Vipi Matokeo ya uchaguzi wa CCM Kigoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Matokeo ya uchaguzi wa CCM Kigoma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyuki dume, Oct 4, 2012.

 1. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mwenyeji wa Kigoma mjini lakini niko nje ya mkoa kwa muda mrefu, ningependa kujua matokeo ya uchaguzi wa CCM mkoa wa Kigoma , mwenye taarifa naomba anijuze au bado haujafanyika.?
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ungeuliza NCCR mageuzi wangekujibu. hakuna mwanaccm wa kigoma anayetumia mtandao. labda upige simu TBC
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mpe namba ya clement mshana, marine hassan au grace kingalame aulize habari za ccm kigoma wengine hatuna muda na wafu
   
 4. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani kama mumesikia mwambieni tu....
   
 5. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wilaya ya Kasulu, nafasi ya M-NEC imekwenda kwa Daniel Nsanzugwanko. Wilaya ya Buhigwe MNEC ni mbunge wa sasa mhe Obama. Na wilaya ya Uvinza MNEC ni Asha Baraka ambaye ni mmiliki wa bendi ya twanga pepeta. Katika wilaya hizo, majina ya wenyeviti yamenitoka. Wilaya ya Kigoma mjini mwenyekiti ni Kassim Kasambwe baada ya kuwashinda mwl Elisha Zilikana na Bw Kitita Magonjwa aliyewahi kuwa meya wa manispaa ya Kgm/Ujiji. MNEC alishinda Kilumbe Ng'enda aliyekuwa katibu wa CCM mkoa wa Dar baada ya kuwashinda Bw Mpozemenya ambaye ni mfanyabiashara maarufu hapa Kgm na Bw fulani hivi ambaye ni katibu wa bodi ya ajira wa manispaa. Kigoma vijijini mwenyekiti ni Hamisi Betese baada ya kumshinda mzee Nyamkunga aliyekuwa mwenyekiti wa wilaya. MNEC umekwenda kwa Mbunge wa zamani wa Kigoma Kaskazini Bw Kahena Mayonga. Matokeo ya Kibondo na Kakonko sina. Kwa kuanzia, hayo yanatosha.
   
Loading...