Makamu wa rais dk Bilal ahudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Uganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamu wa rais dk Bilal ahudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Uganda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 11, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145


  [​IMG]Rais Yoweri Museveni wa Uganda akimkaribisha, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwenye sherehe za maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda zilizofanyika jana kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala,Uganda.
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal (kulia) akibadilishana mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda. Sherehe hizo zimefanyika jana katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala. Wanaoonekana nyuma yao ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na Mama Zakia Bilal.
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Uganda kwenye Uwanja wa Kololo, jijini Kampala jana. Wengine kutoka kushoto ni Rais wa Somalia Hassan Shekhe Mahamoud na Makamu Rais wa Sudan, Bwana Haji Adam Yusufu.
  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
   
 2. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yaani mzee meno yametangulia utadhani fuko! Heri yake anajifurahisha kwa kutafuna kodi zetu kwa majirani huku watoto wetu wakiketia tofali shuleni bila kitabu wala mwalimu. Jamaa ni dhaifu kama DHAIFU tu hakuna tofauti!
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Yani jamaa ni hopeless mara mia wangempa hiyo chance hata lusinde
   
Loading...