Ufisadi LAPF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi LAPF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Dec 31, 2010.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kwanzaufisadi PPF ambapo wanajilipa milioni 200 kila mmoja kwenye bodi

  sasa huku LAPF nako mambo si shwari


  Inaonekana kuwa huyu CEO wa LAPF ana akli kama ya Panzi...yaani mtu halipi kodi , kisha wanamkopesha halafu anaendelea kukaa bure, halafu anasema hajui alikokimbilia!!!
  xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx  Business & Finance

  Local fund tracking SA hotelier defaulter

  LOCAL Authorities Pensions Fund (LAPF) has said it was making on-going efforts to trace the whereabouts of a South African ‘investor’ who bolted out of the country without recovering nearly 2bn/- debt as rental arrears.

  The firm, African Sky Hotels and Resorts was running the former Millennium Towers Hotel in Dar es Salaam before leaving the country without clearing its rental bills.

  Mr Eliud Sanga, the LAPF Director General told the ‘Daily News’ in an interview in Dar es Salaam over the weekend that after quitting to South Africa, the defaulting company changed its address thus becoming difficult to trace its whereabouts.

  He said instead the pension fund has reported the matter to the Attorney General (AG) and to the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation for further legal measures including communicating with the South African counterparts.

  “The defaulter is an international firm, thus there is no way LAPF can deal directly with it without involving the government institutions ,” Mr Sanga said.


  Mr Sanga said the Parliamentary Oversight Committee had warned them to avoid incurring loss by spending too much money in tracing and prosecuting the defaulter and instead involve the government instruments to handle the matter.

  He said the firm which became LAPF tenant for a long time, had problems paying the rent, repaying the loan that we (LAPF) gave it and paying other related running costs of its own hotel.

  He said after staying a long time without settling its rent arrears, in November, 2007 LAPF decided to evict defaulting tenant G.K. Hotels and Resorts, a subsidiary of African Sky Hotels and Resorts.

  Instead of paying the debt, the South African firm filed a suit No. 35 of 2007 at the High Court (Commercial Division), questioning the decision to evict them without following the contract's clause on arbitration.

  As time passed by and the case hearing continuing, the firm’s representative escaped from the country and changed their address. The debt in question constitutes 1.2bn/- in rent arrears for the hotel premises within the Millennium Towers complex in the city and over 600m/- in accumulated cash loan payments plus a 28m/- electricity bill dating back to the year 2006 and other miscellaneous fees.

  The defaulting firm will be obliged to pay the debt and all the other costs from the point when LAPF started seeking payment of the debt to the present moment.


  Daily News | Local fund tracking SA hotelier defaulter
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu najua fika una Data za kufa mtu za PPF (wapinzani), pls zibwage wanajamvi wazichambue...

  Btw, good to learn haujalikacha jamvi jumlajumla...
   
 3. n

  nyantella JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Hivi kuibiwa ni ufisadi? lets call things their names. kama kila kitu kimeripotiwa sehemu zote husika sasa ufisadi uko wapi? wna JF tusitumie vibaya jamvi kwa kutafuta umaarufu, if at all this is forum for great thinkers why the majority of the posts ni za kukashifu the Gov and all public institutions? au ili uonekane mkali lazima uwe fundi wa majungu?

  For your information pamoja na huyo mwizi kuiibia LAPF, sisi wadau tunajua ni taasisi inayo jali sana wadau wake. uliza mstaafu yoyote atakwambia, ufisadi uwe defined maana kila mtu ataitwa fisadi hata wale wanaofanya kazi yao vizuri. I am out.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0


  nyantella.... you are right..... let say LAPF ni institution changa sana ...... sidhani kama in uhai wa 15 yrs ....... tuseme huyu conman wa soth africa alitumia loophole hiyo ya kufanya biashara na taasisi ambayo ni changa kibiashara..... akawa brain wash ..... and for your information .... miradi mingi ya LAPF either haikufanyiwa Project appraisal au appraisals zanamapungufu makubwa.......
   
 5. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  African Sky Hotels and Resorts- hawa jamaa siyo hawajulikani waliko la hasha kuna jambo halikufanyiwa upembuzi yakinifu hapo.Hawa jamaa ni wawekezaji kwa jina jingine kule Pemba Mnazi Kigamboni.Tena hata baadhi ya wafanyakazi wao waliwachukua na wanfanya kazi huko.Ni usainii mtupu tangu mwanzo hadi mwisho.Eliud Sanga hajui hata story yao kwani yeye alikuja baada ya wao kutimua.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha ajabu hapa,hii ni aina ya ubabaishaji walionao viongozi wetu!!
   
 7. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,794
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Tatizo la nchi ya kitu kidogo, ni nchi ya watu wadogo.

  Hii nchi nishawambia ni shamba la bibi, mifuko yote ya jamii inaliwa.

  Mara LAPF, juzi PPF, Mara Oh sijui Man'nji aichezea mchezo mchafu NSSF!!

  Uongozi ukishakuwa wa kipuuuuzi puuuz basi tena hakuna lolote la maana ktk taifa,
   
 8. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ninafanya kila liwezekanalo nichomoe mkwanja wangu ulioko PPF kabla mambo hayajaharibika
   
 9. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Wakuu, naomba kuuliza. Huyu Eliud Sanga (CEO wa LAPF) ndiye yule aliyekuwa mkurugenzi (sijui wa nini?) pale NSSF au siye????
   
 10. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ndiye huyo haswa. Dau wa NSSF alimwondoa kwenye idara ya uwekezaji kwa kumzuia kula fedha na akina MANJ. HAKI YA MTU HUMFUATA, SASA NI MKUU WA SHIRIKS

   
 11. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  Wakuu hili sakata ndio lilipita kama mengine? Hili Shamba la bibi hili!
   
 12. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  "The defaulter is an international firm, thus there is no way LAPF can deal directly with it without involving the government institutions ," Mr Sanga said.

  Alafu,

  "As time passed by and the case hearing continuing, the firm's representative escaped from the country and changed their address"

  Are we serious?
   
 13. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  Wewe ndio kiazi kweli kweli mchezo wote huu unafikiri ni wizi tu?
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  Kamanda uchanga huwezi kuutazama kwa jicho hilo kwa institution ya serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama na sheria kedekede za kuendesha mashirika haya!
   
 15. M

  MAO Senior Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 23, 2008
  Messages: 186
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  LAPF Hawana ufisadi. Kwa taarifa yako, baada ya SANGA kuja ndo aliweza kumtoa kwenye pango huyo mzungu ambaye alikuwa halipi kodi, na kukamata baadhi ya mali zake. SANGA amefanya mengi, mwacheni afanye kazi.
   
 16. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu issue sio Sanga,hili sakata unajua lilipoishia?
   
 17. f

  fergusonema Senior Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 18. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Here we are again.................
   
Loading...