CHADEMA sasa Tishio GEITA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA sasa Tishio GEITA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Oct 11, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  MIKUTANO ya vuguvugu la mabadiliko (M4C) inayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imetikisa Jimbo la Busanda, wilayani Geita, mkoani Geita, baada ya wanachama 18,670 wakiwamo wazee na makada wa siku nyingi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutimkia CHADEMA.
  Mbali na kuzoa maelfu ya wanachama, pia chama hicho kimeunda uongozi kwa kuteua wenyeviti, makatibu, na wahazini wa chama kwenye kila kata zilizokuwa hazina uongozi ngazi ya tawi.
  Viongozi waliosimikwa ni wenyeviti, makatibu, wenezi na wahazini wa matawi pamoja na wale wa jumuiya mbalimbali za chama hicho hususan wazee (BAWAWACHA), Vijana (BAVICHA) na Wanawake (BAWACHA), lengo likiwa ni kukiimarisha chama kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
  Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake kwenye jimbo hilo juzi, Kiongozi wa M4C mkoani Geita, Alphonce Mawazo, alisema wana CCM waliojiunga na chama hicho ni kutoka kata 13 kati ya 16 za jimbo hilo.
  Alisema kati yao 11,235 ni wanachama wapya na 7,435 ni waliovua gamba na kuvaa gwanda, ili kuhakikisha CHADEMA kinaibwaga CCM kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na kuingia Ikulu.
  Aliwataja miongoni mwa wazee na makada wa siku nyingi wa CCM waliorudisha kadi za CCM ni Thereza Lugembe (79) mkazi wa Kijiji cha Nyabulolo, Kwando Maduhu (109) mkazi wa Kijiji cha Nyarugusu na Shija Mihambo (87) mkazi wa Bugogo Bukoli ambaye alikuwa mwanachama wa CCM tangu Julai 7, mwaka 1979 kwa kadi namba C.812836.
  “Kazi hii si ndogo…tunapambana na chama ambacho kina mizizi kila kona…tumezoea kuona vijana ndio wanajiunga na CHADEMA…lakini unapoona wazee nao wameanza kukimbia ujue saa ya ukombozi imekaribia,” alisema Mawazo.


  Source:Tanzania Daima
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,341
  Trophy Points: 280
  Time will tell.....
  CCM, you cant stop the rain.
  Chadema ni kama mvua, inapiga tu hata ukibeba mwavuli
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CHADEMA wanatembeza kipigo cha mbwa mwizi kwa ccm bila huruma........................

  Tanzania ya 2015 itakuwa hivi:
  178901_218352028281589_1224983986_n.jpg
  R.I.P. My dear CCM
  [​IMG]
   
 4. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  chadema ni kama moto wa petrol hauzimiki kirahisi sana. Kila la heri makamanda kandamizeni vya ukweli wakuu. Mawazo big up, bananga twende kazi.
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kumbe Kamanda Alphonce Mawazo ni Jembe sana.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia kwa makini vidole vimeelekea kaskazini why?
   
 7. M

  Mr jokes and serious Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waelimishwe umuhimu wakupiga kura hao wa2,tunataka ushindi mkubwa na wala co wakubeza people ponnnnonwer.
   
 8. Y

  Ye Nyumbai Senior Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ujinga, elimika!!
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Umesema neno mkuu.
   
 10. M

  MACHUPA Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  wewe ulitaka vielekee wapi
  labda utuambie
   
 11. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Jeneza linaelekea wapi? Au Lumumba
   
 12. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Turufu ya mwisho waliyo nayo ccm kwa sasa juu ya kuzimisha moto wa M4C ni kumtumia Tendwa kuifuta CHADEMA! Vinginevyo ccm hawana ubavu wa kuuzimisha moto wa M4C ndani ya Magwanda.
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh jeneza la CCM ni zuri balaa!
   
 14. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,395
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280

  Mkuu Ritz, nakukubali kwa kuhamisha watu kwenye mada. Kausha mkuu utatusababushia ban wenzio.

  :focus: all the best makamanda mpaka kieleweke, ALUTA CONTINUA!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa ndipo ukombozi ulipootea mizizi.
   
 16. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Duh, naona wamekula chumvi nyingi hapo wamekubali mabadiliko, CCM should leave the country silencely.
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Dah ila kamanda wangu Ritz we ni mwisho, ulichoona ni vidole kueleke kaskazini? Una mambo mengi sana kichwani mkuu!!!
   
 18. Ndoa

  Ndoa JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  rest in hell ccm
   
 19. N

  Ngoni Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu kiganja kipo kusini kati
   
 20. piper

  piper JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  CDM ni kama kimbunga
   
Loading...