Mhe. Jitu Soni (CCM) ashinda Rufaa ya Ubunge - Babati Vijijini

wonishi

Member
Sep 18, 2012
25
5
Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali maombi ya aliyekuwa mgombea wa Ubunge jimbo la BABATI VIJIJINI kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI Bwana TARA na kuthibitisha ushindi wa mhe. JITU SONI aliyeshinda kiti hicho kwa tiketi ya CCM.

Habari kamili soma magazeti ya kesho,au taarifa za vyombo vingine vya habari.
 
Hilo nililitegemea. Labda yeye ndiye angekuwa ameshitaki. CCM = Polisi + Mahakama + Tiss.
 
lnterest yangu ni kwa kesi ya Lema tu ambayo nayo HATASHINDA
Kwa nini mkuu mbona hofu mapema hivyo. Tuna imani na mahakama zetu, haki iliyotendeka BBT vijijini, sumbawanga, Igunga ndo ndiyo hiyo hiyo itakayotendeka Arusha na kwingine kote kwenye kesi kama hizo, tusione kama haki ni pale tu ambapo chama fulani kimeshinda.
 
Mahakama ya Rufaa imetuplia mbali maombi ya aliyekuwa mgombea wa Ubunge jimbo la BABATI VIJIJINI kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI Bwana TARA na kuthibitisha ushindi wa mhe.JITU SONI aliyeshinda kiti hicho kwa tiketi ya CCM.Habari kamili soma magazeti ya kesho,au taarifa za vyombo vingine vya habari.

Wana BBT sasa wampe ushirikiano Mbunge wao kwa maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Wote walioshindwa poleni sana jipangeni upya.
 
Hilo nililitegemea. Labda yeye ndiye angekuwa ameshitaki. CCM = Polisi + Mahakama + Tiss.

BT nyie watu mna matatizo sana,ua just lik cryin babies,ni mahakama hiyo hiyo amabyo wabunge wa upinzani wameshinda kesi zao na wengine kushindwa,bt wakishinda kesi mnasema haki imetendeka wakishindwa mnasema serikali inaingilia hizo kesi,so kwenu nnynyi haki ni one way trafic,nonsese
 
Tunamtakia shughuli njema JiTu ya kuwawakilisha wanababati vijijini. Tusubirie 2015 kwa sasa tumwache afanye kazi.
 
Nampongeza ndugu Soni. Bungeni huyu mbunge (Soni) anaongea mambo ya maana sana na hanyenyekei mtu.
 
Back
Top Bottom