CCM wakomba hela Hazina, mishahara ya Septemba hamna! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wakomba hela Hazina, mishahara ya Septemba hamna!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwangaza, Oct 4, 2012.

 1. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwa habari za uhakika, kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba mkutano wa CCM Dodoma na chaguzi zinazoendelea ndani ya chama vinanendeshwa kwa mamil ya pesa zilizochotwa Hazina.

  Pesa hizo ambazo nyingi zilikuwa za mishahara ya wafanyakazi wa serikali na mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini zimesababisha mpaka leo wafanyakazi kadhaa hawajapata mishahara ya Septemba, na "boom" la wanafunzi linapigwa danadana.
   
 2. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 9,665
  Likes Received: 3,477
  Trophy Points: 280
  yawezekana...maana mpaka leo wafanyakazi haswa wale wa serikali kuu hawajapata mishahara....situation is getting even worse....
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Chama chetu cha magamba chajenga nchi. ubwabwa aaah maharage yajenga mwili,mihogo aaah ugali wajenga mwili.
  dhaifu aaah riz1 wajenga nchi.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,642
  Likes Received: 10,160
  Trophy Points: 280
  Halafu wanatudanganya eti ​Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi, wizi mtupu
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,496
  Likes Received: 3,374
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kweli maana mpaka sasa mishahara wafanyakazi wa serikali kuu wengi hawajapata mishahara, eti wanadai ni system mpya inayotumika hazina ndio inachelewesha.
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,063
  Likes Received: 8,554
  Trophy Points: 280
  Hii ni kweli watu hadi sasa hawajapata mishahara.
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,288
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Maisha bora kwa kila mwana-CCM
   
 8. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,453
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Kama habri hii ni ya kweli, basi ole wao. Siku zinakuja tena hazipo mbali ambapo mafisadi wote watalia na kusaga meno.
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,045
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Habari si ya kweli.
   
 10. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,453
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Wakumbuke kuwa kila uovu unaotendwa una malipo yake. Wajifunze kutoka tawala dhalimu zilizoanguka, wasifikiri watatawala milele. SAA YA UKOMBOZI NI SASA WATANZANIA WENZANGU TUAMKE. TUMECHOKA KUNYANYASWA NA WATU WACHACHE AMBAO TUNA UWEZO WA KUWADHIBITI.
   
 11. epson

  epson JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 487
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  sounds true, maana hata si tuliopata mishahara tumepata kwa kuchelewa tofauti na miezi mingine. hi ndiyo ssm
   
 12. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Exim wameikopesha Serikali juzi hivyo kuna taarifa kwamba mpaka kufikia Jumamosi watu watakuwa wamelamba mishahara yao.
   
 13. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hao ndo magamba wajameni,full uozo.jana nilikuwa chato nimekuta wa2 wanapigana vikumbo kwa chaguz hiz za magamba.ila ole wao mana saa ya liberatn yaja
   
 14. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,634
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Tunasubiria EPA nyingine kwa style ya tofautie..Inabidi Prof Ndullu aangalie tusijemhamisha nchi..haya mambo ya siasa yasikie tu ila yakikujeuka utajuta kuwa kwenye gemu..
   
 15. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #15
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,287
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  Wanachukua kwa sbabu wanafahamu Wafanya Kazi Wa Tanzania ni Waouga haijawahi tokea na Hakuna Nchi Hapa Duniani ambayo wafanya kazi wake ni Waoga kama Tanzania, Sasa tunabakia kulalamikia humu Janvini haisaidii chochote, CHEKI SWALA LA NSSF waafanya kazi wote Kimya wamewaachia wafanya kazi wa Migodi Wapambane pekee yao,

  Wafanya kazi wa Tanzania Ndo watao Chelewesha Ukombozi na Hii inatokana na kuwa na Matabaka sana Leo hii Ukiitisha Mgomo Wa wafanya kazi Wa Serikali Nchi Nzima Wapo Watakao Goma na wapo ambao hawatagoma, Mfano Wafanya kazi wa TRA, Bandarini na kwingineko hawawezi goma kwa sababu wanajua wao hawa wasipo pata mshahara mwaka mzima wataishi kwa Madili wanayo fanya huko Makazini
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kama hii habari si kweli mbona mishahara hatujalipwa?
   
 17. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #17
  Oct 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha porojo, thibitisha.
   
 18. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #18
  Oct 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,971
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Sio kweli nini? Kwamba watu hawajapata mishahara au kwamba CCM wametumia pesa ya mishahara? Funguka zaidi Maundumula
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,576
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
  Halafu kanushi lingekuwa na mshiko zaidi kama ingewekwa sababu inayomfanya aseme hivyo.

  Habari si ya kweli kwa sababu pesa za mikutano ni kiasi fulani na zimetoka sehemu fulani etc.

  Lakini laaa, mtu anajisemea tu "Habari si ya kweli" bila hata aibu.

  Dismiss, dismiss, dismiss.
   
 20. peri

  peri JF-Expert Member

  #20
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  jf imekuwa kijiwe cha porojo.

  Kiwanda kingine cha uongo kinafanya kazi.
   
Loading...