Uchaguzi waahirishwa Longido baada ya matokeo kuchakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi waahirishwa Longido baada ya matokeo kuchakachuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by T2015CCM, Oct 4, 2012.

 1. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,804
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 180
  Ni baada ya mbunge wa jimbo hilo Maiko Lekule Laizer kutangazwa mshindi dhidi ya yule ambaye watu wanamtaka, vijana wakaja juu na kugomea matokeo kwamba uchaguzi urudiwe na mwenyekiti wa mkoa wa arusha ameahirisha uchaguzi hadi siku nyingine.

  Laizer anajitetea kuwa anaachia ubunge 2015 hivyo aachiwe NEC pia eti amepambana kupewa Wilaya bila hata kuwa vigezo.

  Imekaaje hii wana jamvi?
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,958
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Wezi ni Wezi tu, Sasa wanaiba nyumbani kwao
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tehe tehe tehe; CCM na utamaduni wa uchakachuaji wa uchaguzi bana, ni kama fisi tu na mzoga porini!!!!
   
 4. F

  Fitinamwiko JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 4,711
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Angebadilisha jina lake la mwisho na kuwa Kikwete, angepita bila kupingwa
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dhambi ya kuchakachua Majimbo ya CHADEMA ya 2010 inaanza kuwatafuna na wao. Safi sana! What goes around, comes around!

  TUMBIRI (PhD, University of HULL -UK),
  tumbiri@jamiiforums.com
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,336
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  Safi sana!Vijana waendelee kukomaa kisawasawa
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,761
  Likes Received: 21,468
  Trophy Points: 280
  Mwevi dawa yake ni moto.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...