Kanga, chakula na kofia zinawafanya watanzania kuchagua viongozi wa ovyo ovyo - Jenerali Ulimwengu

Magesi

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
2,587
573
Mchambuz wa mahiri wa masuala ya kisiasa na kiuchumi Mzee Jenerali Ulimwengu amesema kuwa kila baada ya miaka mitano watanzania hupewa pilao, kofia, tisheti na kanga hivyo kuendelea kuchagua viongozi wa hovyo hovyo waliolifikisha taifa hapa lilipo

SOURCE: ITV HABARI USIKU HUU
 
nimemsikia vizuri ulimwengu.
Worst elements are chosen for leadership!hii ni mbaya sana,
 
Welcome to the world of awakening na kugundua yote yaliyo maovu na yasiyofaa katika Nchi yetu Well Spoken Mzee Jenerali
 
Mgombea ndiyo anawalipia wajumbe gharama za kuwatoa kijijini, chakula, nyumba ya kulala wageni, gharama za kuwarudisha vijijini.

Chama tawala chenyewe kimeoza kwa aina ya rushwa za ajabu ajabu kama hayo yaliyo mgombea ikiwa kama mjumbe atashindwa kumpigia kura ataishije wkt awapo ktk uchaguzi.

Lazima viongozi wa hovyo wapatikane halafu waje warudishe gharama zao, JK, MUKAMA na wengine wanayajua vizuri ni ujanjaujanja wa ccm tu.

TIME WILL TELL.
 
Mbona anapingana na kauli ya Dr Slaa, yeye anasema Chadema walishinda uchaguzi lakini Usalama wa Taifa wakachakachua matokeo.
 
nilikuwa naangalia leo saa moja jioni uzinduzi wa maisha plus kuna mawaziri naibu wawili kilimo na wanawake jinsi na watoto....lakini wamama wote kilio chao kinaonesha serikali iliopo haifanyi kazi inayotakiwa kila mama analalamika kivyake hii ni kutokana na maoni yao yaliokuwa yakisomwa na naibu wzr klm kg malima
 
Mbona anapingana na kauli ya Dr Slaa, yeye anasema Chadema walishinda uchaguzi lakini Usalama wa Taifa wakachakachua matokeo.

dr slaa vichwani mwa hawa watu: ritz na zomba anazunguka haipo siku mind zao zikawa free. Kuhusu dr
 
Back
Top Bottom