Arusha yazizima baada ya Mbowe kuhutubia

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.

Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.
 
Words from the wise

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mimi nitamchagua japo Polisi waliagizwa kumuua ili kuondoa chaguo la wananchi wa kata ya Daraja Mbili
 
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.

Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.

Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
 
Karibu Arusha Daraja Mbili ujionee. Leo uchaguzi wa CCM hapa Arusha tega sikio
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

Please keep quiet and its none of your business
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

Najua huajanywa chai hadi saizi ndo maana hujaelewa vizuri kiswahili...

Ni hivi, hilo FUSO unalosema liko nje ya ofisi ya kata so hakuna uongo hapo. Kama umeenda shule kidogo jikumbushe zile hesabu za set na subset na union of the set kisha chora venn diagram uone kama fuso halijapaki kwenye ofisi ya kata
 
Maamuzi ya ovyo sana kwa jiji la arusha kutoa viwanja vya wazi vya NMC kwa wamachinga (japo wanastahili kupewa eneo ila busara zaidi zingetumika kuwatafutia maeneo na sio kutoa viwanja vya wazi, na huu uwanja wa NMC umekuwa ukitumika kwa matukio mengi tuu sio ya siasa peke yake)
Kwa sasa imebakia kuwa Arusha haina eneo lolote la wazi labda lile la Kilombero ambalo bado ni mali ya mtu binafsi au waende Suye na Moshono ndiko kuna at least viwanja vya wazi
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

sihajawahi kuona mtu anaandika ujinga kama huu ... kwani hiyo fuso ambayo Mh. Mbowe yupo juu yake ipo sehemu gani? ..... Lumumba au nje ya ofisi ya kata ya CDM

sometimes it is better to shut your buccal cavity
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
Kwani Fuso ina park ndani ya ofisi kama kabati au nje?
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.
Nadhani ni Wise kumpinga aliyeleta picha kwa kutueleza hiyo picha ilipigwa wapi na ni vizuri kama unazo wewe picha za jana ungezi upload hapa, huo ndio mwendo wetu JF, fact kwa fact
 
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.

Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.

Ingekuwa vizuri hawa viongozi wakuu wa taifa Kichama wanapoongea tusiishie tu kusifia umati wa watu waliojitokeza. Hebu tujuze Mbowe kazungumza nini juu ya uchumi wa nchi yetu,mikakati ya kujikwamua kiuchumi,..na sera nyingine kama kilimo,elimu,ajira na kadhalika. Haya ndio mambo muhimu tunayohitaji kupima uzito wa hotuba za hawa viongozi na sera za vyama siasa. Ni kwa njia hii ndio tutaweza kupima kati ya viongozi shupavu,wenye mipango,wenye sera makini,wakweli..vinginevyo tutaingiza madarakani vilaza,waongo,walafi,wapenda sifa na wabinafsi.
Mleta uzi,Mbowe kwa nafasi yake amesema nini juu ya hayo?
 
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.

Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.

ahsante kwa taarifa nzuri kamanda lakini nikusahihishe kiswahili kidogo, Si kuzizima ni kurindima, kuzizima ni kuwa tuli yani kama vile kuna msiba unasema taifa lili zizima na kinyume chake yani shangwe ni kurindima.
 
sihajawahi kuona mtu anaandika ujinga kama huu ... kwani hiyo fuso ambayo Mh. Mbowe yupo juu yake ipo sehemu gani? ..... Lumumba au nje ya ofisi ya kata ya CDM

sometimes it is better to shut your bucal cavity

Hapo kwenye Red mdau umenipiga chenga,ulikuwa na maana gani.
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

wewe ulitaka asimame juu ya paa la offisi ndio uamini kuwa yuko nnje ya ofisi ya kata????
 
ahsante kwa taarifa nzuri kamanda lakini nikusahihishe kiswahili kidogo, Si kuzizima ni kurindima, kuzizima ni kuwa tuli yani kama vile kuna msiba unasema taifa lili zizima na kinyume chake yani shangwe ni kurindima.

Asante kwa sahihisho mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom