Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati aliyekuwa mbunge wa Igunga Bw Dalaly Peter Kafumu amesema hatakata rufaa kupinga hukumu iliyotengua "ushindi" wake wa ubunge, chama chake kupitia kwa Mwigulu Nchemba kimesema kitakata rufaa...
5 Reactions
109 Replies
12K Views
31 Mei 2006 Barua kwa Rais Kikwete - Wagombea Binafsi MAAMUZI YA MAHAKAMA KUHUSU WAGOMBEA BINAFSI NA UMUHIMU WA KUBADILI MFUMO WETU WA UCHAGUZI...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Baada ya msuguano wa mda mrefu wa ccm kugoma kuitisha uchaguzi,huku wakitumia mbini chafu kuhakikisha wanafanikiwa kuongoza kijiji cha ruaha kata ya ruaha hatimaye wamesarenda na kuitisha uchaguzi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mgombea wa kiti cha umeya katika Halmashauri ya jiji la Mwanza kupitia CCM na diwani wa kata ya Mkolani Ndg Stanslaus Mabula, ameshinda kiti cha umeya kwa jumla ya kura 11 dhidi ya mgombea wa...
11 Reactions
577 Replies
47K Views
Siasa zote zinazofuata misingi hii katika uendeshaji wake ni siasa za kihuni na endapo sisi Watanzania tutaendelea kuzishabikia zitaiangamiza nchi yetu!! Udini Ukabila Ubaguzi wa Jinsia na Umri...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za kuaminika nilizopata sasa hivi kutoka katika kijiji cha Matundasi wilayani Chunya Mbeya ni kwamba mwanachama mmoja wa CCM amefariki dunia kwa ajali ya gari aina lori na wengine wengi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mpango wa kusitisha M4C, baada ya ccm kugundua kwamba mbinu zote za kusitisha M4C kwa kutumia polisi na dola zimegundulika baada ya kujaribu kutumia vifo vya Morogoro na Iringa kushindikana sasa...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia sana siasa za ndani ya nchi yetu. Katika kipindi hiki hadi tarehe 12-11-2012 siku ambayo itakuwa ni mwisho wa uchaguzi wa ndani wa CCM(kama ratiba inavyoonesha), mengi...
2 Reactions
149 Replies
14K Views
TAMKO LA CHAMA KUKANUSHA SHUTUMA ZA CHAMA CHA CUF KUFANYIWA VURUGU NA CHADEMA. Ndugu wananchi na wanahabari, Siku ya terehe 27 Alhamisi Septemba 2012 chama cha wananchi CUF walitoa...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakuu nipo hapa Boko kunauzinduzi wa tawi la Cdm hapa na mh Halima Mdee ndio mgeni rasmi nita wajuza kwa picha baadae.CDM twanga kotekote.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TUNATAKA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR TUNATAKA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR YENYE MAMLAKA KAMILI KITAIFA NA KIMATAIFA ITAKAYOFUATIWA NA MUUNGANO WA MKATABA KATI YAKE NA JAMHURI YA TANGANYIKA...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
CCM CHAPULIZA KIPENGA, WILAYA ZA IRINGA, SONGEA ZATANGULIA, DK NCHIMBI KIDEDEA UJUMBE WA NEC, LEO NI SUMAYE NA NAGU Na Waandishi Wetu CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza rasmi chaguzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kufahamu nini Uprofessor wa Mh Lipumba Ibrahim maaake sijawahi kusikia anafanya nini na taaluma yake hii Je?ana ushauri gani kwa serikali ya Bongo?? Nataka tu kuelewa simsemi vibaaya ni...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Wana-JF mtaniwia radhi ikiwa nitakuwa narudia mada iliyokwishatolewa mapema leo. Huko Tunduru kuna kikundi kinachosadikiwa nicha eti "waislam wenye itikadi kali" wamekuwa wakivamia na kuuwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo Kamanda Nasari alifanya mkutano wa kutoa shukrani pamoja na kusikiliza kero za wananchi wa Ngarenanyuki katika mkutano huo watu walipata nafasi ya kuuliza maswali mbalimabali Kamanda Nasari...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya zitto kabwe kutangaza hadharani kwamba hagombei tena ubunge mwaka 2015,nimefarijika na kuona njia ni nyeupe kwangu kutangaza mapema kwamba jimbo la kigoma kaskazini linatakiwa libaki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndani ya CDM kuna mapandikizi ambao kiukweli ni mamluki wa CCM, hivi itakuwaje 2015 kabla tu ya uchaguzi ambapo baadhi ya viongozi/kiongozi wa CDM...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
diwani wa chadema aliyevuliwa uawanachama adam chagulani aliipigia kura cdm ila cuf ndo wameshindwa kuvunja ndoa yao. Cuf waliwafuata cdm nje ya ukumbi na kuwashawishi warudi wapige kura kwani...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mpaka leo bado ninajiuliza kwa nini kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Kikwete alikacha mdahalo, kwanini CCM iliwazuia wagombea wake kushiriki midahalo na kwa vipi hali hii iliweza kukubalika ndani ya...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom