Usauri wangu kwa Mwigulu Nchemba na Livingstone Lusinde | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usauri wangu kwa Mwigulu Nchemba na Livingstone Lusinde

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndulungu, Oct 11, 2012.

 1. Ndulungu

  Ndulungu Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na kuishiwa sera na hoja nyakati za kampeni katika vipindi vya chaguzi viongozi kadhaa wa ccm kama nilivyowataja hapo juu wamekua wakiishia kuhutubia matusi kejeli na dharau dhidi ya chama kikuu cha upinzani nchini(chadema)ningependa kuwashauri waache kufanya hivyo kwa sababu kufanya hivyo kunaweza kuibua hisia za hasira kwa wananchi na kusababisha maafa makubwa.

  Nimeyasema hayo makusudi kwa sababu hivi karibuni kutakuwepo na uchaguzi mdogo katika jimbo la sumbawanga mjini kufuatia kutenguliwa kwa aliyekua mbunge wa jimbo hilo na rufaa kutupiliwa mbali hivyo kusababisha jimbo hilo kuwa wazi.

  CCM imefanya vikao na kuwateua mwigulu kuwa kampeni manager na lusinde kuwa msaidizi wake katika shghuli nzima za kutekeleza kampeni.

  hivyo basi napenda kutumia fursa hii kuwashauri kuacha tabia hiyo kwani mabadiliko hayawezi kuzuiliwa kwa matusi kasfa na kejeli vile vile kiongozi mzuri ni yule anayejipambanua kwa hoja na si matusi katika kuwashawishi watu wazikubali sera zako.

  hakika watu wameichoka ccm na ni vizuri ikasoma alama za nyakati kwani wakati wa ccm kushika hatamu ya kuongoza nchi umekwisha
  mwigulu lusinde kazi kuufuata ushauri huu makini.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Waache watukane ili wairahisishe kazi.
  Rekebisha kichwa cha uzi.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ukiona wanatukana ujue wameshikwa pabaya
   
 4. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,597
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ile kauli mbiu yao KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI siku hizi haina mvuto tena wameona wajaribu matusi, waache watukane mkuu unadhani wataongea nini?
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Siasa za kizamani sana hizi. Watanzania hatu wezi vunja amani kwa kauli za kipu****vu ila amani itatoweka kwa upu***vu wao wanao fanya
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hawa watu mimi nashauri mmoja wao azae na dada wa mwenzake tuone watatoa product gani.
   
Loading...