NYERERE na Tanzania ya Leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NYERERE na Tanzania ya Leo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bambo, Oct 11, 2012.

 1. Bambo

  Bambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 237
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimetafakari kwa makini maendeleo yetu kisiasa,mijadala yetu hapa jamvini na mwelekeo wa siasa ya nchi yetu nimegundua kuwa wanasiasa wetu wa leo wengi wanalazimisha kuwa mahali wanapofikiri wapo kisiasa!!!
  Hebu tuwatafakari wale waliokimbiza jeneza la mwalimu toka uwanja wa ndege hadi msasani kupitia kona zote za msafara huo na leo afe nani kati ya wanasiasa tulionao kuna watakao thubutu kulikimbiza jeneza lake kwa umbali huo???
   
 2. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi na wewe tutakimbiza mkuu, chukulia mtu kama Dr. Slaa afe
   
 3. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,528
  Likes Received: 16,510
  Trophy Points: 280
  Labda kuhakiki kama kweli ametangulia!!!!!!!!!!!!!!:biggrin:
   
Loading...