PROFESA WA UD: Safari hii TUNAGOMA kweli kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PROFESA WA UD: Safari hii TUNAGOMA kweli kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Oct 3, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  'Kama mshahara wa mwezi huu utakuwa ule ule ambao hauna nyongeza ya mshahara,tunagoma. Hebu angalia,wenzetu wote wameshapata mishahara yao tena yenye nyongeza tangu Mwezi wa saba kwanini sisi bado? Hadi leo tarehe 3/10/2012 hatujapata mishahara. Tunafanyaje kazi? Nadhani tunataniana hapa.Safari hii tunagoma kweli kweli. Ngoja uone'

  Ni maneno ya ukali na ya kutia huruma ya Profesa mmojawapo wa UDSM ambaye alinipigia simu leo 'kuniazima' hela ili auanze mwezi huu. Nimemuonea huruma yeye,Wahadhiri wengine na wafanyakazi wa UDSM kwa ujumla. Mkuu wa Kaya yuko nje anakula maisha. Kwanini lakini mambo haya?
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ma Professa si huwa wana madili kibao kibao nasikia UDSM wameachiwa ma tutorial assistants sasa nyongeza ya mshahara ya nini?
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Huenda kuna watu walishazipiga hizo pesa wanafanyia biashara kwanza!
   
 4. Haliali

  Haliali JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii ndiyo Tanzania bana. nizaidi ya uijuavyo. Kweli Tanzania inastahili kuwa ajabu la nane la dunia. kazi kweli kweli.
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  Dah tz bana nchi yangu nzuri sana

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 6. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwalimu ni mwalimu tu profesa ni cheo.
   
 7. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  cheki zenyewe zimeletwa leo ila wameleta mishahara mipya.
   
 8. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Walimu ni wito
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kama mkuu wa kaya alivyowaachia nchi watendaji wa Kata.
   
 10. Ufipa-Kinondoni

  Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 4,468
  Likes Received: 2,137
  Trophy Points: 280
  Ualimu ni .....! Msigome!. Hii ni kazi ya ridhaa sio kama jk.
   
 11. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Actually kuna kashifa kubwa sana UDSM.
  1. Iligundulika orodha ya wafanyakazi fake kibao,wengine waliokufa..akiwemo Prof Nzali,
  2. Mishahara ilikuwa Fake, namaanisha kuwa kulikuwa na Mapanga ya hali ya juu kwenye mishahara ya watumishi pale, Mf,Unakuta mshahara unalipwa SIYO kiwango ambacho kinaidhinishwa na Hazina. Hii imefikia Watumishi pale kutaka Salary Slip zinazotolewa na Hazina moja kwa moja,siyo zile zinazotolewa na Bursar wapo pale.
  3. Unakuta baadhi ya ma-Technician analipwa zaidi ya Lecturer..hasa kama ni wa'"kwetu" kule...
  4. Prof Mgaya anatuhuma kibao,na anapaswa kula Likizo ya kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.
  Habari ndo hiyo.
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  This is very serious!!!
   
 13. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Absolutely,It is!!
   
 14. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  achana na pale mahal,pana madudu kupindukia.leo hii ukipita uchunguzi au auditing ya ukweli ambnayo hakutakuwa na kufunika madudu,mambo mengi yataibuliwa
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Una akili sana. Ungekuwa karibu ningekupa kiroba cha konyagi. Naomba kauli yako niifanye signature yangu.
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Baada ya kuondoka Luhanga ndio Chuo kimekua zerooo
   
 17. B

  Bigaraone JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 722
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  These are another group that constitutes educated elite but have done little to liberate this country from intellectual decadence, economic difficulties and unreasonableness. Whereas in many countries lecturers are demonstrating the lead when the situation is worsoned by the politicians ours have been passive and collaborators of the ruling regime. They keep on applauding the regime no matter oppressions, physical and psychological torture, brainwashing and what have you that the regime inflict on innocent wazalendo. However, not all lecturers have succumbed to ruling class business, some have taken bold and different route but at the expense of losing job, promotion and denied contract renewal when their contracts get expired. Hawa wa pili tunawasikitikia lakini wengine hatuwezi kuwaunga mkono hata wakigoma. Kwanini hawakuwaunga mkono walimu wa sekondari na primary? Gomeni lakini kwa wazalendo wa kweli you are birds of your own feather.
   
 18. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ibara ya 23 (1) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano inasema: Kila mtu, bila ya kuwapo kwa ubaguzi wa aina yoyote, anayo haki ya kupata ujira unaolingana na kazi yake, na watu wote wanaofanya kazi kulingana na uwezo wao watapata malipo kulingana na kiasi na sifa za kazi wanazozifanya.

  Sasa ndugu yangu unaposema wasiongezewe mshahara ni kuwaonea kwani mbali na kufanya kazi darasani, wanafanya utafiti na kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma.
   
 19. m

  mpasta JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 383
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  naskia pesa za mishahara zimetumika kwenye uchaguzi wa ccm,,,,,,,,,,,,,,,,ha ha ha
   
 20. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mkuu na ile kamati ya bunge iliyopita juzi na kuondoka na maafisa wa duce na mkwawa kwa malipo hewa ninasikia iliyaona hayo madudu lakini cha kushangaza ud hakuna aliyeguswa km vyuo vingine!..
   
Loading...