2015 Options: Migiro vs Zitto

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,441
55,018
..CCM wakimsimamisha huyu mama, na CDM wakamsimamisha Zitto, basi ushindi unakwenda kwa CCM.

..wale wana CCM kama Salim Salim, na Joseph Warioba, wanaompa kichwa Zitto Kabwe, wote watamkimbia siku akipambanishwa na Dr. Migiro.

..wananchi CDM wanafanya makosa kum-underestimate huyu mama. In my opinion she has the capacity to come across as more seasoned, reasonable, and articulate, than Zitto Kabwe.

..hoja ambayo ingeweza kumsaidia Zitto ni vita dhidi ya ufisadi. Tatizo ni kwamba Zitto ameshindwa kujipambanua kama mpambanaji wa kweli, asiyetiliwa mashaka yoyote, wa vita dhidi ya ufisadi.
 
TRUST ME - WOTE HAWAFAI... MIGIRO Hauwezi URAIS... Ulimuona UN alikuwa hawezi hata kushawishi pande Mbili zisizopatana...

KATIBU MKUU anajuta kwanini hakumteua NGOZI IWEALA... ndie aliyekuwa 1st choice na
USA walimtaka; MIGIRO atakuwa kama MWINYI... NOTHING... I mean NOTHING... ZITTO the SAME...
 
..CCM wakimsimamisha huyu mama, na CDM wakamsimamisha Zitto, basi ushindi unakwenda kwa CCM.

..wale wana CCM kama Salim Salim, na Joseph Warioba, wanaompa kichwa Zitto Kabwe, wote watamkimbia siku akipambanishwa na Dr. Migiro.

..wananchi CDM wanafanya makosa kum-underestimate huyu mama. In my opinion she has the capacity to come across as more seasoned, reasonable, and articulate, than Zitto Kabwe.

..hoja ambayo ingeweza kumsaidia Zitto ni vita dhidi ya ufisadi. Tatizo ni kwamba Zitto ameshindwa kujipambanua kama mpambanaji wa kweli, asiyetiliwa mashaka yoyote, wa vita dhidi ya ufisadi.

alishatuhumiwa na kashfa ya rushwa na utajiri wa haraka haraka. Hili shirika la tanesco limefanya madudu wakati yeye ndo mwenyekiti wa ile kamati kwa njia moja ama nyingine mi nahisi lazima atakuwa na mkono hapo. Sasa hivi anatuyeyusha na hoja ya urais wakati lile swala la tanesco halijaisha
 
Hii thread ni aibu na inatudhalilisha sana watz! Yaani kama kweli hao ndio chaguo letu, basi nchi haina watu wakuiongoza!
 
nngu007

..tuseme wote walipwaya, Migiro pamoja na bosi wake Ban.

..tatizo langu ni kwamba Migiro na Zitto hawana tofauti kubwa.

..sasa kama wanaamini ktk mambo yanayofanana, ni yupi unafikiri anaweza kujenga ushawishi kwa wananchi na wakamkubali??

NB:

..halafu kwanini Zitto ni kipenzi cha wana CCM kuliko mwana CDM yeyote yule??
 
Last edited by a moderator:
Watanzania bana......

wenzenu wanafanya kazi nyie mawazo yako 2015....haya endeleeni na ramli zenu
 
Joka kuu, wewe umejuaje kama CDM watamsimamisha Zitto na CCM watamsimamisha Rose Migiro?
 
BashaDido,

..kwasababu wote wanaungwa mkono na makundi yenye ushawishi mkubwa ndani ya vyama vyao na ktk jamii kwa ujumla.
 
Last edited by a moderator:
Zitto na Migiro hakuna hata mmoja anayefikia kiwango cha changarawe.Dr slaa pekee ndiye anayefikia kiwango cha LAMI.
 
BashaDido,

..kwasababu wote wanaungwa mkono na makundi yenye ushawishi mkubwa ndani ya vyama vyao na ktk jamii kwa ujumla.
Unataka kuniambia ndani ya CDM Zitto anakubalika na anaushawishi mkubwa kushinda kiongozi yoyote? Na huko
ccm unaamini ni kweli Rose Migiro anakubalika kushinda EL.Magufuli,Membe na Dr Shein?
 
