwa akimwaga mboga naye atamwaga ugali.
 
Chama cha Mabwepande, hawana dira, hawana mwelekeo, hawana katiba, hawana kanuni, wala msemaji wa chama chao. Yeyote aweza kufanya lolote alitakalo kufuatana na nguvu alonayo ndani ya kundi hilo. Watapata amani 2015 watakapokuwa wamekusanyika kwenye bench wakitafakari kuwa wamekuwa wapinzani wa kudumu.
 
Imekuw kama mmechanganyikiwa na kasi ya mageuzi na mmeshindwa mbinu za siasa safi ya majukwaani na sasa ni wazi mmeamua kutumia mbinu chafu za kila aina mkitumia dola.

Mi naukubali ukweli kwamba CCM imekuwa kama mgonjwa ambae yuko ICU anapumulia mashine,na na amepoteza fahamu .haelewi kinachoendelea hata pembeni yake .namaanisha ccm ni mgonjwa mahututi na mashine ni serikali
Kwa hakika mgonjwa aliyeko ICU ukimchomolea mashine ya oxygen basi anakufa papo hapo. Na hakika ccm nayo siku ikijitenga na dola basi hakika umauti wake ni papo kwa papo.nawaomba mjitenge na siasa hizi za kinafiki.kifisadi. Na mbinu zoote chafu.hii ni kwa manufaa ya umma wa kitanzania.

Kumbukeni
:MNWEZA KUNUNUA VYEO LAKINI HAMUWEZI KUNUNUA HESHIMA.
:
 
ulchokisema commonmwananchi n kwel kijana umekuwa muwaz ktk kuwasilsha mada maana magamba wanatambua kwamba wamebanwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom