Wawakilishi CUF pamoja na Mawaziri wa CUF watoka nje ya ukumbi wa bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawakilishi CUF pamoja na Mawaziri wa CUF watoka nje ya ukumbi wa bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Olaigwanani lang, Oct 10, 2012.

 1. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Leo asubui kabla ya kikao cha baraza la wawakilishi kuanza spika wa baraza la wawakilishi,bw.kificho alitangaza kazi ya kwanza ni kumwapisha mwakilishi wa jimbo la bububu,ndipo wajumbe wote pamoja na mawaziri wa upinzani kupitia cuf wakatoka nje kwa kile kinachosemekana kupinga matokeo ya jimbo la bububu....
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  He! kumbe nao wanatoka nje? CDM walipotoka nje walisema ni utoto.
   
 3. d

  dotto JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wamekuwa kinyume na maneno ya Juma Dunni!!!
   
 4. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280

  Umesahau kale kausemi ka mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu,
   
 5. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  full ma-drama! hebu waongelee NSSF yetu waachane na propaganda zao!
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Watarudi tu kwani wamechukua posho za kikao.
   
 7. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  MCHANA wanatoka nje usiku wanachanua kulinda ndoa.
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahaha

   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hao wachumba wanabana miguu na mapaja! Ngoja watekenywe kidogo watatanua tu
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Safi sana Cuf nasisi mlitakiwa kutuunga mkono kuhusu kupinga matokeo ya jk!

  Kweli cuf ametoka nje na wasiwe wana beza wenzao wakitoka nje!
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kweli Cuf wanajua kuwaiga chadema
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pengine Jumatano ijayo ataandika makala nyingine tena kufafanua nini kinaendelea.
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,550
  Trophy Points: 280
  Cuf bana...
   
 14. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Yakhee Duni kwa nini usiende bububu kujenga Ikulu yakheee
   
 15. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu we ulitaka wafanyaje? Sio kazi kutukana tu na kudharau watu au ni Chadema peke yao ndo wakifanya hivyo ndo useme safi?
   
 16. W

  WildCard JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Kumbe BLW lenyewe sio la umoja wa kitaifa. CCM na CUF kule Zanzibar ni kama mapacha walioungana vichwani tu!
   
 17. Rapherl

  Rapherl JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 3,308
  Likes Received: 1,490
  Trophy Points: 280
  Si walisema ni Utoto?
   
 18. p

  propagandist Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF ndio waalimu wa siasa za Tanzania mambo yote ya chadema kutoka katika vikao wanaiga CUF tofauti CUF wakisusia vikao huwa hawachukui posho, CHADEMA huwa wanavuta mkwanja.
   
 19. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  CUF bana wamejitathmini wakaona wanapoenda sio, washaanza kujirudi sasa, CUF ilikuwa ngangari sana zamani sijui nini kiliwakumba watu hawa. Nimewahi kuongea na HAMAD RASHID MOHHAMED kwa kweli kama ni uchungu wa kuwa upinzani basi kiongozi huyu aliupata, historia ya upinzani haimuachi kando hata kama CUF inapoteza muelekeo kwa sasa. 4 years in Rumande with no charges at the Coart.
   
 20. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hivi hao wabunge wa 'baraza la wawakilishi', wanaongeaga nini huko? Je, hili bunge la 'bi kiroboto', liko juu ya hili baraza la kina Jussa???
   
Loading...