CUF yasisitiza zanzibar kuwa na muungano wa mkataba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF yasisitiza zanzibar kuwa na muungano wa mkataba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Sep 12, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Mh Waziri wa sheria Zanzibar AbuuBakar Khamis Bakari

  Na Masoud ali….
  Mjumbe wa baraza kuu la CUF taifa ambae pia ni Waziri wa katiba na sheria ndugu Abuubakar Khamis Bakar amewasihi wananchi wa jimbo la Bububu kujitokeza kwa wingi kumchagua mgombea wa CUF ili kuongeza nguvu katika baraza la uwakilishi katika kulinda chama, jimbo pamoja na nchi. ili kuweza kuendeleza yale aliyaahidi.

  Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Bububu katika uwanja wa magengeni alipokua akiwahutubia wananchi pamoja na wapenzi wa chama hicho amesema kwa sasa Zanzibar haina uwezo wa kutoka kwenda nje ya nchi kutaka misaada bila ya kupitia Tanzania bara, ili kuondoa tatizo hilo na kuipatia Zanzibar mamlaka yake kamili ni lazima kuongezeka idadi ya wawakilishi wa CUF kupitia ISSA KHAMIS ISSA na kuepuka sera za CCM za kuwa na serikali mbili kuelekea serikali moja.

  Amesema wakati umefika Zanzibar kuwa na Serikali yake, na Tanganyika kuwa na Serikali yake ili kupata muungano wa mkataba ili kukua kimaendeleo. hivyo amewasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi na kuwa na kauli moja katika utowaji wa maoni kuhusu katiba mpya.
  Nae mgombea uwakilishi jimbo la Bububu amewataka wananchi wa jimbo hilo kumpa ridhaa yao ili kupata Bububu mpya yenye maendeleo.
  Ndugu ISSA KHAMIS ISSA amesema iwapo atachaguliwa na wananchi wa jimbo hilo ataimarisha sekta za maendeleo ikiwemo afya na michezo kwa vijana wa eneo hilo na kuhakikisha wanakuwa na timu yao itakayoshiriki ligi kuu zanzibar.
   
 2. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na sisi hatuutaki Muungano wa mkataba utakaoleta nchi mbili au tatu. Ni aidha nchi moja au Zanzibar waende zao!
   
 3. Uhalisia Jr

  Uhalisia Jr Senior Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi napita tu
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  waende tu, hatuutaki huo mkataba wao.
   
 5. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Huwa siwaelewi Wazanzibari,wakiwa kwao wanataka muungano wa mkataba,wakivuka bahari wakaenda bungeni Dodoma wanataka muungano na kuwakejeri wanaoupinga!
   
 6. A

  Alhabaad Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hao wanakuja dodoma na kuwapinga wenzao wa znz ni vibaraka na mamluki wa Tanganyika!!
  Unajua nyinyi mlijifanya wajanja mkaeka ktk sheria ya mabadiliko ya katiba kuwa muungano usijadiliwe kwa kuuvunja bali kwa kuuboresha mkadhani mshatupata!ss na ss tunataka mkataba hamuwezi vinja muungano na ndio lengo letu hatutaki muungano.
   
 7. JOASH MUSSA

  JOASH MUSSA JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hicho ndicho wanachowaza CUF kila uchao, ni kuvunja Muungano, nilikuwa huko last week, ukipita Mtendeni makao makuu ya CUF kuna stika za kuhamasisha uzanzibari na kupuuza Utanzania, Watanganyika tuwe macho, haya mambo ya miamsho mara kususia sensa hii yote ni Zanzibar, na nashindwa kuelewa Lipumba ni Mwenyekiti wa CUF Taifa au Bara?? Je? anaridhika na hali inavyoendelea kule? na kwa nini kama anaridhika asiende kule kuiunga CUF kupata nchi yao?
   
 8. J

  JokaKuu Platinum Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..we already know that.

  ..sasa mambo gani wanataka yawe ktk "mkataba" ??
   
 9. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Mh, sasa wanasubiri nini huku Tanganyika? Tumechoshwa na malalamiko yao...
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nasubiri kwa hamu Prof Lipumba atoe kauli kuhusu Zanzibar na muungano. Hadi sasa hawasemi ni kitu gani wanataka kwenye mkataba, pengine Prof anaweza kufafanua!
   
 11. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mkataba wenye faida gani kwa Watanzania wa bara zaidi ya kufanyia vitu Zanzibar na nafasi za uongozi!!. Kama wanapenda uongozi wajiongoze wenyewe na tutaona Watanzania wa Zanzibar wengi wanahamia bara.
   
 12. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Hakuna watu washenzi kama wazanzibar ni watu wa hajabu sana
  Wazanzibar ni kama mademu, Demu yuko nyumbani kwako alafu analeta nyodo , atasema hakutaki lakini ukimwambia ondoka zako bado atagangania na kujishebedua , sitaki sitaki huku anafua nguo na kukupikia msosi na vitu anakupa unagonga. Nilishawaambia wazanzibar kwani mkataba wa nini si muondoke mwende kwenu muone kama kuna mtu atawafuata huko kisiwani ! Wote wamejazana Bara kama kumbikumbi , utakwenda mpaka Karagwe utawakuta . lakini bado wanataka mkataba. Mkataba wa nini ondoka zenu tuachie Bongo yetu hawataki, ovyoooooooooo !!!!!
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  umeona eeh! Halafu Uamsho hawawapingi
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  hata sisi hatuwataki na hatuwapendi. Ila mshaanza mara mkataba, mara muungano uboreshwe. Nyie vipi?
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  hakuna cha prof wala Mtatiro wala Maalim Seif. Watoke zao
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  sijui wamelogwa!? Wanatung'ang'ania tu
   
 17. m

  mpigauzi JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii mada mie inanikera na kunichosha. Hivi Tanganyika inafaidi nini kutoka Zanzibar? Wanzanzibari wakija bara wanakuwa huru mno lakini walivyo kwao aah! Waachwe
   
 18. g

  gagonza JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  na huo muungano na uvunjwe hatuwezi kuhishi kwa kutishiana kila siku. as if mahisha yetu ya meshikiliwa na zanzibar.
   
 19. A

  Alhabaad Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani ni nani anang'ang'ania Muungano!?ss tumesema na tunaendelea kusema wazi wazi hatutaki Muungano.nyinyi ndio mkaleta sheria eti oooh tuujadili kwa kuboresha si kuvunja tukawaambia sawa.ss sisi tumetafuta njia nyengine ambayo tutauvunja muungano badil ndio tukaja na Muungano wa mkataba ili tuutumie km daraja la kuuvunja moja kwa moja!!
  Hakuna ujanja tena mtaimbo umeganga!!!hata mkamfufua baba yenu wa taifa hamtaweza kuzuia wanachitaka wazanzibar!
   
 20. b

  bin rasshid Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SHIDA ILIYOPO LICHA ya wasomi walioko tanganyika bado kuna wimbi kubwa la wajinga na maskini jambo lina sababisha hata kuona kwa macho au hata kuskuliza khabar hawajui owongo huona ukwli na ukwli huona uwongo anajua dhulma inayofanyika znz ni baadhi ya wasomi wasiomrithi nyerere ilawengi wenu bado mna usingizi kwa kuwekewa na kupotoshwa na sauti ya mzoga ambao bado unawaongoza
   
Loading...