Mpaka wa Horohoro, nini kinaendelea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpaka wa Horohoro, nini kinaendelea?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matongo manawa, Oct 4, 2012.

 1. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna kila dalili za kuibuka mgogoro wa kidiplomasia Kati yaTz na Kenya kwenye mpaka
  wa Horohoro ambapo kuna mradi wa ujenzi wa mradi wa one stop border.

  Kila Nchi inajenga mradi huu kwa upande wake lakini cha ajabu wakenya wamechimba fence na kuingia hadi kwenye ardhi ya Tanzania.

  Nimepita eneo hilo nikaona wajenzi wanafanya kazi huku nafasi ya Normanland ikiwa nayo inajengwa ukuta kuingia Tz, nilijaribu kuwadodosa wenzangu tuliokuwa tunavuka nao mpaka nao wakasema wanashangaa!!

  Sijui serikali yetu inajua???
   
 2. g

  gambagumu JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 699
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  exageration!!!
   
 3. m

  mamajack JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wapo busy wanapanga matumizi ya pesa kwa anasa.
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,536
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  Ndio maana naomba kipindi cha dhaifu kiishe haraka,kuna hatari ya kuvuna aibu kama taifa.
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kenya wasihofu kwa vile kwa sasa Tanzania haina serikali yenye kuweza kushughulikia masuala madogo kama hayo. Rais kila siku anazurura sijui kujitibia au kushangaa nani ajua?

  Serikali yetu ya sasa ni kwapuakwapua hivyo kugombea kitu ambacho hakiiingizi ten percent siyo kipaumbele chake. Hivyo watanzania mlie na nchi yenu itaendelea kumegwa na kuingiliwa na wakimbizi wa kiuchumi huku nanyi mkiwavumilia. Ajabu mkienda South Africa au Greece mnatolewa kamasi na kutimliwa kama mbwa koko.

  Kazi kwenu.
   
 6. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni upepo unapita.
   
 7. MGANGA WA KIENYEJI

  MGANGA WA KIENYEJI JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mipaka yetu ipo salama kondom?
   
 8. a

  ambagae JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Walikua busy na Rwanda trip
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Tuna inteligensia na geshi imara sana duniani?Bado tuu hawajaamua(amka), shimbo yupo wapi?
   
 10. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu Wakenya hawawezi kufanya makosa kama hayo, nafikili watakuwa wanajenga nje ya mpaka sio ndani mkuu, sio wajinga wanajuwa fika TANZANIA haiwezi kupuuzia kitu kama hicho. Hapa tutazungumza mengi kuhusu Serikali yetu lakini tukumbuke Jeshi letu na Watanzania kwa jumla sio lelemama.
   
 11. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Acha kuota mkuu, unavyoongea kuhusu jeshi lenu utadhani la marekani.
   
 12. s

  siyabonga Senior Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tupate akili sasa. Uongozi si kucheka cheka, ni kufanya maamuzi.
   
 13. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  kwa kiasi fulani nakuunga mkono.
  kuna mambo ya ajabu yanatokea mipakani ambayo hawa jirani zetu walikuwa hawathubutu kuyafanya enzi zile ambazo mgambo (militia) ya Tanzania ilikuwa kubwa kuliko majeshi yao ya miguu kwa ujumla (namaanisha nchi zote nane).
   
 14. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Always look on the bright side of life! One stop border itarahisisha sana biashara kati ya nchi za Afrika Mashariki. Long live EA.
   
 15. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mgogoro wa mpaka na Malawi haututoshi?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,774
  Trophy Points: 280
  obviously Rais wetu hajui
   
 17. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  South Africa au Greece? Mbona mbali sana huko? Nenda hapohapo Kenya tu na vi-degree uone kama vitakusaidia.
   
 18. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Jeshi la Merikani linakujaje hapa!! Na sijuhi una maana gani unaposema jeshi lenu, kwani wewe unaishi nchi gani If I may ask?
   
Loading...