Mtandao wa JK wamliza Sumaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtandao wa JK wamliza Sumaye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgomba101, Oct 10, 2012.

 1. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  MTANDAO wa rushwa katika wilaya ya Hanang uliomwangusha Waziri Mkuu, mstaafu, Frederick Sumaye, unadaiwa kuundwa na watu wa karibu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, Tanzania Daima Jumatano limebaini.

  Sumaye ambaye aliangushwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, juzi alipasua jibu kueleza jinsi rushwa ya mtandao ilivyotumika kumwangusha na kumsaidia Dk. Nagu kuibuka mshindi katika kinyanganyiro cha kuwania nafasi ya ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).

  Ingawa Sumaye hakumtaja mtu wakati akirusha tuhuma kwamba rushwa ya mtandao ndiyo iliyomwangusha Hanang, lakini ni dhahiri kwamba alikuwa akimlenga Waziri Mkuu mwenzake mstaafu, Edward Lowassa, kwamba aliingiza mkono ili kupunguza kasi ya Sumaye kuwania urais mwaka 2015 kama atawania.

  Duru za siasa kutoka ndani ya CCM, zililiambia gazeti hili kuwa mtandao wa Rais Kikwete umehusika kuhakikisha Sumaye hashindi NEC.

  Inaelezwa kuwa mtandao huo unaundwa na vigogo kutoka ndani ya CCM na serikali ambao wanadaiwa kutoridhishwa na jinsi Sumaye anavyoikosoa CCM na serikali hadharani wakati ana uwezo wa kufanya hivyo ndani ya chama au hata kumwona Rais Kikwete moja kwa moja.

  Sumaye baada kustaafu kama Waziri Mkuu wa kwanza kulitumikia taifa hili kwa kipindi kirefu na baada ya kurudi masomoni amekuwa akitoa maangalizo na tahadhari mbalimbali kuhusu mukstakabali mzima wa mambo yanayoendelea kwenye serikali na chama kwa ujumla.

  Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na suala la ajira kwa vijana ambapo alikuwa mtu wa kwanza kuzungumzia tatizo la ajira kwa vijana akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha Sita huko Pugu Secondary na pia huko Morogoro.

  Source: Tanzania Daima

   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sumaye apumzike sasa! siasa imemshinda! akalime mashamba yake! alivyokuwa PM aliwambia wanyabiashara wakitaka mambo yao yawanyookee wajiunge na CCM. sasa anakula matapishi yake.
   
 3. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hakuna cha mtandao wala nini, wote mbio zao zinafika ukingoni..2016 Chadema govt unavoidable.
   
 4. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Source ya habari hii imemaliza sina haja ya kuedelea, kumbe Tanzania Daima!!!
   
 5. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kwamba Sumaye hakusema kilichoandikwa au ndo goodmorning!!!!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  CCM inajikaanga kwa mafuta yake yenyewe
   
 7. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  politics = polytricks
   
 8. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Source:Tanzania Daima
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hili gazeti la Tanzania daima nalo mambo yake limekuwa kama gazeti la SANI.
   
 10. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kwavile wewe unatoka Msoga tutakusamehe kwani sio kosa lako!!
   
 11. B

  Baba Hellen JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 764
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Sipotezi muda kuwadiscuss mafisadi who is sumaye and his weakness part
   
 12. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sasa Kikwete Kumuondoa SUMAYE kutamsaidia NINI? Au SUMAYE atakuwa PINGAMIZI kwa MEMBE ? EVEN THE PRESIDENCY is now MAFIA controlled... can Jakaya Kikwete look behind and see where the heck did he come from and where the hell is he heading to, exepecially in his dounted life CREATING MORE UNTHINKABLE ENEMIES than FRIENDS ?
   
 13. M

  Magane Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ndugu fredrick unatuchanganya mbona tuliuona utendaji wako ukiwa pm kwa mihula 2. Pumzika ule fao lako la pension.
   
 14. M

  MKALIMOTTO Senior Member

  #14
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha umapunda wewe Nngu. Mfumo kristo ndo unawasumbua tulishawastukia. Haiwezekani mmfanyie zengwe Mwinyi na Kikwete tu mkkiwaacha Ben na Nyerere ambao walitenda maovu kupitiliza.
   
 15. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sumae is the worst public speaker i have ever seen. Niliangalia ile video alivyokuwa anaongea juzi sikuamini kwamba na yeye eti anataka kuwa Rais. Alikuwa anaongea pumba zisizo na mpangilio wowote.
   
 16. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Mbona wanaogomania ticket ya ccm ni wakristo tu? Ticket ya CDM angalau tunasikia watu wa dini mbalimbali wameshaonyesha nia..
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Naamini kwa akili hizi hata bata hakufikii
   
 18. ALF

  ALF Senior Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  mambo ya udini yamekujaje kwenye hii mada?. Acheni kuleta upumbavu kwenye mambo ya msingi, hivi hali ilivyosasa katika jamii kuna mtu anaweza kusimama na kusema ukoo wao au familia yao haina nasaba na watu wa dini nyingine?.
   
 19. m

  madamajr Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  huna haja ya kulalamika mzee,una machaguo mengi pia kila mwenye kuosha huoshwa pia waswahili walisema
   
 20. ABEDNEGO CHARLES

  ABEDNEGO CHARLES JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  We ndio umepotea njia kabisa.
   
Loading...