PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
a9.jpg


Mti huu ni kumbukumbu kwamba umetutoka kimwili lakini ungali nasi kiroho hadi tutakapoungana nawe katika makazi ya Baba wa milele.

6.jpg


07.jpg

Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud Mwangosi kuwapo pole.

06.jpg


Mjane wa Daud Mwangosi, ameacha mjane na watoto wanne.

a1.jpg


Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.

Picha kwa hisani ya Mjengwa blog

Wana Jf,msafara wenye majonzi kuelekea itete nyumbani kwao marehemu Daud Mwangosi kwenda kumzika,kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr W. Slaa akiwa na makamanda wa m4c wameambatana na wafiwa kwenda kuzika.Huzuni imetawala kwa wana-rungwe.

 
Asante Dr kwakutu wakilisha. Naamini Dr soon atasema yaliyo moyoni kuhusu ili tukio na hatua za kuchukua!

Policcm wameamua kutumia nguvu baada ya kuona wananchi wanazidi kufunguliwa na kujua ukweli.

R.I.P Mwangosi
 
Watoto wanne wamebaki yatima! Why?

Because of police, alafu ndio hawa hawa wanaotuambia tusichukue sheria mkononi tunapowakamata vibaka wakati wao wana mbinu mblimbali za kijeshi za kudhiti uharifu ajabu wakikamata raia wema wanawasindikiza na kichapo mpaka wanapoteza maisha je sie tusio na ujuzi kama wao tufanyaje sasa
 
Mungu ailaze pema roho ya marehemu. Naichukia sana serikali isiyothamini uhai wa wananchi wake.
 
I hate CCM than ever before, na siwezi hata kuwa na Mahusiano hata na mwanamke anayeshabikia chama cha Magamba.
mkuu katika kila sala zangu za jioni naomba sana chama hiki cha kifedhuli na wote wanaoneemeka na system ya hiki chama adhabu yao iwe duniani hapahapa, inaumiza sana kuona familia inatendewa tukio kama hili, baba wa familia kuuliwa kinyama kiasi hiki na watu wasiotumia japo ubongo wao kidogo kufikiri
 
Inahuzunisha sana na naamini kila kitu na majibu yote tutapata hapa hapa duniani, kila kitu kitaonekana, Hawa CCM wanajifanya kwanza nchi ni yao so wanafanya wanvyotaka hamna tatizo tutafikatu naamini....Watoto kama hao sasa wamtegemee nani?Wataishi maisha gani??
 
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema

sikatai chadema kusaidia kwa rambirambi. . . Lakini sio kweli kwamba amekufa kwenye harakati za siasa za chadema.
Your observation is rather skewed and wrong in many ways.

Waue polisi, chadema wachukue jukumu la baba mlezi?
 
Back
Top Bottom