Siasa ni mpaka uzungumzie ccm na chadema. kazi kweli kweli!
Mtikila alishashinda kesi ya mgombea binafsi.................................... let's look beyond
 
nnguu007,

..tuseme wote walipwaya, Migiro pamoja na bosi wake Ban.

..tatizo langu ni kwamba Migiro na Zitto hawana tofauti kubwa.

..sasa kama wanaamini ktk mambo yanayofanana, ni yupi unafikiri anaweza kujenga ushawishi kwa wananchi na wakamkubali??

NB:

..halafu kwanini Zitto ni kipenzi cha wana CCM kuliko mwana CDM yeyote yule??
Wanasema BAN ni Katibu Mkuu wa kwanza Marekani ikipika kelele MIGUU YAKE haitetemeki... Lakini Ukiangalia Marekani Rais wao sio Imperialism Minded labda ndio Maana BA ana kata viuno kwa Maringo... na Kazi hana SUDAN pamemshinda...

ZITTO ni kiota; CCM wanampenda Sababu Wakimpa peremende anakuwa kama mtoto anaruka ruka na kunyamaza
na kusahau alikuwa analilia nini... Sasa ya wapi ya kupinga WAZIRI MKUU; YA WAPI YA KUMPINGA WAZIRI wa MADINI ? Sasa anatuletea MPYA ya kwenda BUNGENI tena kutuletea ya BENK USWISI... ili apate wabunge wa CCM wenye MSIMAMO MKALI wafukuzwe CCM ? kama walioondolewa kugombea U-CCM-NEC?
 
Unataka kuniambia ndani ya CDM Zitto anakubalika na anaushawishi mkubwa kushinda kiongozi yoyote? Na huko
ccm unaamini ni kweli Rose Migiro anakubalika kushinda EL.Magufuli,Membe na Dr Shein?
BashaDido,

..nimesema wanaungwa mkono na makundi yenye nguvu na ushawishi ndani ya vyama vyao.

..hata JK hakuwa na uwezo kumlinganisha na Dr.Salim, lakini nguvu ya kundi la wanamtandao ndiyo iliyosababisha CCM wakampitisha.

..inawezekana washabiki wa CDM wakawa wana mgombea wao, lakini wapiga kura ktk vikao vya maamuzi wakawa na mgombea wao tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini mnapenda kulisha watu maneno? Migiro ameshaweka msimamo wake anakwenda kufundisha chuo kikuu hana mpango na siasa lakini nyinyi mmeng'ang'ana tu!! aisee....

Sasa nimeamini kuna wale wanaosemaga wazee wameniomba nigombee Ubunge halafu anaambulia kura mbili na kura za Wazee huzioni hata zilikwenda wapi, kumbe wao walikuwa wanahitaji pesa. ndicho ninachokiona kwa Migiro mnataka mumfilisi kiinuwa mgongo chake alichopata UN kama mlivyomfilisi Salim.
 
Watanzania bana......

wenzenu wanafanya kazi nyie mawazo yako 2015....haya endeleeni na ramli zenu
Hivi kwani haiwezekani kufanya kazi na yet ukaongelea 2015? Hivi ww unapanga mipango yako ya mwaka 1 tu?
 
Siasa ni mpaka uzungumzie ccm na chadema. kazi kweli kweli!
Mtikila alishashinda kesi ya mgombea binafsi.................................... let's look beyond
Mungi,

..hoja ya mgombe binafsi inaweza kuwaumiza CDM kuliko CCM.

..CCM wana nidhamu ya chama, mwenyekiti wao akisema "wacha" wote wanatulia.

..kwa upande mwingine, CDM kuna vichwa maji wengi sana ambao hawataki kukubaliana na maamuzi ya chama.

..kwa mtizamo wangu, wanachama wengi zaidi wa CDM wata-opt kuwa wagombea binafsi kuliko wenzao wa CCM.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom