CHADEMA wadaiwa kupiga na kujeruhi viongozi wawili CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wadaiwa kupiga na kujeruhi viongozi wawili CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Oct 8, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wakati jana imeripotiwa kwamba CCM waliwashambulia kwa mawe wafuasi wa CDM huko Dodoma na kujeruhi vibaya mwandishi wa habari,leo gazeti la serikali Habari Leo limeripoti tofauti na kusema CDM ndiyo walivamia mkutano wa CCM na kujeruhi viongozi wawili kwa mawe.Kama gazeti la Habari Leo litakuwa limepotosha basi Taifa litaangamia kwa aina hii ya uandishi wa kishabiki!

  [​IMG]
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama kuna chombo cha habari kitakacho sababisha uvunjivu wa AMAN Tanzania, basi ni hili gazeti la Habari Leo.
  Limekuwa ni gazeti linalohamasisha uvunjifu wa amani kila kukicha.
   
 3. M

  Mndokanyi JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtoto: Eti dadi hili gazeti linamilikiwa nani?

  Baba: Hili gazeti la Chama

  Mtoto:Linafanya kazi gani dadi?

  Baba: Kazi yake ni kubadilisha ukweli kuwa uwongo,na uwongo kuwa ukweli!!!!

  Mtoto:Sasa kama ni hivyo dadi,tutafika?

  Baba : Ndizo sera zetu,tutatfika tuu,MUNGU mkubwa.
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hata mauaji ya RWANDA-BURUNDI, na KENYA pia yalichochewa na vyombo vya habari. Kama serikali isipokuwa makini, then haitakwepa lawama ya kusababisha uvunjifu wa amani.
   
 5. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Source: HABa LEO, mASkIN kOdI YANGU niNAYOKATWA KWENye paY SlIp kamA kaZi Yake ni hiI Mm bAsi
   
 6. Wile GAMBA

  Wile GAMBA JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ukombozi wa nchi unamwendo mrefu sana, propaganda everywhere... lakini shangaa gazeti linalo kuja kufungiwa mwanahalisi kwa sababu linasema ukweli
   
 7. m

  malaka JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ila mwanahalisi lilifungiwa? Ila poa 2015 sio mbali. Mungu tubariki.
   
 8. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ni makosa makubwa sana chama kimoja kinapofanya mkutano wake maandamo au msafara wa chama kingine kupita hapo,

  Hii itaendelea kuwa chanzo cha vurugu. Wahusika wa kupanga ratiba wazuie hili otherwise watu wataendelea kufa na kuumizwa Kwa upuzi upuzi tu.

  Njia za kwenda kwenye mikutano zitenganishwe na anayepita kwenye njia isiyo yake awajibike kunapotokea vurugu.
   
 9. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haina shida, maana wananchi walishuhudia
   
 10. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  duuu ingekuwa tuna uchaw wa nigeria ningeshamuua mwandish wa hii habar ila tutafika!
   
 11. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwa nini unahukumu wakati hukuwepo kwenye eneo la tukio?,unajua tatizo lenu ninyi ushabiki wa mambo umeshawaingia hadi kwenye damu na maji mwilini mwenu,ThinkTwice.

  Kimesababisha lini na wapi,acha uchonganishi,halafu wewe POMPO mbona huwa unakurupuka sana,nimekuwa nikifuatilia sana comment zako hapa JF ni za kukurupuka sana,jaribu kubadilika,weka pembeni ushabiki tuijenge nchi hii,usije ukadhani kwamba wewe unajua zaidi ya wengine kuna watu wanajua zaidi yako lakini so cool.

  Mashahiri hya pumba kwa faida ya nani?!weka mambo ya msingi na yenye kujenge hapa sio mahali pa kufikisha fikra zako potofu.

  Mwanahalisi halipo tena hata kama ungelilia,halafu kumbuka dua za kuku hazimpati mwewe Wile Gamba,wewe unadhani hivyo lakini wenzako wanafikiri tofauti saana,mwisho wa siku unajikuta umebaki peke yako unang'ang'aa mimacho yako.

  Kwa mtanzania yupi mwenye msimamo kama huo wako?!wewe mwenyewe unasema tu humu JF lakini wkati ukifika ninyi ndio mnaowakimbilia hao wakuda wenzenu.
   
 12. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  bado mnasoma hili gazeti uchwara lenye waandishi wasiozingatia weleledi bali uchama?
  ukiandika maoni yako kama yanakosoa serikali au chama chao hawachapishi
  wanafiki sana hawa liogopeni hilo gazeti kama ukoma litakufa kifo cha mende
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hii ni aibu kubwa kwa Tasnia ya habari nchini.
   
 14. Haliali

  Haliali JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Fack you , habari leo

   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hili gazeti kama lile la chama uhuru.
   
 16. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu WABHEJASANA,
  Binafsi nakusamehe bure, kwa kuwa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo ama umeishia hapo.
  Title: CHADEMA WAVAMIA MKUTANO WA CCM
  Sub Title: Yajeruhi viongozi wawili kwa mawe, Polisi watuliza ghasia
  Premises and conclusion are deffer, so its a FALLACY

  Sometimes shirikisha ubongo siyo masaburi, umaarufu JF hauji kwa kupinga ni kwa hoja!

  Ok unahitaji degree kuichambua hiyo sub Title? "Yajeruhi viongozi wawili kwa mawe, Polisi watuliza ghasia"
  Kituko "Yajeruhi viongozi"????? tena "Polisi watuliza Ghasia"????

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Z

  Zuwely salufu Senior Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hivi ndo vyombo vya habari vya kijinga kabisa, hivi hawa waandishi wa magazeti haya wamesomea wapi? Hata wale wa ile TBCCM sijui vyuo walivyosomea ndo vilevile au wamesomea Chamwino?
   
 19. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sikia POMPO,wala sihitaji kulumbana na wewe humu JF,lakini ninachokushauri jifunze wakati mwingine kusikiliza yale usiyopenda kuyasikia hata kama ni mabaya kiasi gani na huyapendi,hapa kama kichwa cha habari kingehusu CCM WADAIWA KUPIGA NA KUJERUHI VIONGOZI WA CHADEMA' ungefunguka sana kwenye comment zako,kwa bahati mbaya siku zote huwa unadhani kwamba wewe pekee ndiye mwanaharakati ama labda unaipenda zaidi CDM,lakini nakuhakikishia kuna watu wanaipenda CDM lakini hawako humu na wanaisadia vilevile.

  Hebu jaribu kuwa na hoja za msingi lakini sio kuponda kila kitu,kibaya zaidi wewe unajiona msomi sana na kuponda fani za watu,sikiliza acha huo ni utoto jifunze kusikiliza na ya wenzako na utafakari MKUU!!!!.

  OK mi nimepokea ya kwako kwa sababu kusikiliza ushauri kutoka kwa watu pia ni elimu tosha,na kuna watun wamekuwa Offered Digree kutokana na hilo ahsante nitafanyia kazi,lakini jifunze kusikiliza na ya wenzako.
   
 20. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wabeja Ngosha!
   
Loading...